exaud morrey
JF-Expert Member
- May 22, 2017
- 1,024
- 977
Labda unamimba jitahidi ukapime
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tena kisamvu cha kopo,
Kisamvu cha kopoMkisema upeo wangu ni mdogo sawa tu! Na matusi yoote juu yangu sawa tu,
Lakini leo nataka tu niseme ukweli wa moyo wangu,
Mh Tundu Lissu ni kweli kabisa ni kati ya wanasiasa wanaoifaa sana nchi yangu Tanzania,
Tanzania bila viongozi wenye uthubutu wa kufanya mambo, tutaendelea kubaki nyuma siku zote, na Mh Lissu hizo sifa anazo, kulingana na misimamo yake weledi na ujasiri wa kukabiliana na wanasiasa njaa na uthubutu wa kukemea kila uovu hadharani, inatosha kusema, huyu pia ni kati ya wanasiasa wanaofaa kuwapo kwenye Top Lider wa kuiongoza Tanzania
Licha ya sifa hizo zoote, simpendi tu na Namuomba Mungu kila siku asiwe kiongozi kwenye nafasi yoyote ile ya nchi hii
Moja ya sababu inayopelekea kumchukia, ninadhani na ingawa sina uhakika nalo, kwamba, ni kati ya watu ambao huwenda wanasiri kubwa sana moyoni kuhusu mstakabali wa nchi na rasilimali zake kutokana na anavyowahusudu wazungu
Moja ya mambo ambayo yanafanya kuona kwamba yeye na wazungu ni kitu kimoja, ni pamoja na kuhamishia familia yake yeye na watoto wake kuwa raia wa huko, kujaribu kutetea mila za kishoga ambazo sio utamaduni wa mwafrika ni moja kati ya mengi yanayonifanya nisiuone umaana wowote kwake
Jambo lingine, ni pamoja na yeye kuamini saaana kwamba, matatizo ya nchi yetu hatuwezi kuyamaliza sisi kwa sisi mpaka kuwepo na mkono wa mzungu
Mfano,
Mashitaka yake mengi kipindi cha uongozi wa (JPM) wengi hupenda kumwiita dhalimu ili hali sifa za huyo Dhalimu zinafanana kwa ukaribu saana na Mh Lisuu, alikuwa akishinikiza mkono wa mzungu utumike kumng'oa Magufuli hata kama ni kosa moja tu la Magufuli kafanya, wakati huo huo mkono wa mzungu popote pale ulipotumika kung'oa viongozi wa nchi mbalimbali, hakujawahi kuwepo Amani tena,
Alitaka hivyo ili tulioko huku tuumie yeye akiendelea kula mayai ulaya?
Mtu asiyejiamini katika kutatua matatizo yake mwenyewe, atawasaidia nini wananchi ambao wamajaa matatizo lukuki? Kuzungumza na kuweka sawa mikataba ambayo sisi kama nchi tunaona ni kama tumelaliwa, mpaka tuwaulize wazungu huku tunajigamba ni nchi huru?
Huo ndio udhaifu mkubwa wa huyu ndugu yetu na ambapo Mimi binafsi stamani kabisa tuwe na kiongozi mfano wa huyu!
Wenye kutukana, tukaneni na usiku mtalala!
