Kuza zipi hakuna kura kuanzia 2015 chaguzi ni utangazaji tu hakuna kura za kweli na hazitakuwepo bila tume huru. Mimi nimekulia na wazazi Mapolisi habari tunayopata kutoka Polisi ni kwamba kuanzia 2019 wanaiba kura kusaidia CCM na hii inasemwa sio na Chadema hata waangalizi wa kimataifa.Mashuhuri ndio kura?
Ndugu yangu kama unanufaika na uchawa endelea piga pesa achana na sisi tupiganie nchi. Tusije kukaa hapa kupoteza muda kujadili mambo ambayo mjadala umeshaisha.
Hata tukiachana na kura serikali kwanini hawa fanyi jitihada kukomesha rushwa. Rushwa nayo inahitaji kura?
Kwani kura ni nini si watu? Sasa mwanasiasa ana pata support kutoka kwa watu wengi zaidi halafu unasema hana kura! yaani ndiyo una onyesha wizi wa kura za wananchi ulivyo
Hamna mvutu tena machawa someni nyakati. Hapa nakusaidia uonekane kidogo