Tundu Lissu: Katibu Mkuu watu ni wachache, maana yake hujafanya mobilization?

 
Kweli jamaa kachanganyikiwa!!!
Sasa watu wakiwa wachache ama wengi itasaidia nini katika kesi yake?
Labda hii clip iwe ni AI otherwise jamaa akili zimeanza kumruka.
Unafanya mchezo na kukaa ndani, siku moja utaiona kama mwezi.
 
Dada shonza Chadema hukufukuzwa mbona shobo Sasa?
 
"Changieni Baraza Kuu, changieni chama cha ukombozi." Mhe. @TunduALissu
TUENDELEE KUCHANGIA
M-Pesa
Namba: 0744446969
Jina: CHADEMA HQ
NMB Bank
Namba ya Akaunti: 22606600140
Jina la Akaunti: Chama cha Demokrasia na Maendeleo
 

Attachments

  • changieni chama cha ukombozi.mp4
    1.2 MB
Una gubu kama la mke wenza. Wewe mambo ya CHADEMA yanakuhusu nini sasa?
 
Siasa za malumbano na chokochoko nchini Tanzania sasa zimefika kikomo, na huu ni wakati wa Tundu Lissu na washirika wake kupokea onyo kali: Watanzania wamechoka na fujo zenu, wanataka kufanya kazi. Wananchi hawataki tena kuwa ngazi ya kupandia kisiasa huku viongozi kama John Mnyika na John Heche wakitumia fursa ya Lissu kukamatwa kujitajirisha kwa michango ya "tonetone" na kujijenga kimaslahi.Lissu asitafute huruma ya wananchi wala kuliaononea taifa; masaibu yanayomkabili sasa ni matokeo ya jeuri yake mwenyewe na mpango wake haramu wa kutaka "kukinukisha" ili kuzuia uchaguzi. Hakuna nafasi tena ya kuleta vurugu nchini chini ya mwavuli wa harakati. Vyombo vya dola viko macho, na jaribio lolote la kuchezea amani ya nchi litakabiliwa kwa mkono wa chuma. Huu ni wakati wa utii wa sheria, si huruma dhalili
 
CHADEMA saizi wameamka usingizini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…