Tundu Lissu; Kila atiapo mguu nguvu kubwa inatumika ila mwishoni anashinda, hatujifunzi tu?

Mkuu huyo lisu mwenyewe na wenzake wanagombana kila siku, unategemea nini!? Mimi sina chama, ila baadhi ya vyama vinaudhaifu mkubwa Sana.
Nani kakuambia wanagombana? Wanaogombana ingawa wewe unaweza kutokuelewa ni wale ambao wanapeana hadi sumu kwenye vikao halafu wakitoka kikaoni wanajifanya kucheka!
Hayo uyaonayo ya G55 ni michuano ya kisiasa ndani ya mawazo ya wanachama. Bahati mbaya KUNA MKONO WA CCM ndani yake
 
😅😅😅
 
M
Kibaraka kivipi? Hivi CCM bado mnaamini Watanzania tutawaamini na propaganda zenu mfu hizo?

Lissu anayetetea rasilimali za Taifa na nyie mnaozipora na kuziuza alafu hela mnakula wenyewe nani kibaraka? Tena nyie ni mashetani kabisa.
Mkuu sina chama, ila upinzani ongezeni u serious mkitaka kushinda kuna drama nyingi sana ndani ya chadema, muulize lisu leo anatamani kumtimua kila mtu, chadema imeoza sana kwa ndani, na walio iozesha ni hao hao mnaowaamini, yaaani viongozi wa juu wa chama. antipas huenda ataweza.
 
Hana hela kweli, lakini hao jamaa wanaakiri Sana maana wamegundua jamaa japokua hana hela, ila anaushawishi wakutosha hivo ni rahisi kumtumia kutimiza marengo yao.
Ushawish is not enough, utashawish vipi watu bila kuwa na pesa?
Una run vipi hizo operesheni? Kama huna pesa huwez fanya lolote

Ndio maana nakwambia fuatilia history, wazungu hawapeleki hela kwa masikini, wanatafuta watu ambao tayari wanazo

Pesa ndio nguvu kwa dunia ya sasa
 
Nimejaribu kufuatilia harakati za Mwenyekiti Tundu Lissu na kugundua ambalo wengi hawalioni, kila ajiingizapo hashindwi na mwishoni anafanikiwa.

Mifano:
1. 2010 alipogombea ubunge Rais Kikwete alitumia kampeni ya nguvu kuwa tahadharisha watu kuwa ni bora kumchagua urais Dr Slaa kuliko kumpa ubunge Lissu na alishinda kwa kishindo kikubwa.

2. Aliamua kugombea urais wa TLS na serikali ikatumia nguvu kubwa kuhakikisha hawezi kuwa kiongozi wa TLS hadi kutumia polisi kumuweka ndani ili ashindwe kuwahi Arusha kushiriki lakini hatimae alishinda urais wa TLS na kuanzia hapo cheo hicho kikapata umaarufu.

3. Alipambana bungeni kuhusu mikataba ya Makinikia huku dhahabu ikiibiwa kwenda nje hadi akaitwa msaliti na apotezwe. Risasi 16 zikashindwa kumuondoa.

4. Ameamua kugombea Uenyekiti Chadema CCM na dola wametumia nguvu kubwa kuhakikisha kila kitu kifanyike asishinde nafasi hiyo. Lakini hatimaye katika uchaguzi huru akashinda.

5. Sasa hili la sasa ambalo ingawa Chadema hawaja mdhibitisha kuwa mgombea ila picha inasomeka hivyo, tayari hujuma dhidi yake zimeanza ikiwemo kumfungulia kesi nzito kuliko zote nchini yaani UHAINI.

Je, hatima ya Lissu itarejea palepale kuwa huwa anamaliza mshindi? Msimamo wa No reforms no election utafaulu?

