Tundu Lissu kila nikijilazimisha nimuone wa maana, moyo unagoma tu, simpendi na sipendi awe kiongozi kokote kule!

Kisamvu cha kopo
 
LISSU alitaka kuuwawa na magufuli sababu ilikua kuhatalisha ugali wa magufuli na CCM yake mkiwemo nyinyi mbumbumbu jazz band
 
Sijapinga sifa zake zote za kuwapigania wananchi mkuu, shida yake moja ni kutoamini kwamba nchi yetu inauhuru na kwamba sisi tunaweza kumaliza mambo yetu bila mkono wa mzungu
Uhuru unamipaka! Uliuza madini yako mwenyewe wakati wa mkapa lisu hajawahi kuwa sehemu ya bunge wakati huo kosa lake ni kutoa angalizo. Kama unaami Tz ina uhuru huo kama nchi mbona mikataba ya madini ni SIRI MPAKA LEO???? Ipelekeni bungeni mukaijadili sasa? Kwani lisu yupo bungeni?
 
Unatatizo gani na wazungu kisamv Cha kopo?
 
Tundu anataka Rais aongozwe na mifumo Bora ya katiba siyo na akili yake.Hayo uliyoyasema yanatokana na mitazamo yake.Mbona kaka yetu JPM naye alikuwa akiendeshwa na mitazamo yake kuzidi hata Antipas?
 
Baada ya kushindwa kupambana na taasisi Chadema mmeanza kupambana na viongozi mmoja mmoja hilo nalo litashindikana.
 
Jinsia yako tafadhali. Kwani huyo Lissu amekuambia anakupenda
 
Unachanganya chuki na umasikini si utakufa mkuu
 
Sijapinga sifa zake zote za kuwapigania wananchi mkuu, shida yake moja ni kutoamini kwamba nchi yetu inauhuru na kwamba sisi tunaweza kumaliza mambo yetu bila mkono wa mzungu
Ni kitu gani utafanya bila mzungu?alituaminjsha tunatekeleza kwa hela zetu,muulize kabudi na ditto walikola kiasi gani kwa wazungu?

Leo mama anaupiga mwingi,ameshachukua ngapi kwa wazungu.ni majuzi tu mpina kahoji bungeni mwigulu kakopa bila bunge kuijua trillion ngapi unajua?

Migodi yetu yote inachimbwa na wazungu,na Bado wanakuja kuchimba uranium na chuma Cha liganga na mchuchuma.

Dawa za ukimwi ni maaada wa mzungu,dawa za TB ni maaada wa wazungu,dawa za maralia tunazopewa Bure ni maaada wa wazungu.

Pita pale ubungo flyover ukague bango la mradi utaona financial ni wazungu na hata tazara financial ni wazungu!!!inatosha,tafakari.

Bado chanjo.,bila mzungu hutoboi usijidanganye.
 
Kwani ule mkutano wenu wa makatibu mukhtasi umeshafika mpaka uwe Unguja leo!!??
 
Huyo unayemzungumzia ni mwanaharakati kama walivyo akina Malema na wengine hana sifa ya kuwa mwanasiasa. Wanasiasa ni kama akina Mbowe, Mnyika, slaa
Kabisa, maana ya mwanasiasa ni kuwa na ukondoo fulani, au kutii watakayo CCM.
 

Naona wafuasi wa dhalimu kila mmoja kwa nafasi yake anakuja na mashairi yake. Hakuna popote Lisu analazimisha kupedwa na Wafuasi wa dhalimu. Hivyo we usipompenda kwake ndio faraja.
 
Ukisha left group ni lazima uwe hivyo, maana hakuna namna
 
Great Scientists of the century hawakuweza kumwelewa Albert Einstein na theory yake ya Special and general relativity kwa sababu kiwango chao cha kufikiri kilikuwa cha chini sana (wakati ni admired scientists). hakuna aliyekubaliana na theory zake hizo. Only later ndio wakaona ukweli wa science aliyokuwa ameiwaza kichwani.
sasa wewe uko kwenye hao scientist with low thinking capacity compared to Einstein, LIKWISE THE SAME WITH YOU AND LISU kwa akili ya Lisu
 
January Makamb bwana, una vituko wewe dogo!
 
Huyu lissu mtu wa ovyo sana hafai kuongoza hata mtaa hapa tz. Ni kibaraka mkubwa wanajitahidi mabwana zake wa ulaya aongeze nchi ili awakabidhi. Nashangaa unapoteza muda kumchambua kibaraka huyu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…