Mimi ni mwanachama mwandamizi. Hatujawahi kumwambia mtu yoyote afunge mdomo. Ndiyo maana hata wewe uko huru kuisema CHADEMA japokuwa siyo mwanachamaHakuna kufunga Mdomo hapa. Naona mlizoea kula hela za chama na kuwaambia wana CHADEMA wafunge midomo. Sasa mwisho wenu Umewadia
Kati ya Mimi mwana chademaBila shaka itakuwa umechaganyikiwa
na wewe mwana nyinyiemu Nani kachanganyikiwa shonza PUNGUZA shobo kwa chadema hukufukuzwa dada.Bila shaka itakuwa umechaganyikiwa
Wenzio CHADEMA wameamka kutoka Usingizini baada ya kunyonywa kwa muda mrefuMimi ni mwanachama mwandamizi. Hatujawahi kumwambia mtu yoyote afunge mdomo. Ndiyo maana hata wewe uko huru kuisema CHADEMA japokuwa siyo mwanachama
Endelea kupanua proboscis hapa, watu wako nusu ya lengo ndani ya juma moja sasa hadi tarehe za baraza kuu utakuwa umepata sonona.Wenzio CHADEMA wameamka kutoka Usingizini baada ya kunyonywa kwa muda mrefu
Huoni haya aibu kujisifia ujinga ? Yaani unakuwa kama Zuzu vile.Endelea kupanua proboscis hapa, watu wako nusu ya lengo ndani ya juma moja sasa hadi tarehe za baraza kuu utakuwa umepata sonona.
View: https://x.com/i/status/2079617184179847272
Dogo hujitambui kabisaKati ya Mimi mwana chadema na wewe mwana nyinyiemu Nani kachanganyikiwa shonza PUNGUZA shobo kwa chadema hukufukuzwa dada.
Huoni aibu kuumia kwa kusema CHADEMA na imechoka kila baada ya saa na siku kubadilila michango inaongezeka wewe zezeta.Huoni haya aibu kujisifia ujinga ? Yaani unakuwa kama Zuzu vile.
Ndio maana ya TONE TONE wewe kidampa wa buku 7.Kama mngekuwa na wanachama walau hata Laki Nne tu na kila mmoja akachangia walau Elfu moja tu unafikiri Hadi Muda huu mngekuwa na Shilingi Ngapi?
Jibu swali mpaka sasa ingekuwa imepata shilingi ngapi ikiwa kila mwanachama angechangia Elfu moja?Huoni aibu kuumia kwa kusema CHADEMA na imechoka kila baada ya saa na siku kubadilila michango inaongezeka wewe zezeta.
Ndio maana ya TONE TONE wewe kidampa wa buku 7.
Matone yatajaza chombo baada ya muda tu , na mwaka huu lazima upate sonona kama lile ajuza lililosema limechaguliwa kwa 98% halafu linaogopa hata kufanya mikutano ya siasa ya wazi kwa wananchi.
Jibu ni kwamba hiyo ndio maana ya TONE TONE wewe kidampa wa buku 7Jibu swali mpaka sasa ingekuwa imepata shilingi ngapi ikiwa kila mwanachama angechangia Elfu moja?
Jibu swali wewe . Hivi CHADEMA hamnaga akili?Jibu ni kwamba hiyo ndio maana ya TONE TONE wewe kidampa wa buku 7
Uchawa na comprehension ni maadui.
Ulitaka CHADEMA ifungulie mamilioni ya pesa za narco cartels na wakwepa kodi ?
Hakuna hapo swali chawa.Jibu swali wewe . Hivi CHADEMA hamnaga akili?
Akili yako ni ndogoHakuna hapo swali chawa.
Unamaanisha akili yako ya kuvaa minyororo ya kunfungia mbwa shingoni ukiamini ni cheni?Akili yako ni ndogo
Kumbe walilala? Sasa mimi silali niko radar muda woteWenzio CHADEMA wameamka kutoka Usingizini baada ya kunyonywa kwa muda mrefu
Lini ulikwenda mahakamani kushuhudia vituko anavyofanya lissu?Kumbe walilala? Sasa mimi silali niko radar muda wote
Mahakamani umekwenda?