Je, huyu kiumbe ni mteule wa Mungu na kuwa mapenzi ya Mungu huwa lazima yatimizwe?
Tumewahi kuyaona yaliyowapata huko nyuma marais wa Zambia na Senegal na hatima zao leo hii. Viongozi na wakuu wa polisi hali hii haiwatii hofu kupambana na mapenzi ya Mungu?
Hii nchi hatuna usalama wa taifa. TISS badala ya kumshauri Raisi wao wanachukua order tu. Yaani wanazidi kumkuza Lissu. TISS waliruhusu kivipi Lissu apigwe risasi ? Wamemuongezea umaarufu.
 
6. Mwaka 2020 aligombea urais akashindwa vibaya akaenda uhamisho akarudi kwa huruma ya Samia! Mbona umejisahaulisha hii makusudi!
Wewe mbona unajisahaulisha?? Sanduku la kura kwa mifumo yetu huwa haiamui mshindi. Bali mshindi hutangazwa kwa maelekezo maalum. Ndiyo maana tunasema NO REFORMS NO ELECTION ili sanduku la kura liwe na nguvu ya kuamua.
 
Mapumbavu ya Lumumba
Mpox imeishia wapi
Pripaganda za 1967 enzi za ujamaa unaleta miaka ya AI na high -tech
Sina chama, ila ukweli bado hakuna chama serious nchii hii, chadema imepasuka sana Mkuu ina nyufa zakutosha, watashinda wajielewana wenyewe kwanza
 
Ipo nguvu kubwa sana ya dola imewekwa kuipasua chadema.

Uzuri viongozi wakuu wako pamoja na wanachama asilimia kubwa wanaelewa nini kinaendelea naamini yanatatulika.

Adui mkuu wa nchi yetu ni CCM. Kwa sababu kilipewa nguvu kubwa na sasa hivi nguvu hizo zimeshikiliwa na maadui zetu wasiolitakia mema taifa letu.

Nyerere angekuwa hai leo angejiunga Chadema
 
Ushawish is not enough, utashawish vipi watu bila kuwa na pesa?
Una run vipi hizo operesheni? Kama huna pesa huwez fanya lolote

Ndio maana nakwambia fuatilia history, wazungu hawapeleki hela kwa masikini, wanatafuta watu ambao tayari wanazo

Pesa ndio nguvu kwa dunia ya sasa
Sasa kama ni hivo, lisu afanye safisha safisha ndani ya cahama chake, maana wanao choma kambi wapo karibu nae sana, inatakiwa awe makini atafanikiwa tu.
 
lisu ni kibaraka wa nchi za ulaya, na watamtumia huyu huyu kuhalibu amani ya Tanzania watanzania tujitambue hatuna nchi nyingine zaidi ya Tanzania
Ungefafanua AMANI ya TANZANIA Itaharibika vipi kama lisu akiwa raisi?
Kwann amani ya zambia na senegal hazijaharibika.
Kati ya HAKI na AMANI wewe unapenda zaidi kipi?
 
Ipo nguvu kubwa sana ya dola imewekwa kuipasua chadema.

Uzuri viongozi wakuu wako pamoja na wanachama asilimia kubwa wanaelewa nini kinaendelea naamini yanatatulika.

Adui mkuu wa nchi yetu ni CCM. Kwa sababu kilipewa nguvu kubwa na sasa hivi nguvu hizo zimeshikiliwa na maadui zetu wasiolitakia mema taifa letu.

Nyerere angekuwa hai leo angejiunga Chadema
Mkuu kikubwa lisu asafishe virus ndani ya chama chake, wanaomchoma wapo karibu nae sana ndani ya chama, ccm lazima wawagombanishe ni moja ya mbinu za ushindi. Chadema inawasaliti wakubwa tena ni moja ya viongozi wenye ushawishi ndani ya chama
 
M

Mkuu sina chama, ila upinzani ongezeni u serious mkitaka kushinda kuna drama nyingi sana ndani ya chadema, muulize lisu leo anatamani kumtimua kila mtu, chadema imeoza sana kwa ndani, na walio iozesha ni hao hao mnaowaamini, yaaani viongozi wa juu wa chama. antipas huenda ataweza.
Kwa hio unaona chama tawala wapo serious kuliko Chadema licha ya kutofautiana kwa maoni kwa mtazamo wako?U-serious unaupima kwenye mambo yapi hasa kwa mfano?
 
