Tundu Lissu: Kifo au ugonjwa wa kiongozi yeyote haufichiki. Tuambieni alipo Makamu wa Rais Philip Mpango

Tundu Lissu: Kifo au ugonjwa wa kiongozi yeyote haufichiki. Tuambieni alipo Makamu wa Rais Philip Mpango

Kufuatia kuhoji kwake, maana yake yeye TAL ashajua mbivu na mbichi!!
Ana detail zote kuhusu makamu wa Rais!!
[emoji26][emoji26]
Yes when you take two and two together unaweza ukafanya speculation kama hiyo uliyoiandika !!
Lakini bado itabaki kuwa ni speculation tu !!
 
Tundu Lissu kupitia akaunti binafsi ya mtandao wa X ameandika,

'Hivi Serikali hii ilijifunza chochote juu ya kifo cha Magufuli mwaka juzi? Kifo au ugonjwa wa kiongozi mkuu wa nchi havifichiki! Kufichaficha kunaleta hisia mbaya za mchezo mchafu dhidi yake. Jisafisheni! Tuambieni aliko Makamu wa Rais Phillip Mpango sasa!'


Pia soma > Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa: Makamu wa Rais, Philip Mpango yuko nje kwa majukumu
Duh!😞😞
 
Whatever secret is not sincere.
Sijui wanapata maslahi gani watu hawa kwa kuficha jambo hili???

Kwa wananchi wa kawaida, kutokana hali hii ya usiri wa. Kijinga, ni rahisi sana kuwahisi vibaya watu hawa kwamba "Wana ajenda yao mbaya ya Siri" dhidi ya mtu huyu aliyepotea ghafla machoni pa umma.

Ni rahisi sana kuwapata waovu ndani ya CCM kuliko watu wema.
 
Back
Top Bottom