Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umeondoka Lumumba lini??Hapo Lumumba hama tetesi zozote?
We ni mchumia tumbo?Whatever,i dont care.
Busy try to find my meal
So you cant think beyond your Meal?Whatever,i dont care.
Busy try to find my meal
Yes when you take two and two together unaweza ukafanya speculation kama hiyo uliyoiandika !!Kufuatia kuhoji kwake, maana yake yeye TAL ashajua mbivu na mbichi!!
Ana detail zote kuhusu makamu wa Rais!!
[emoji26][emoji26]
Nishachoka bwana, kila siku tulilie jambo hilohilo tu?Leo umekaza roho sana!
Kweli umechokaNishachoka bwana, kila siku tulilie jambo hilohilo tu?
Wasiseme kabisa.
Hivi ni kweli walimuua?Tangu wamuue JPM hawajawahi kuwa na amani
Yaliyopita si ndwele, tugange yajayoHivi ni kweli walimuua?
Hahaaaaa kama walivyoenda jana kupiga picha tu Hanang. Jamaa hawakupeleka hata chumvi kwa waathirika ila wakalamisha kupiga mapicha Hospitalini.Wazee wa kudandia treni kwa mbele washaanza hapo.
Meal,my life i mean not Ugali,So you cant think beyond your Meal?
Duh!😞😞Tundu Lissu kupitia akaunti binafsi ya mtandao wa X ameandika,
'Hivi Serikali hii ilijifunza chochote juu ya kifo cha Magufuli mwaka juzi? Kifo au ugonjwa wa kiongozi mkuu wa nchi havifichiki! Kufichaficha kunaleta hisia mbaya za mchezo mchafu dhidi yake. Jisafisheni! Tuambieni aliko Makamu wa Rais Phillip Mpango sasa!'
Pia soma > Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa: Makamu wa Rais, Philip Mpango yuko nje kwa majukumu
Na katiba mpya ishapatikana?Bandari ilishauzwa unataka agenda gani tena? Lumumba mtamalizana
Whatever secret is not sincere.
Sijui wanapata maslahi gani watu hawa kwa kuficha jambo hili???
Kwa wananchi wa kawaida, kutokana hali hii ya usiri wa. Kijinga, ni rahisi sana kuwahisi vibaya watu hawa kwamba "Wana ajenda yao mbaya ya Siri" dhidi ya mtu huyu aliyepotea ghafla machoni pa umma.
Ukiona Lissu kaongelea hili jambo ujueni seriousDuh
Nakumbuka Wakati Shujaa Magufuli haijulikani alipo J J Mnyika alitishia kutoa siri
Sasa tena J J naniliu yuko Marekani kwa akina dada wa Taifa!
A son of a bitch at your very bestDont be silly
Meal,my life i mean not Ugali,
Are you comin from kigoma?
Those are the only people can deny even to poo-poo when it comes they have to.
Nishachoka bwana, kila siku tulilie jambo hilohilo tu?
Wasiseme kabisa.