Kisamv,
Kwa sasa niko kwenye visiwa vya karafuu Zanzibar
LISSU alitaka kuuwawa na magufuli sababu ilikua kuhatalisha ugali wa magufuli na CCM yake mkiwemo nyinyi mbumbumbu jazz bandMkisema upeo wangu ni mdogo sawa tu! Na matusi yoote juu yangu sawa tu,

Uhuru unamipaka! Uliuza madini yako mwenyewe wakati wa mkapa lisu hajawahi kuwa sehemu ya bunge wakati huo kosa lake ni kutoa angalizo. Kama unaami Tz ina uhuru huo kama nchi mbona mikataba ya madini ni SIRI MPAKA LEO???? Ipelekeni bungeni mukaijadili sasa? Kwani lisu yupo bungeni?Sijapinga sifa zake zote za kuwapigania wananchi mkuu, shida yake moja ni kutoamini kwamba nchi yetu inauhuru na kwamba sisi tunaweza kumaliza mambo yetu bila mkono wa mzungu
Unatatizo gani na wazungu kisamv Cha kopo?Mkisema upeo wangu ni mdogo sawa tu! Na matusi yoote juu yangu sawa tu,
Lakini leo nataka tu niseme ukweli wa moyo wangu,
Mh Tundu Lissu ni kweli kabisa ni kati ya wanasiasa wanaoifaa sana nchi yangu Tanzania,
Tanzania bila viongozi wenye uthubutu wa kufanya mambo, tutaendelea kubaki nyuma siku zote, na Mh Lissu hizo sifa anazo, kulingana na misimamo yake weledi na ujasiri wa kukabiliana na wanasiasa njaa na uthubutu wa kukemea kila uovu hadharani, inatosha kusema, huyu pia ni kati ya wanasiasa wanaofaa kuwapo kwenye Top Lider wa kuiongoza Tanzania
Licha ya sifa hizo zoote, simpendi tu na Namuomba Mungu kila siku asiwe kiongozi kwenye nafasi yoyote ile ya nchi hii
Moja ya sababu inayopelekea kumchukia, ninadhani na ingawa sina uhakika nalo, kwamba, ni kati ya watu ambao huwenda wanasiri kubwa sana moyoni kuhusu mstakabali wa nchi na rasilimali zake kutokana na anavyowahusudu wazungu
Moja ya mambo ambayo yanafanya kuona kwamba yeye na wazungu ni kitu kimoja, ni pamoja na kuhamishia familia yake yeye na watoto wake kuwa raia wa huko, kujaribu kutetea mila za kishoga ambazo sio utamaduni wa mwafrika ni moja kati ya mengi yanayonifanya nisiuone umaana wowote kwake
Jambo lingine, ni pamoja na yeye kuamini saaana kwamba, matatizo ya nchi yetu hatuwezi kuyamaliza sisi kwa sisi mpaka kuwepo na mkono wa mzungu
Mfano,
Mashitaka yake mengi kipindi cha uongozi wa (JPM) wengi hupenda kumwiita dhalimu ili hali sifa za huyo Dhalimu zinafanana kwa ukaribu saana na Mh Lisuu, alikuwa akishinikiza mkono wa mzungu utumike kumng'oa Magufuli hata kama ni kosa moja tu la Magufuli kafanya, wakati huo huo mkono wa mzungu popote pale ulipotumika kung'oa viongozi wa nchi mbalimbali, hakujawahi kuwepo Amani tena,
Alitaka hivyo ili tulioko huku tuumie yeye akiendelea kula mayai ulaya?
Mtu asiyejiamini katika kutatua matatizo yake mwenyewe, atawasaidia nini wananchi ambao wamajaa matatizo lukuki? Kuzungumza na kuweka sawa mikataba ambayo sisi kama nchi tunaona ni kama tumelaliwa, mpaka tuwaulize wazungu huku tunajigamba ni nchi huru?
Huo ndio udhaifu mkubwa wa huyu ndugu yetu na ambapo Mimi binafsi stamani kabisa tuwe na kiongozi mfano wa huyu!
Wenye kutukana, tukaneni na usiku mtalala!
Kisamv,
Kwa sasa niko kwenye visiwa vya karafuu Zanzibar
Tundu anataka Rais aongozwe na mifumo Bora ya katiba siyo na akili yake.Hayo uliyoyasema yanatokana na mitazamo yake.Mbona kaka yetu JPM naye alikuwa akiendeshwa na mitazamo yake kuzidi hata Antipas?Mkisema upeo wangu ni mdogo sawa tu! Na matusi yoote juu yangu sawa tu,
Lakini leo nataka tu niseme ukweli wa moyo wangu,
Mh Tundu Lissu ni kweli kabisa ni kati ya wanasiasa wanaoifaa sana nchi yangu Tanzania,
Tanzania bila viongozi wenye uthubutu wa kufanya mambo, tutaendelea kubaki nyuma siku zote, na Mh Lissu hizo sifa anazo, kulingana na misimamo yake weledi na ujasiri wa kukabiliana na wanasiasa njaa na uthubutu wa kukemea kila uovu hadharani, inatosha kusema, huyu pia ni kati ya wanasiasa wanaofaa kuwapo kwenye Top Lider wa kuiongoza Tanzania
Licha ya sifa hizo zoote, simpendi tu na Namuomba Mungu kila siku asiwe kiongozi kwenye nafasi yoyote ile ya nchi hii
Moja ya sababu inayopelekea kumchukia, ninadhani na ingawa sina uhakika nalo, kwamba, ni kati ya watu ambao huwenda wanasiri kubwa sana moyoni kuhusu mstakabali wa nchi na rasilimali zake kutokana na anavyowahusudu wazungu
Moja ya mambo ambayo yanafanya kuona kwamba yeye na wazungu ni kitu kimoja, ni pamoja na kuhamishia familia yake yeye na watoto wake kuwa raia wa huko, kujaribu kutetea mila za kishoga ambazo sio utamaduni wa mwafrika ni moja kati ya mengi yanayonifanya nisiuone umaana wowote kwake
Jambo lingine, ni pamoja na yeye kuamini saaana kwamba, matatizo ya nchi yetu hatuwezi kuyamaliza sisi kwa sisi mpaka kuwepo na mkono wa mzungu
Mfano,
Mashitaka yake mengi kipindi cha uongozi wa (JPM) wengi hupenda kumwiita dhalimu ili hali sifa za huyo Dhalimu zinafanana kwa ukaribu saana na Mh Lisuu, alikuwa akishinikiza mkono wa mzungu utumike kumng'oa Magufuli hata kama ni kosa moja tu la Magufuli kafanya, wakati huo huo mkono wa mzungu popote pale ulipotumika kung'oa viongozi wa nchi mbalimbali, hakujawahi kuwepo Amani tena,
Alitaka hivyo ili tulioko huku tuumie yeye akiendelea kula mayai ulaya?
