CHIEF PRIEST
JF-Expert Member
- Dec 13, 2021
- 21,737
- 42,892
Kajitibie kwanza hizo fungus na UTI sugu ndiyo urudi hapa, nia yako uwaambukize tu watu ndiyo maana hutulii.Kama una hasira sana basi kunywa sumu UFE tu maana huna faida yoyote ile hapa Duniani na hata Mbinguni au nenda Gerezani ukakae na lissu
"Enyi mlioamini! Kuweni wasimamizi wa haki kwa ajili ya Mwenyezi Mungu, na muwe mashahidi kwa uadilifu. Wala chuki ya watu fulani isiwapelekee kutokuwa waadilifu. Fanyeni uadilifu; huo ndio ulio karibu zaidi na uchamungu. Na mcheni Mwenyezi Mungu. Hakika Mwenyezi Mungu Anazo habari za mnayoyatenda." (Surah Al-Ma'idah 5:8)Mitihani ya Lissu ni ya kujitakia
Ndugu zangu Watanzania,
Hayo ni Maneno ya Lissu Akilalamika na kumlalamikia Katibu Mkuu wake John Mnyika kuwa watu waliojitokeza ni wachache sana na kwATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.View attachment 3634120
Ndugu zangu Watanzania,
Hayo ni Maneno ya Lissu Akilalamika na kumlalamikia Katibu Mkuu wake John Mnyika kuwa watu waliojitokeza ni wachache sana na kwamba inaonyesha hajafanya Hamasa ya kutosha ili watu waende kwa wingi kusikiliza kesi.
Lissu ni lazima afahamu kuwa watu wana kazi zao na hawawezi kuwa kila siku wanahudhuria mahakamani na kuacha kazi zao za kuwaingizia kipato .
Ni lazima lissu afahamu watanzania wanaishi kwa kujitafutia ili wapate chakula mezani pao . Sasa mtu hawezi kuacha kwenda kazini kwake halafu aende mahakamani wakati anajua anadaiwa kodi ya nyumba ,unga umeisha ,umeme luku imekata ,bill ya maji ipo mezani pake halafu aende Sehemu ambako anajua hakuna cha nyongeza wala haendi kupata hata Mia zaidi ya kukauka midomo tu .
Lissu itafika sehemu akili itamkaa sawa tu na ataanza kuona uhalisia kuwa watu hawapendezwi na kauli zake na maneno ambayo yamekuwa yakitoka kinywani pake .
Huu ni Mwanzo tu ipo siku ataangua kilio kikali sana mahakamani pale atakapokuta hakuna mtu yeyote yule aliyehudhuria kusikiliza mwenendo wa kesi zake. Mtu huwezi kuwa kila siku anakwenda kuuza sura mahakamani wakati mfukoni huna hata mia .
halafu mwisho wa siku viongozi wanagawana posho nakwenda kula Minofu minono kwenye hotel za hadhi ya nyota tano halafu wewe unarudi kupigwa vumbi na njaa kwako huko na wanao unakuta wanalia njaa mpaka wamechoka .
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.View attachment 3634120
Wale mnaowazoa kwenda kujaza mikutano ya Mwigulu na Samia siku ya kazi wao huwa ni wazururaji?Ndugu zangu Watanzania,
Hayo ni Maneno ya Lissu Akilalamika na kumlalamikia Katibu Mkuu wake John Mnyika kuwa watu waliojitokeza ni wachache sana na kwamba inaonyesha hajafanya Hamasa ya kutosha ili watu waende kwa wingi kusikiliza kesi.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.View attachment 3634120
Rais Samia Ndio Jawabu la Matatizo ya watanzania na siyo kama huyo Lissu ambaye kazi yake ni Kupiga Mdomo tuWale mnaowazoa kwenda kujaza mikutano ya Mwigulu na Samia siku ya kazi wao huwa ni wazururaji?
Kila mtu yuko Dar? Au kwakuwa ww unashinda ofisi za ccm hapo Lumumba basi unadhani kila mtu ni kama ww?Vipi umekwenda mahakamani?
Very funny 😅
Clip hii hapa!Ndugu zangu Watanzania,
Hayo ni Maneno ya Lissu Akilalamika na kumlalamikia Katibu Mkuu wake John Mnyika kuwa watu waliojitokeza ni wachache sana na kwamba inaonyesha hajafanya Hamasa ya kutosha ili watu waende kwa wingi kusikiliza kesi.
Lissu ni lazima afahamu kuwa watu wana kazi zao na hawawezi kuwa kila siku wanahudhuria mahakamani na kuacha kazi zao za kuwaingizia kipato .
Ni lazima lissu afahamu watanzania wanaishi kwa kujitafutia ili wapate chakula mezani pao . Sasa mtu hawezi kuacha kwenda kazini kwake halafu aende mahakamani wakati anajua anadaiwa kodi ya nyumba ,unga umeisha ,umeme luku imekata ,bill ya maji ipo mezani pake halafu aende Sehemu ambako anajua hakuna cha nyongeza wala haendi kupata hata Mia zaidi ya kukauka midomo tu .
Lissu itafika sehemu akili itamkaa sawa tu na ataanza kuona uhalisia kuwa watu hawapendezwi na kauli zake na maneno ambayo yamekuwa yakitoka kinywani pake .
Huu ni Mwanzo tu ipo siku ataangua kilio kikali sana mahakamani pale atakapokuta hakuna mtu yeyote yule aliyehudhuria kusikiliza mwenendo wa kesi zake. Mtu huwezi kuwa kila siku anakwenda kuuza sura mahakamani wakati mfukoni huna hata mia .
halafu mwisho wa siku viongozi wanagawana posho nakwenda kula Minofu minono kwenye hotel za hadhi ya nyota tano halafu wewe unarudi kupigwa vumbi na njaa kwako huko na wanao unakuta wanalia njaa mpaka wamechoka .
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.View attachment 3634120
Kweli jamaa kachanganyikiwa!!!
Naona umeanza hadi kuhamisha magoli . Kama mnampenda si mpande magari hata ya usiku mwende Dar? Kwani Dar ni Mbinguni?Kila mtu yuko Dar? Au kwakuwa ww unashinda ofisi za ccm hapo Lumumba basi unadhani kila mtu ni kama ww?
Acha uongo wako hapa wewe. Si mlikuwa mnajifanya mnampenda sana ? Sasa mbona hata mahakamani hamuendi?Huna taarifa wewe kidampa kwamba kumuona tu Lissu gerezani watu wanazuiliwa .?
Watu wanazuiliwa kuingia mahakamani kama mlivyokimbilia kuzuia mikutano kwa kisingizio cha tishio la amani.
Hata msingi wa kesi inayoendelea ni kunyimwa haki ya kuonana na mawakili wake kwa faragha.
Ulisema chama kimekufa hakitaweza kufikisha hata milioni , sasa michango imefikia hapa wewe kidampa wa buku 7
View: https://x.com/i/status/2079437834667053512
Clip ni Uhalisia kabisa na ya ukweli . Lissu ameanza kulialiaKweli jamaa kachanganyikiwa!!!
Sasa watu wakiwa wachache ama wengi itasaidia nini katika kesi yake?
Labda hii clip iwe ni AI otherwise jamaa akili zimeanza kumruka.
Unafanya mchezo na kukaa ndani, siku moja utaiona kama mwezi.
Uongo ni upi wewe kidampa?Acha uongo wako hapa wewe. Si mlikuwa mnajifanya mnampenda sana ? Sasa mbona hata mahakamani hamuendi?