lisu ni kibaraka wa nchi za ulaya, na watamtumia huyu huyu kuhalibu amani ya Tanzania watanzania tujitambue hatuna nchi nyingine zaidi ya Tanzania
...Hapa kuna amani gani Mkuu.....jamani acheni kusikiliza matumbo yenu......Objective ya Lisu sio kuwa Rais....ni kuhakikisha TUME inakuwa Huru...Ndio dhana ya ....No reform no election.....Tusiandike kishabiki...Kama wewe unanufaika na mfumo huu bora ukae kimya...utaonekana una busara
 
Nimejaribu kufuatilia harakati za Mwenyekiti Tundu Lissu na kugundua ambalo wengi hawalioni, kila ajiingizapo hashindwi na mwishoni anafanikiwa.

Mifano:
1. 2010 alipogombea ubunge Rais Kikwete alitumia kampeni ya nguvu kuwa tahadharisha watu kuwa ni bora kumchagua urais Dr Slaa kuliko kumpa ubunge Lissu na alishinda kwa kishindo kikubwa.

2. Aliamua kugombea urais wa TLS na serikali ikatumia nguvu kubwa kuhakikisha hawezi kuwa kiongozi wa TLS hadi kutumia polisi kumuweka ndani ili ashindwe kuwahi Arusha kushiriki lakini hatimae alishinda urais wa TLS na kuanzia hapo cheo hicho kikapata umaarufu.

3. Alipambana bungeni kuhusu mikataba ya Makinikia huku dhahabu ikiibiwa kwenda nje hadi akaitwa msaliti na apotezwe. Risasi 16 zikashindwa kumuondoa.

4. Ameamua kugombea Uenyekiti Chadema CCM na dola wametumia nguvu kubwa kuhakikisha kila kitu kifanyike asishinde nafasi hiyo. Lakini hatimaye katika uchaguzi huru akashinda.

5. Sasa hili la sasa ambalo ingawa Chadema hawaja mdhibitisha kuwa mgombea ila picha inasomeka hivyo, tayari hujuma dhidi yake zimeanza ikiwemo kumfungulia kesi nzito kuliko zote nchini yaani UHAINI.

Je, hatima ya Lissu itarejea palepale kuwa huwa anamaliza mshindi? Msimamo wa No reforms no election utafaulu?

Je, huyu kiumbe ni mteule wa Mungu na kuwa mapenzi ya Mungu huwa lazima yatimizwe?
Tumewahi kuyaona yaliyowapata huko nyuma marais wa Zambia na Senegal na hatima zao leo hii. Viongozi na wakuu wa polisi hali hii haiwatii hofu kupambana na mapenzi ya Mungu?
,,,hata kina Mandela na Nyerere walipitia haya
 
...Hapa kuna amani gani Mkuu.....jamani acheni kusikiliza matumbo yenu......Objective ya Lisu sio kuwa Rais....ni kuhakikisha TUME inakuwa Huru...Ndio dhana ya ....No reform no election.....Tusiandike kishabiki...Kama wewe unanufaika na mfumo huu bora ukae kimya...utaonekana una busara
Kwa hio unaona chama tawala wapo serious kuliko Chadema licha ya kutofautiana kwa maoni kwa mtazamo wako?U-serious unaupima kwenye mambo yapi hasa kwa mfano?
Hakuna chama serious Tanzania, ila chadema gafra imekua na wasaliti wakubwa ambao wanamtafuna lisu kuna vigogo wa chadema wanashinda kwa vigogo wa ccm kila siku, sasa kuna nini hapo? Ndo maana nikasema Lisu kama anataka kweli harakati zake zifanikiwe apitishe fagio la chuma ndani ya chama chake, kuna mayuda wengi sana wanaimchoma
 
Back
Top Bottom