Mtu asiyejiamini katika kutatua matatizo yake mwenyewe, atawasaidia nini wananchi ambao wamajaa matatizo lukuki? Kuzungumza na kuweka sawa mikataba ambayo sisi kama nchi tunaona ni kama tumelaliwa, mpaka tuwaulize wazungu huku tunajigamba ni nchi huru?
Huo ndio udhaifu mkubwa wa huyu ndugu yetu na ambapo Mimi binafsi stamani kabisa tuwe na kiongozi mfano wa huyu!
Wenye kutukana, tukaneni na usiku mtalala!
Kisamv,
Kwa sasa niko kwenye visiwa vya karafuu Zanzibar
Baada ya kushindwa kupambana na taasisi Chadema mmeanza kupambana na viongozi mmoja mmoja hilo nalo litashindikana.Mkisema upeo wangu ni mdogo sawa tu! Na matusi yoote juu yangu sawa tu,

Jinsia yako tafadhali. Kwani huyo Lissu amekuambia anakupendaMkisema upeo wangu ni mdogo sawa tu! Na matusi yoote juu yangu sawa tu,

Unachanganya chuki na umasikini si utakufa mkuuMkisema upeo wangu ni mdogo sawa tu! Na matusi yoote juu yangu sawa tu,

Ni kitu gani utafanya bila mzungu?alituaminjsha tunatekeleza kwa hela zetu,muulize kabudi na ditto walikola kiasi gani kwa wazungu?Sijapinga sifa zake zote za kuwapigania wananchi mkuu, shida yake moja ni kutoamini kwamba nchi yetu inauhuru na kwamba sisi tunaweza kumaliza mambo yetu bila mkono wa mzungu
Kwani ule mkutano wenu wa makatibu mukhtasi umeshafika mpaka uwe Unguja leo!!??Mkisema upeo wangu ni mdogo sawa tu! Na matusi yoote juu yangu sawa tu,
Lakini leo nataka tu niseme ukweli wa moyo wangu,
Mh Tundu Lissu ni kweli kabisa ni kati ya wanasiasa wanaoifaa sana nchi yangu Tanzania,
Tanzania bila viongozi wenye uthubutu wa kufanya mambo, tutaendelea kubaki nyuma siku zote, na Mh Lissu hizo sifa anazo, kulingana na misimamo yake weledi na ujasiri wa kukabiliana na wanasiasa njaa na uthubutu wa kukemea kila uovu hadharani, inatosha kusema, huyu pia ni kati ya wanasiasa wanaofaa kuwapo kwenye Top Lider wa kuiongoza Tanzania
Licha ya sifa hizo zoote, simpendi tu na Namuomba Mungu kila siku asiwe kiongozi kwenye nafasi yoyote ile ya nchi hii
Moja ya sababu inayopelekea kumchukia, ninadhani na ingawa sina uhakika nalo, kwamba, ni kati ya watu ambao huwenda wanasiri kubwa sana moyoni kuhusu mstakabali wa nchi na rasilimali zake kutokana na anavyowahusudu wazungu
Moja ya mambo ambayo yanafanya kuona kwamba yeye na wazungu ni kitu kimoja, ni pamoja na kuhamishia familia yake yeye na watoto wake kuwa raia wa huko, kujaribu kutetea mila za kishoga ambazo sio utamaduni wa mwafrika ni moja kati ya mengi yanayonifanya nisiuone umaana wowote kwake
Jambo lingine, ni pamoja na yeye kuamini saaana kwamba, matatizo ya nchi yetu hatuwezi kuyamaliza sisi kwa sisi mpaka kuwepo na mkono wa mzungu
Mfano,
Mashitaka yake mengi kipindi cha uongozi wa (JPM) wengi hupenda kumwiita dhalimu ili hali sifa za huyo Dhalimu zinafanana kwa ukaribu saana na Mh Lisuu, alikuwa akishinikiza mkono wa mzungu utumike kumng'oa Magufuli hata kama ni kosa moja tu la Magufuli kafanya, wakati huo huo mkono wa mzungu popote pale ulipotumika kung'oa viongozi wa nchi mbalimbali, hakujawahi kuwepo Amani tena,
Alitaka hivyo ili tulioko huku tuumie yeye akiendelea kula mayai ulaya?
