Dr hyperkid
JF-Expert Member
- Jun 7, 2019
- 12,679
- 25,646
lisu ache siasa za kishamba
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nchi yetu kwa sasa yatisha mno.Hata mimi nimeanza kuchoka sasa, yuko wapi makamu wa Rais? Machinery zetu zinachukuliaje huu ukimya?
Its enough! Yuko wapi Makamu wa Rais? Mnafanya watu tujae hisia mbaya kinachowatokea viongozi wetu. What is going on?
Doh!Siku AKIFA yule jamaa wa MSOGA ndo ntaamini kweli tuko serious katika KUTOANA ROHO.
Vinginevyo haya ni maigizo tu.
Dah!Kuanzia Moringe, Kolimba, Nyerere, n.k list ni ndefu sana. Na mashaka ni mengi mno! Lakini ukiunganisha dots zinatally
Au basi ngoja nifunge Domo.Utawala wa Kimafya wa Sirikali Kuna kitu tunafichwa na Serikali lakini baadae tutakuja kuelewa kuna mchezo mbaya unatendeka hapo. Picha ya kutisha bado ina endelea tunaingojea mwisho wake itakuwaje? Nchi yetu haina amani kwa Raia wake mpaka viongozi wake. Kuna watu wachache wabaya aidha wapo ndani ya Serikali ya mama wetu au hawapo ndani ya Serikali ndio wanaofanya huo mchezo mbaya tungojee matokeo yake yatakuwaje?
Alipaswa kuwa Dubai kwenye mkutano wa Maswala ya Mazingira....Tundu Lissu kupitia akaunti binafsi ya mtandao wa X ameandika,
'Hivi Serikali hii ilijifunza chochote juu ya kifo cha Magufuli mwaka juzi? Kifo au ugonjwa wa kiongozi mkuu wa nchi havifichiki! Kufichaficha kunaleta hisia mbaya za mchezo mchafu dhidi yake. Jisafisheni! Tuambieni aliko Makamu wa Rais Phillip Mpango sasa!'
Pia soma > Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa: Makamu wa Rais, Philip Mpango yuko nje kwa majukumu
Dah!
Hata Mwalimu yumo kwenye hiyo orodha?
Jameni, mbona hawa watu mnataka kuwapa uwezo wa kutisha kiasi hicho?
Kwanza, wao hasa watakuwa ni akina nani, au nani anaongoza kundi la namna hiy hapa nchini!
Huyo Magufuli tu, kwanza wangeanzia wapi, wakati kila mtu alikwisha ufyata. Huko kwenye kitengo alikwishakufanya kama ni jeshi lake binafsi.
Watu hupenda sana kutunga hizi hadithi za kusadikika katika kila jambo mradi tu waonekane wao ni watu wa kipekee katika jamii.
Umeona eeeh... Kabla hata ya SSH na baraza la mawaziri kuweka kambi Dubai; Dr. Mpango na wataalamu wake walitakiwa kuwepo!Alipaswa kuwa Dubai kwenye mkutano wa Maswala ya Mazingira....
Na yeye ndo ..muhusika Mkuu...
Dot ziunganishwe......
Ngoja tuone, kwa magufuli ilianza hivi mwisho wa siku yalitokeaTundu Lissu kupitia akaunti binafsi ya mtandao wa X ameandika,
'Hivi Serikali hii ilijifunza chochote juu ya kifo cha Magufuli mwaka juzi? Kifo au ugonjwa wa kiongozi mkuu wa nchi havifichiki! Kufichaficha kunaleta hisia mbaya za mchezo mchafu dhidi yake. Jisafisheni! Tuambieni aliko Makamu wa Rais Phillip Mpango sasa!'
Pia soma > Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa: Makamu wa Rais, Philip Mpango yuko nje kwa majukumu
PolePole mze wa VX alinena kabisa nukuuWakili mmoja maarufu hapa nchini aliwahi kusema kwamba "bora amuamini shetani kuliko kumuamini mtu huyu uliyemtaja."
Haaminiki mtu huyu, ni muongo muongo sana.Tena anasema uongo hadi kwenye nyumba za ibada(msikitini).
Carbon crisis in Africa......Umeona eeeh... Kabla hata ya SSH na baraza la mawaziri kuweka kambi Dubai; Dr. Mpango na wataalamu wake walitakiwa kuwepo!
Haaminiki tenaWaziri mkuu si alitoa tamko juzi?