Ccm ni chama ,na kama chama hakina shida, shida inaanzia pale tu , chama kua mikononi mwa watu ambao hawajui kwa nini ccm inaitwa ccm, Mr nchimbi jitafakari sana , Taifa ni kubwa kuliko ukoo wako, na tamaa zako za kuwa makam wa rais by the way , Mungu anakataa kwa sauti kubwa.
Nchimbi ipo siku utajificha chini ya meza, acha utoto wakati hu mtu zima.
Tafuta ufalme wa mbingu mengine badae.
Taifa sio ccm ,urais au umakamu wa Rais sio Taifa .
Nchi mpaka sasa imeingia kwenye mkwamo wa kisiasa ,alafu wasema wasiotaka kushiriki wasilazimishwe.
We Mungu?
Kitendo cha mwenyeki ,lissu kuwa ndani ,inasemekana upo mkono wako ,ila mtashindwa vibaya sana ,asema Bwana.
Kama ndivyo tuwe na tumaini gani kutoka kwako?
By the way Mungu amekukataa