Mtu asiyejiamini katika kutatua matatizo yake mwenyewe, atawasaidia nini wananchi ambao wamajaa matatizo lukuki? Kuzungumza na kuweka sawa mikataba ambayo sisi kama nchi tunaona ni kama tumelaliwa, mpaka tuwaulize wazungu huku tunajigamba ni nchi huru?
Huo ndio udhaifu mkubwa wa huyu ndugu yetu na ambapo Mimi binafsi stamani kabisa tuwe na kiongozi mfano wa huyu!
Wenye kutukana, tukaneni na usiku mtalala!
Kisamv,
Kwa sasa niko kwenye visiwa vya karafuu Zanzibar
Kabisa, maana ya mwanasiasa ni kuwa na ukondoo fulani, au kutii watakayo CCM.Huyo unayemzungumzia ni mwanaharakati kama walivyo akina Malema na wengine hana sifa ya kuwa mwanasiasa. Wanasiasa ni kama akina Mbowe, Mnyika, slaa
Mkisema upeo wangu ni mdogo sawa tu! Na matusi yoote juu yangu sawa tu,
Lakini leo nataka tu niseme ukweli wa moyo wangu,
Mh Tundu Lissu ni kweli kabisa ni kati ya wanasiasa wanaoifaa sana nchi yangu Tanzania,
Tanzania bila viongozi wenye uthubutu wa kufanya mambo, tutaendelea kubaki nyuma siku zote, na Mh Lissu hizo sifa anazo, kulingana na misimamo yake weledi na ujasiri wa kukabiliana na wanasiasa njaa na uthubutu wa kukemea kila uovu hadharani, inatosha kusema, huyu pia ni kati ya wanasiasa wanaofaa kuwapo kwenye Top Lider wa kuiongoza Tanzania
Licha ya sifa hizo zoote, simpendi tu na Namuomba Mungu kila siku asiwe kiongozi kwenye nafasi yoyote ile ya nchi hii
Moja ya sababu inayopelekea kumchukia, ninadhani na ingawa sina uhakika nalo, kwamba, ni kati ya watu ambao huwenda wanasiri kubwa sana moyoni kuhusu mstakabali wa nchi na rasilimali zake kutokana na anavyowahusudu wazungu
Moja ya mambo ambayo yanafanya kuona kwamba yeye na wazungu ni kitu kimoja, ni pamoja na kuhamishia familia yake yeye na watoto wake kuwa raia wa huko, kujaribu kutetea mila za kishoga ambazo sio utamaduni wa mwafrika ni moja kati ya mengi yanayonifanya nisiuone umaana wowote kwake
Jambo lingine, ni pamoja na yeye kuamini saaana kwamba, matatizo ya nchi yetu hatuwezi kuyamaliza sisi kwa sisi mpaka kuwepo na mkono wa mzungu
Mfano,
Mashitaka yake mengi kipindi cha uongozi wa (JPM) wengi hupenda kumwiita dhalimu ili hali sifa za huyo Dhalimu zinafanana kwa ukaribu saana na Mh Lisuu, alikuwa akishinikiza mkono wa mzungu utumike kumng'oa Magufuli hata kama ni kosa moja tu la Magufuli kafanya, wakati huo huo mkono wa mzungu popote pale ulipotumika kung'oa viongozi wa nchi mbalimbali, hakujawahi kuwepo Amani tena,
Alitaka hivyo ili tulioko huku tuumie yeye akiendelea kula mayai ulaya?
Mtu asiyejiamini katika kutatua matatizo yake mwenyewe, atawasaidia nini wananchi ambao wamajaa matatizo lukuki? Kuzungumza na kuweka sawa mikataba ambayo sisi kama nchi tunaona ni kama tumelaliwa, mpaka tuwaulize wazungu huku tunajigamba ni nchi huru?
