Tundu Lissu; Kila atiapo mguu nguvu kubwa inatumika ila mwishoni anashinda, hatujifunzi tu?

Tundu Lissu; Kila atiapo mguu nguvu kubwa inatumika ila mwishoni anashinda, hatujifunzi tu?

Una uhakika gani chadema wakishinda watakua tofauti na ccm!?
Nb: sina chama nchi hii Kwan hata ccm ni wapigaji vile vile hivo suruhisho la kweli nchi hii, ni yatokee kwanza yaliyotokea baadhi ya nchi Africa magharibi, baada ya hapo ndo tutaona tuanzie wapi.
Tusiwahukumu kwa vile hawajapata kuongoza na wananchi ndio wataamua ikitokezea tofauti na waliyoyaahidi.
 
Wewe mbona unajisahaulisha?? Sanduku la kura kwa mifumo yetu huwa haiamui mshindi. Bali mshindi hutangazwa kwa maelekezo maalum. Ndiyo maana tunasema NO REFORMS NO ELECTION ili sanduku la kura liwe na nguvu ya kuamua.

2020 hakukua na uchaguzi wa huru na jiwe alishindwa vibaya sana, kilichofanyika nikupitishana bila kupingwa na kutangazwa na ccm kujitangaza msindi ilq Lissu alishinda kwa kura nyingi. Na mwisho hata kuiba mlikuwa hamjui. Ona hii aibu ya ccm ya kilivyokuwa kijinga sasa hapo utasema kulikuwa na uchaguzi?View attachment 3304908View attachment 3304910View attachment 3304913View attachment 3304916
Kama kwa yote haya bado hakuelewi basi akili aliyo baki nayo ni ya kumpeleka maliwato tuu
 
Tusiwahukumu kwa vile hawajapata kuongoza na wananchi ndio wataamua ikitokezea tofauti na waliyoyaahidi.
Ni kweli Mkuu mda utaongea, lakini lisu anamaadui wengi sana, wana ng'ata na kupuliza asipo wagundua mapema ccm watawatumia hao kumkwamisha tena round hii.
 
lisu ni kibaraka wa nchi za ulaya, na watamtumia huyu huyu kuharibu amani ya Tanzania watanzania tujitambue hatuna nchi nyingine zaidi ya Tanzania
Hata samia ni kibaraka wa waarabu anagawa mali za Tanganyika kama kanga zake ....pumbavu zako
 
Hana hela kweli, lakini hao jamaa wanaakiri Sana maana wamegundua jamaa japokua hana hela, ila anaushawishi wakutosha hivo ni rahisi kumtumia kutimiza marengo yao.
Kumbe mnatambua ushawishi wake.!
 
Hata samia ni kibaraka wa waarabu anagawa mali za Tanganyika kama kanga zake ....pumbavu zako
Hapa mkuu bado hatuna chama, suruhisho ni mapinduzi kijeshi, tuta tukanana bure kwaajili ya wana siasa ambao hakuna hata mmoja mwenye nia njema na nchi, si waliopo madarakani au wapinzani hatuwasadiki, maana hao hao wapinzani tunaotegemea watupiganie kuwashinda ccm, unakuta wanagombania mamlaka tena wenyewe ndani ya chama chao, wanashindwa kumwamini ndugu Antipas, na wengine wanashinda majumbani wakuu wa chama tawala, unategemea nini?
 
Jeshi gani lipindue serikali ya ccm?, Hili kinaloingilia mambo ya kisiasa?, Hili ambalo Halina uchungu na mali za Tz?. Ungesema raia tuamue kwa pamoja tuingie barabarani,msituni Sawa. Tz hatuna jeshi linaloweza kumfanya mapinduzi.
 
Shida ya watanzania wengi mkuu ni waoga sana, kwa mdomo hawajambo vitendo O%
 
  • Thanks
Reactions: Exy
Back
Top Bottom