Pre GE2025 Tundu Lissu: Kauli ya No Reform No Election hatujasema tunasusia Uchaguzi. Tutaongea na Rais Samia lugha atakayoielewa

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Mashuhuri ndio kura?
Kuza zipi hakuna kura kuanzia 2015 chaguzi ni utangazaji tu hakuna kura za kweli na hazitakuwepo bila tume huru. Mimi nimekulia na wazazi Mapolisi habari tunayopata kutoka Polisi ni kwamba kuanzia 2019 wanaiba kura kusaidia CCM na hii inasemwa sio na Chadema hata waangalizi wa kimataifa.

Ndugu yangu kama unanufaika na uchawa endelea piga pesa achana na sisi tupiganie nchi. Tusije kukaa hapa kupoteza muda kujadili mambo ambayo mjadala umeshaisha.

Hata tukiachana na kura serikali kwanini hawa fanyi jitihada kukomesha rushwa. Rushwa nayo inahitaji kura?

Kwani kura ni nini si watu? Sasa mwanasiasa ana pata support kutoka kwa watu wengi zaidi halafu unasema hana kura! yaani ndiyo una onyesha wizi wa kura za wananchi ulivyo

Hamna mvutu tena machawa someni nyakati. Hapa nakusaidia uonekane kidogo
 
Amesema chama kitakaa na kujadili kuhusu no reform no election.
Hapo mwanzo alisema huo ndio msimamo wa chama hautabadilika.
Baada ya kuona ccm wapo seriously na hili jambo kaamua kubadili gia angani
Kama ya Mbowe Kama ya Lissu
Typical Mazinge style,unachukua sentesi moja kwenye ukurasa mzima na kuitumia kufanya disinformation. Wavaa kobazi mna shida sana.
 
Utajua hujui hiyo Oktoba
 
Hii gia ndio aliombea kura awe mwenyekiti wa Chadema, sasa anaigeuka. Pumbavu sana
 
Utashindaje wakati hakuna mazingira ya kushinda? 2024 98% ya wagombea wa upinzani walienguliwa au hukuwepo?
Kuna watu ni kama wageni kwenye nchi hii.Kwa sheria zilizopo sio kwamba ni vigumu kwa mgombea wa upinzani kushinda ila haiwezekani labda misisiyemu ipende yenyewe na baada ya kuproove mgombea ni mtu wao
 
Wasalaaaam

Kwanza wakuu mutoe elimu nini maana ya reform naomba hapo chini jaribu kuweka kipengele reform kwenye nyanja gan?
 
MWALIMU NYERERE ANAMALIZA KWA USHAIRI KWENYE KITABU CHAKE.

UONGOZI WETU NA HATMA YA TANZANIA.

Ole wake Tanzania Tusipoisaidia
Niwezalo nimelifanya kushauri na kuonya nimeonya.

tahadhali nimetoa ushauri na kuonya nimeshatoka kitini zaidi nifanye nini.

Namlilia Jaalia atumulikie njia Tanzania ailinde WAOVU wasiishinde.

Amina Tena Amina Amina Tena amina


UONGOZI WETU NA HATMA YA TANZANIA.
MWALIMU JK NYERERE
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…