Tundu Lissu kuanza ziara ya kikazi Marekani

Ww kunguni wa Mbowe ndio unatumwa hovyo mitandaoni, hulali, you a house boy, such a brainless and brainwashed human being, can you say Lissu kaanza ziara ya kikazi nje ya nchi or somewhere else? Who the hell is he? Nyie ma house boy wa Mbowe hopeless kabisa
Kwani ziara ya kikazi ina tredimaki? Au hakimiliki?
Unapojiunga na CCM ni lazima akina Polepole wafungue fuvu la kichwa chako wakombe ubongo wote kisha wakujazie ubongo wa mbuzi wa yule msomali wa Arusha.
 
Wananchi amewadhihilishia beyond reasonable doubt kuwa yeye ni kibaraka wa mabeberu. Anapeleka ripoti kwa bwana zake ya aliyoyaona na yaliyomkuta huko Loliondo na Ngorongoro.

Atakuwa kapona ule mchanganyiko wa akili alioupata huko Ngorongoro baada ya kuona maaskari wakiwa wamesheheni ma SMG wanamzunguka. Ilimkumbusha ile tukio la 2017 la huko Dodoma. Walipomuachia ikabidi haraka aondoke bila kuaga na kutokomea huko kwa mabeberu wake.

Sasa kapatikana mwingine wa aina yake anayeitwa Mwabukusi ambaye ataungana naye kwenye hiyo operesheni ya +255 huko Songwe. Moto lazima utawaka huko hadi raha.
Kuliko huyu kibaraka wa waarabu aliyetuletea na mkataba wa bandari hovyo kabisa kisa kukaribishwa kwenye tamasha. Akauza na nchi
 
Mashoga huwa wanaalikana, acheni ujinga, kutangazwa CNN kuna kipi cha ajabu? Hivi nyie black people lini mtakuwa na uwezo wa kujitegemea kimawazo, hivi mnawajua wazungu nyie au? Acheni ujinga plz, bado wewe mtumwa kimawazo, kimaneno na kivitendo i can see you, acha ujinga
Hujaelewa na umejibu

Anasema hivi ,serikali ya marekani kumtangaza lisu CNN

Zungumzia Sasa kuhusu serikali ya marekani kumtangaza lisu cnn
 
I am in Savannah, Georgia, USA, i will be back next 2 weeks, wewe ni fukara wa akili na mali, hujijui and mentally retarded individual, i have travelled almost every continent, na wewe sababu akili yako iko locked unafikiri Lissu kufika USA kafika mbinguni, mimi nimefika USA mara nyingi tokea 2005, na each year naingia na kutoka, kupitia Miami or Orlando or Atlanta or New York... Any port of entry naingia, wewe hata hujui nchi yako, unapiga makelele hovyo, ka house boy cha Mbowe kelele za hovyo..

Acha ujinga nakusihii

.
Wewe ndo hujitambui kabisa ,pamoja na unaingia hiyo marekani lakini hujaijua marekani duniani hapa ni nchi ya namna gani
 
Taarifa iliyotolewa na Chama chake hii hapa .

View attachment 2781565

Mara baada ya Ziara hii iliyopewa jina la "Lissu USA Tour 2023" na ambayo imetajwa kuwa ya lazima na muhimu , ataondoka USA kwa Ndege Maalum mpaka Songwe kwa ajili ya Oparesheni 255 ya Chama chake Kanda ya Nyasa .
Vichekesho 😂😂😂

Nakumbuka maigizo kama haya ya kijinga alifanyaga na Slaa,Leo Yuko wapi? 😁😁
 
Lissu ni mtu pekee namuamini Kwa sasa kwenye siasa zetu Tanzania, ni mtu pekee anaweza kukisimamia kile anachokiamini bila kumuonea aibu mtu usoni.
 
Una akili duni sana !
Nilijua utasema hivyo. Hivi mlishakaa, mkatafakari na kujiuliza, "Hapa duniani, na hasa Afrika, kuna chama cha ushindani cha siasa (opposition political party) kinachofanyia (operate) shughuli zake kwenye nchi nyingine ya nje? Chama kinachotaka kushika dola ya nchi yetu kwa kupitia maelekezo, uongozi na usimamizi wa nchi ya Amerika na nchi zingine za EU? Chama shindani cha siasa ambacho ni puppet wa nchi nyingine? Kweli mnaona hiyo kitu ni sawa kwa akili yenu?