Huo ndio udhaifu mkubwa wa huyu ndugu yetu na ambapo Mimi binafsi stamani kabisa tuwe na kiongozi mfano wa huyu!
Wenye kutukana, tukaneni na usiku mtalala!
Kisamv,
Kwa sasa niko kwenye visiwa vya karafuu Zanzibar
Ukisha left group ni lazima uwe hivyo, maana hakuna namnaMkisema upeo wangu ni mdogo sawa tu! Na matusi yoote juu yangu sawa tu,

Great Scientists of the century hawakuweza kumwelewa Albert Einstein na theory yake ya Special and general relativity kwa sababu kiwango chao cha kufikiri kilikuwa cha chini sana (wakati ni admired scientists). hakuna aliyekubaliana na theory zake hizo. Only later ndio wakaona ukweli wa science aliyokuwa ameiwaza kichwani.Mkisema upeo wangu ni mdogo sawa tu! Na matusi yoote juu yangu sawa tu,
Lakini leo nataka tu niseme ukweli wa moyo wangu,
Mh Tundu Lissu ni kweli kabisa ni kati ya wanasiasa wanaoifaa sana nchi yangu Tanzania,
Tanzania bila viongozi wenye uthubutu wa kufanya mambo, tutaendelea kubaki nyuma siku zote, na Mh Lissu hizo sifa anazo, kulingana na misimamo yake weledi na ujasiri wa kukabiliana na wanasiasa njaa na uthubutu wa kukemea kila uovu hadharani, inatosha kusema, huyu pia ni kati ya wanasiasa wanaofaa kuwapo kwenye Top Lider wa kuiongoza Tanzania
Licha ya sifa hizo zoote, simpendi tu na Namuomba Mungu kila siku asiwe kiongozi kwenye nafasi yoyote ile ya nchi hii
Moja ya sababu inayopelekea kumchukia, ninadhani na ingawa sina uhakika nalo, kwamba, ni kati ya watu ambao huwenda wanasiri kubwa sana moyoni kuhusu mstakabali wa nchi na rasilimali zake kutokana na anavyowahusudu wazungu
Moja ya mambo ambayo yanafanya kuona kwamba yeye na wazungu ni kitu kimoja, ni pamoja na kuhamishia familia yake yeye na watoto wake kuwa raia wa huko, kujaribu kutetea mila za kishoga ambazo sio utamaduni wa mwafrika ni moja kati ya mengi yanayonifanya nisiuone umaana wowote kwake
Jambo lingine, ni pamoja na yeye kuamini saaana kwamba, matatizo ya nchi yetu hatuwezi kuyamaliza sisi kwa sisi mpaka kuwepo na mkono wa mzungu
Mfano,
Mashitaka yake mengi kipindi cha uongozi wa (JPM) wengi hupenda kumwiita dhalimu ili hali sifa za huyo Dhalimu zinafanana kwa ukaribu saana na Mh Lisuu, alikuwa akishinikiza mkono wa mzungu utumike kumng'oa Magufuli hata kama ni kosa moja tu la Magufuli kafanya, wakati huo huo mkono wa mzungu popote pale ulipotumika kung'oa viongozi wa nchi mbalimbali, hakujawahi kuwepo Amani tena,
Alitaka hivyo ili tulioko huku tuumie yeye akiendelea kula mayai ulaya?
Mtu asiyejiamini katika kutatua matatizo yake mwenyewe, atawasaidia nini wananchi ambao wamajaa matatizo lukuki? Kuzungumza na kuweka sawa mikataba ambayo sisi kama nchi tunaona ni kama tumelaliwa, mpaka tuwaulize wazungu huku tunajigamba ni nchi huru?
Huo ndio udhaifu mkubwa wa huyu ndugu yetu na ambapo Mimi binafsi stamani kabisa tuwe na kiongozi mfano wa huyu!
Wenye kutukana, tukaneni na usiku mtalala!
Kisamv,
Kwa sasa niko kwenye visiwa vya karafuu Zanzibar
January Makamb bwana, una vituko wewe dogo!Mkisema upeo wangu ni mdogo sawa tu! Na matusi yoote juu yangu sawa tu,

Huyu lissu mtu wa ovyo sana hafai kuongoza hata mtaa hapa tz. Ni kibaraka mkubwa wanajitahidi mabwana zake wa ulaya aongeze nchi ili awakabidhi. Nashangaa unapoteza muda kumchambua kibaraka huyu.Mkisema upeo wangu ni mdogo sawa tu! Na matusi yoote juu yangu sawa tu,