Tundu Lissu: Kifo au ugonjwa wa kiongozi yeyote haufichiki. Tuambieni alipo Makamu wa Rais Philip Mpango

Hata mimi nimeanza kuchoka sasa, yuko wapi makamu wa Rais? Machinery zetu zinachukuliaje huu ukimya?

Its enough! Yuko wapi Makamu wa Rais? Mnafanya watu tujae hisia mbaya kinachowatokea viongozi wetu. What is going on?
Nchi yetu kwa sasa yatisha mno.

Raisi wa nchi akiwa na mchumi mzuri ambae aliweza kuinyanyua nchi hii kufikia uchumi wa kati na WB na IMF wakaridhika kwa shingo upande hiyo ni shida.
 
Kuanzia Moringe, Kolimba, Nyerere, n.k list ni ndefu sana. Na mashaka ni mengi mno! Lakini ukiunganisha dots zinatally
Dah!

Hata Mwalimu yumo kwenye hiyo orodha?

Jameni, mbona hawa watu mnataka kuwapa uwezo wa kutisha kiasi hicho?

Kwanza, wao hasa watakuwa ni akina nani, au nani anaongoza kundi la namna hiy hapa nchini!

Huyo Magufuli tu, kwanza wangeanzia wapi, wakati kila mtu alikwisha ufyata. Huko kwenye kitengo alikwishakufanya kama ni jeshi lake binafsi.

Watu hupenda sana kutunga hizi hadithi za kusadikika katika kila jambo mradi tu waonekane wao ni watu wa kipekee katika jamii.
 
Je, Ni adhabu Gani mtu anapewa akitoa Siri ya Baraza La Mawaziri au Siri ya Serikali mfano kuvujisha mkataba wa Bandari wa DPW?
 
Au basi ngoja nifunge Domo.
Ila Ila Kuna jamii ya watu Fulani wasipothibitiwa hapa Bongo Kuna maumivu yanakuja soon very soon.
 
Alipaswa kuwa Dubai kwenye mkutano wa Maswala ya Mazingira....

Na yeye ndo ..muhusika Mkuu...
Dot ziunganishwe......
 

Huo ni mwaka 1999. Mwalimu akijiandaa kupanda ndege kwenda kutibiwa.
Pamoja na kufuatilia matamko ya viongozi wako, fuatilia wenyeji wanasema nini. Na shughulisha akili yako!
 
Alipaswa kuwa Dubai kwenye mkutano wa Maswala ya Mazingira....

Na yeye ndo ..muhusika Mkuu...
Dot ziunganishwe......
Umeona eeeh... Kabla hata ya SSH na baraza la mawaziri kuweka kambi Dubai; Dr. Mpango na wataalamu wake walitakiwa kuwepo!
 
Ngoja tuone, kwa magufuli ilianza hivi mwisho wa siku yalitokea
 
Wakili mmoja maarufu hapa nchini aliwahi kusema kwamba "bora amuamini shetani kuliko kumuamini mtu huyu uliyemtaja."

Haaminiki mtu huyu, ni muongo muongo sana.Tena anasema uongo hadi kwenye nyumba za ibada(msikitini).
PolePole mze wa VX alinena kabisa nukuu
"ukiwa Umenyooka mithili ya Rula hawakuachi watakutilia vijineno, figisu na hata kutaka kukuua" nukta. Tanakaro sana haya!.
 
Umeona eeeh... Kabla hata ya SSH na baraza la mawaziri kuweka kambi Dubai; Dr. Mpango na wataalamu wake walitakiwa kuwepo!
Carbon crisis in Africa......

Iweje Muhusika Mkuu asiwepo DUBAI?

More to rethink.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…