Kamanda Asiyechoka
JF-Expert Member
- Sep 13, 2020
- 3,315
- 5,058
Very true utawala huu ni wamejaa mashetani na wanajenga Imani ya kuwa wao wanaua wenzao
Whatever secret is not sincere.
Hapo Lumumba hama tetesi zozote?
Akili zote tumeelekeza Katesh HanangHapo Lumumba hama tetesi zozote?
Unamaanisha Mpango ni treni au nini Mkuu?Wazee wa kudandia treni kwa mbele washaanza hapo.
Mnatumia green guard kuzoa matope?Akili zote tumeelekeza Katesh Hanang
Kwa hiyo Lissu hapa anaeneza sera za chama
Kwa hiyo ulitaka wawatumie akina Lema?Mnatumia green guard kuzoa matope?
Lema kaleta Bavicha wa kutoshaMnatumia green guard kuzoa matope?
Kwa hiyo anavizia bil 2.5ππ€£πLema kaleta Bavicha wa kutosha
Si unajua kuna ile 2.5 b
Dont be sillyKwa hiyo ulitaka wawatumie akina Lema?
Wakili mmoja maarufu hapa nchini aliwahi kusema kwamba "bora amuamini shetani kuliko kumuamini mtu huyu uliyemtaja."Waziri mkuu si alitoa tamko juzi?
πππTangu wamuue JPM hawajawahi kuwa na amani
Utawala wa Kimafya wa Sirikali Kuna kitu tunafichwa na Serikali lakini baadae tutakuja kuelewa kuna mchezo mbaya unatendeka hapo. Picha ya kutisha bado ina endelea tunaingojea mwisho wake itakuwaje? Nchi yetu haina amani kwa Raia wake mpaka viongozi wake. Kuna watu wachache wabaya aidha wapo ndani ya Serikali ya mama wetu au hawapo ndani ya Serikali ndio wanaofanya huo mchezo mbaya tungojee matokeo yake yatakuwaje?Very true utawala huu ni wamejaa mashetani na wanajenga Imani ya kuwa wao wanaua wenzao