Tundu Lissu: Kufa kwa Magufuli ni 'Poetic Justice'

Blessed justification, I also celebrated, even now, tomorrow and the years to come, even if I am dead! I will celebrate the death of a killer!
That is blasphemous
 
Umesema "kwa vile mpo kwenye maridhiano"
Unafikiri hayo maridhiano ni kutengenza uharibifu uliosababishwa na nani?
Kama ni uharibifu uliosababishwa na Magu, unadhani kungekuepo na jambo la maridhiano katika uhai wa mtu yule yule anaeharibu na kuufurahia uharibifu?
Jibu ni Hapana!!
 
Mkuu yeye Lissu si alikuwa anapambana na serikali, sasa wewe ulitarajia apewe tuzo gani zaidi ya hiyo.
Ata CIA ukienda tofauti na mipango ya nchi yao unaliwa kichwa!
 
Maridhainoyalianza kutafutwa hata kabla ya JPM hajawa raisi wala kufikiria kuwa
 
Kikomo cha kukosa ustaarabu ni kushangilia kifo cha kiumbe mwenzako hasa binadamu hata kama amekukosea kiasi gani. Alipofariki JPM makamu mwenyekiti taifa wa CHADEMA Mh. Tundu Lissu alikiita...
Kwani wewe kifo cha shetani Magufuli hukufurahia? Au ndiyo ile ya kujionyesha mbele ya machawa wenzako kuwa ulisikitika kifo chake!

Kumbuka hata machawa wa CCM walishangilia na kuchekea chooni kifo cha mshenzi yule sasa sisi wengine ni nani tusimshukuru Mungu kwa kutuondolea nduli yule!
 
Mfano lissu angekuwa baba yako halafu akapigwa risasi zile ungemfurahia magufuli?
Mimi nisingeshangaa maana kila unachofanya kina matokeo hasi au chanya. Serikali yoyote Duniani ina mipango yake, sasa ukitokea wewe unapinga mipango yake, unafikiri nini kitakupata, aidha ufe au upone kwa kukimbia nchi. Unafikiri Kambona alikuwa mjinga kukimbia nchi baada ya mission yake ya kupinga sera za serikali kubuma!
 
Does that justify his celebration upon the death of JPM?
Sio msemaji wa Mr. Lissu, binafsi its a YES, hujui wewe uchungu wa kuondolewa kwa mpendwa wako bila ya kuwa nI closure yake, mtoa hoja umeshawahi kuamka asubuhi na kujiuliza familia ya Mr. Saanane wanaishi vipi, wakoje au nawe ndio katili usiejali jirani yako yukoje
 
Unafurahia nini kana kwamba Magufuli ndiye wa kwanz ana wa mwisho kufa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…