Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 24,831
- 45,154
Huyu Mwamba ameanza kujianadaa UraisKila la kheri kamanda Lissu!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyu Mwamba ameanza kujianadaa UraisKila la kheri kamanda Lissu!
Una akili duni sana !Wananchi amewadhihilishia beyond reasonable doubt kuwa yeye ni kibaraka wa mabeberu. Anapeleka ripoti kwa bwana zake ya aliyoyaona na yaliyomkuta huko Loliondo na Ngorongoro.
Atakuwa kapona ule mchanganyiko wa akili alioupata huko Ngorongoro baada ya kuona maaskari wakiwa wamesheheni ma SMG wanamzunguka. Ilimkumbusha ile tukio la 2017 la huko Dodoma. Walipomuachia ikabidi haraka aondoke bila kuaga na kutokomea huko kwa mabeberu wake.
Sasa kapatikana mwingine wa aina yake anayeitwa Mwabukusi ambaye ataungana naye kwenye hiyo operesheni ya +255 huko Songwe. Moto lazima utawaka huko hadi raha.
Mamaroneck!Wale waarabu wachuuzi wa bandari waliwachangia kundi la magu liende uarabuni kula tende, harua na gahawa na chenji ikabaki.
Ndio ulivyoaminishwa na wanaokutuma ?
Ww kunguni wa Mbowe ndio unatumwa hovyo mitandaoni, hulali, you a house boy, such a brainless and brainwashed human being, can you say Lissu kaanza ziara ya kikazi nje ya nchi or somewhere else? Who the hell is he? Nyie ma house boy wa Mbowe hopeless kabisa
Kuhusu Lissu si uiulize serkali ya Biden ikueleze kisa cha kumtangaza Lissu CNN .Ww kunguni wa Mbowe ndio unatumwa hovyo mitandaoni, hulali, you a house boy, such a brainless and brainwashed human being, can you say Lissu kaanza ziara ya kikazi nje ya nchi or somewhere else? Who the hell is he? Nyie ma house boy wa Mbowe hopeless kabisa
Kuhusu Lissu si uiulize serkali ya Biden ikueleze kisa cha kumtangaza Lissu CNN
Yaani wewe masikini acha kutukana , nimekusitiri tu , lakini wewe na ukoo wako wote hata mkifufua waliokufa hamtaniweza kwa lolote lile nje ya UchawiMashoga huwa wanaalikana, acheni ujinga, kutangazwa CNN kuna kipi cha ajabu? Hivi nyie black people lini mtakuwa na uwezo wa kujitegemea kimawazo, hivi mnawajua wazungu nyie au? Acheni ujinga plz, bado wewe mtumwa kimawazo, kimaneno na kivitendo i can see you, acha ujinga
.Yaani wewe masikini acha kutukana , nimekusitiri tu , lakini wewe na ukoo wako wote hata mkifufua waliokufa hamtaniweza kwa lolote lile nje ya Uchawi
Jay one.I am in Savannah, Georgia, USA, i will be back next 2 weeks, wewe ni fukara wa akili na mali, hujijui and mentally retarded individual, i have travelled almost every continent, na wewe sababu akili yako iko locked unafikiri Lissu kufika USA kafika mbinguni, mimi nimefika USA mara nyingi tokea 2005, na each year naingia na kutoka, kupitia Miami or Orlando or Atlanta or New York... Any port of entry naingia, wewe hata hujui nchi yako, unapiga makelele hovyo, ka house boy cha Mbowe kelele za hovyo..
Acha ujinga nakusihii
.
nasubiri gwajiboy agombee tena jimbo la kawe tujue kama hakuna wizi wa kura ccm.Mbwembe ni nyingi matokeo ziro!
Hukwenda marekani wewe!nasubiri gwajiboy agombee tena jimbo la kawe tujue kama hakuna wizi wa kura ccm.
Kwi Kwi KwiI am in Savannah, Georgia, USA, i will be back next 2 weeks, wewe ni fukara wa akili na mali, hujijui and mentally retarded individual, i have travelled almost every continent, na wewe sababu akili yako iko locked unafikiri Lissu kufika USA kafika mbinguni, mimi nimefika USA mara nyingi tokea 2005, na each year naingia na kutoka, kupitia Miami or Orlando or Atlanta or New York... Any port of entry naingia, wewe hata hujui nchi yako, unapiga makelele hovyo, ka house boy cha Mbowe kelele za hovyo..
Acha ujinga nakusihii
.
14 October 2023
Tundu Lissu - Wamaasai Diaspora I Pre-Meeting Changamoto Za Wamaasai Loliondo na Ngorongoro Tanzania
View: https://m.youtube.com/watch?v=cNmbSx3pFW0
Wamaasai Diaspora | Historia Ya Kabila Ya Waamsai Loliondo Na Ngorongoro, Tanzania, Wana Diapora Wenye Asili Na Wazaliwa Wa Kutoka Loliondo Na Ngororongo Wanaoishi Marekani Wanasimulia Yanayoendela Walikokulia Na Ndugu Na Jamaa Wanavyoathirika na Mpango Wa Serikali Wa Kuwatowa Kwenye Makazi Yao Ya Asili Kinyume Na Mila Na Utamaduni Wao Wa Asili
Source : America Swahili News