Tunakipenda sana chama shindani cha chadema lakini huyu Bw. Tundu Lissu atakigawa hicho chama vipande viwili. Hili ni angalizo, mnaweza kulipuuza lakini huko mbele mtakuja kujuta.
 
Huna hoja , Lissu kila anachokifanya kimeandaliwa na Chadema , sasa huo mgawanyiko utatoka wapi ?
 
Nilijua utasema hivyo. Hivi mlishakaa, mkatafakari na kujiuliza, "Hapa duniani, na hasa Afrika, kuna chama cha ushindani cha siasa (opposition political party) kinachofanyia (operate) shughuli zake kwenye nchi nyingine ya nje? Chama kinachotaka kushika dola ya nchi yetu kwa kupitia maelekezo, uongozi na usimamizi wa nchi ya Amerika na nchi zingine za EU? Chama shindani cha siasa ambacho ni puppet wa nchi nyingine? Kweli mnaona hiyo kitu ni sawa kwa akili yenu?

Tunakipenda sana chama shindani cha chadema lakini huyu Bw. Tundu Lissu atakigawa hicho chama vipande viwili. Hili ni angalizo, mnaweza kulipuuza lakini huko mbele mtakuja kujuta.

..mbona vyama vyote vya ukombozi kusini mwa Afrika vilikuwa na maofisi ktk nchi mbalimbali duniani?

..Na karibu vyote vilikuwa na MAKAO MAKUU nje ya nchi zao, na vilipokea misaada toka mataifa mbalimbali hususan ya ulaya.

..kuna shida gani Cdm kuwa na marafiki nje ya nchi? Au viongozi wake kufanya ziara nchi za nje?
 
Tanzania hatuna vyama vya ukombozi, tuna vyama vya siasa vinavyofanya shughuli zake kwa kufuata sheria ya vyama vya siasa. Vyama vya ukombozi vilishamaliza kazi yake ya kututoa kwenye makucha ya wakoloni.

Kumbe Tundu Lissu anakitumia chama cha CDM kuendesha chama chake haramu cha ukombozi cha kuirudisha nchi yetu kwenye makucha ya wakoloni! Watanzania walishalijua hilo, hawakubali na ushahidi utakapokamilika sheria itachukua mkondo wake dhidi ya huyu jamaa na washirika wake.
 
..Maza amesafiri mara nyingi na kwa muda mrefu kwenda ulaya, Marekani, na Asia kuliko Cdm wote, ina maana Ccm inataka kutuuza na kurudisha kwenye ukoloni?
 
😆😆😆😆
 
Mbona unachanganya mambo. Maza ni mkuu wa nchi yetu kama alvyo Bidden huko USA au Putin huko Russia. Haendi huko ulaya, marekani na asia kama mwenyekiti wa ccm au kwa shughuli za ccm.

Counterpart wa Tundu Lisu ni Abraham Kinana. Sasa ulishamwona wapi Kinana au Mpogolo akifanya ziara huko ulaya, marekani na asia.

Pia kumbuka ccm ndicho chama tawala cha siasa hapa nchini kwa sasa, wadhifa kiliopewa na wananchi kupitia uchaguzi mkuu halali wa mwaka 2020. Hivyo ccm huwezi kuilinganisha na cdm ambayo ni moja ya vyama shindani vinavyoota kushika dola siku za usoni. Ni kinyume na sheria kutaka kutimiza doto hiyo kupitia migogo ya mabeberu.
 
..kwa hiyo ni halali Maza kwenda kwenye nchi za mashoga na kutuletea huku nyumbani?

..labda nikuulize kwanini Maza na serikali ya Ccm wanaruhusu jeshi letu kupokea misaada na kufanya mafunzo na jeshi la Marekani linaloruhusu ushoga?

..kati ya chama tawala na cha upinzani ni kipi kinahatarisha usalama wetu zaidi ikiwa kitajifungamanisha na ushoga?
 
😆😆😆😆

..they r very stupid these ppl.

..kila siku viongozi wa Ccm wanakwenda nchi zenye mashoga, na kupokea misaada, na kukopa kwa miradi mbalimbali.

..wakitoka huko wanakuja kutulaghai kwamba serikali na chama chao wanapinga ushoga.
 
Back
Top Bottom