Tundu Lissu; Kila atiapo mguu nguvu kubwa inatumika ila mwishoni anashinda, hatujifunzi tu?

Tundu Lissu; Kila atiapo mguu nguvu kubwa inatumika ila mwishoni anashinda, hatujifunzi tu?

Warabu siyo watu wema duniani. Wakisha jazana Nini kitatokea.Tuwe nao makini.
 
lisu ni kibaraka wa nchi za ulaya, na watamtumia huyu huyu kuharibu amani ya Tanzania watanzania tujitambue hatuna nchi nyingine zaidi ya Tanzania
Acha propaganda za kizamani dogo! Jiulize, ni kwani Malawi, Zambia, Kenya, Zaire na nchi nyinginezo zinazoongozwa na vyama vya upinzani raia wao hawajakimbia nchi zao iweje kwa Tanzania tu?
Huo ubongo wako wajaze nduguzo na elewa kuwa kile alichosema marehemu Lowasa kinakwenda kuwa applicable soon yaani matunda ya shule mlizoziita za kata zimesaidia kuiondoa hizo fikra duni unazotaka kuwaamisha wasomi wa shule za kata!
 
Mkuu unajua kuwa hawa watu wenye fikra za kizamani bado wapo mpaka sasa kwenye hii dunia ya utandawazi yaani uelewa unaweza kuupata kirahisi kuliko kawaida!
Jee wanasumbuliwa na uvivu wa kujielimisha au wamezaliwa na kilema cha upunguani?
 
Nimejaribu kufuatilia harakati za Mwenyekiti Tundu Lissu na kugundua ambalo wengi hawalioni, kila ajiingizapo hashindwi na mwishoni anafanikiwa.

Mifano:
1. 2010 alipogombea ubunge Rais Kikwete alitumia kampeni ya nguvu kuwa tahadharisha watu kuwa ni bora kumchagua urais Dr Slaa kuliko kumpa ubunge Lissu na alishinda kwa kishindo kikubwa.

2. Aliamua kugombea urais wa TLS na serikali ikatumia nguvu kubwa kuhakikisha hawezi kuwa kiongozi wa TLS hadi kutumia polisi kumuweka ndani ili ashindwe kuwahi Arusha kushiriki lakini hatimae alishinda urais wa TLS na kuanzia hapo cheo hicho kikapata umaarufu.

3. Alipambana bungeni kuhusu mikataba ya Makinikia huku dhahabu ikiibiwa kwenda nje hadi akaitwa msaliti na apotezwe. Risasi 16 zikashindwa kumuondoa.

4. Ameamua kugombea Uenyekiti Chadema CCM na dola wametumia nguvu kubwa kuhakikisha kila kitu kifanyike asishinde nafasi hiyo. Lakini hatimaye katika uchaguzi huru akashinda.

5. Sasa hili la sasa ambalo ingawa Chadema hawaja mdhibitisha kuwa mgombea ila picha inasomeka hivyo, tayari hujuma dhidi yake zimeanza ikiwemo kumfungulia kesi nzito kuliko zote nchini yaani UHAINI.

Je, hatima ya Lissu itarejea palepale kuwa huwa anamaliza mshindi? Msimamo wa No reforms no election utafaulu?

Je, huyu kiumbe ni mteule wa Mungu na kuwa mapenzi ya Mungu huwa lazima yatimizwe?
Tumewahi kuyaona yaliyowapata huko nyuma marais wa Zambia na Senegal na hatima zao leo hii. Viongozi na wakuu wa polisi hali hii haiwatii hofu kupambana na mapenzi ya Mungu?
Tundu Lissu Mpakwa Mafuta wa Bwana
 
Acha propaganda za kizamani dogo! Jiulize, ni kwani Malawi, Zambia, Kenya, Zaire na nchi nyinginezo zinazoongozwa na vyama vya upinzani raia wao hawajakimbia nchi zao iweje kwa Tanzania tu?
Huo ubongo wako wajaze nduguzo na elewa kuwa kile alichosema marehemu Lowasa kinakwenda kuwa applicable soon yaani matunda ya shule mlizoziita za kata zimesaidia kuiondoa hizo fikra duni unazotaka kuwaamisha wasomi wa shule za kata!
Tusubiri tuone Mkuu, Mimi sina chama Tanzania ila habari hizi ni kutoka Kwa watu wa karibu sana na yeye, hivo mwisho wa siku tutaona tu.
 
Back
Top Bottom