Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sikiliza wewe , Pamoja na kwamba Mungu ametuagiza kusameheana lakini HAKUTUAGIZA KUMSAMEHE SHETANI , niko Tayari kujiondoa JF ikiwa utaniletea kifungu chochote cha vitabu vitakatifu kilichoagiza Mwanadamu kumsamehe Shetani , Niko pale Buzuruga nimekaa nasubiriKikomo cha kukosa ustaarabu ni kushangilia kifo cha kiumbe mwenzako hasa binadamu hata kama amekukosea kiasi gani. Alipofariki JPM makamu mwenyekiti taifa wa CHADEMA Mh. Tundu Lissu alikiita kifo cha JPM a poetic justice (a fitting or deserved retribution for one's actions).
Tunaamini huu pia ndio msimamo wa CHADEMA kwani hawajawahi kujitenga nao. Kwa vile sasa tuko kwenye maridhiano ni bora CHADEMA mliweke hili wazi na mna fursa hiyo 21.01.2023 kwenye mkutano wenu wa hadhara Mwanza na kanda ya ziwa- kanda ya kwao na JPM.
![]()
tunafurahia kwa kuwa kifo chake kimeokoa wengi ambao wangeuawa na kuteswa na utawala wa shetani yule!Unafurahia nini kana kwamba Magufuli ndiye wa kwanz ana wa mwisho kufa?
Bado unateseka tu ?....Kubali the man is gone.Kikomo cha kukosa ustaarabu ni kushangilia kifo cha kiumbe mwenzako hasa binadamu hata kama amekukosea kiasi gani. Alipofariki JPM makamu mwenyekiti taifa wa CHADEMA Mh. Tundu Lissu alikiita kifo cha JPM a poetic justice (a fitting or deserved retribution for one's actions)...
Kuongea ukweli ni kupambana!!??Mkuu yeye Lissu si alikuwa anapambana na serikali,sasa wewe ulitarajia apewe tuzo gani zaidi ya hiyo.
Ata CIA ukienda tofauti na mipango ya nchi yao unaliwa kichwa!
Imani yako kuhusu Mungu ni ya kwako usinishirikishe mimi maana hujui imani yangu, President anapokula kiapo ni pamoja na kulinda raia wake!,President Magufuli hajawi kutoa tamko lolote kuhusu watanzania wenzetu waliopotea au kuuliwa ,vile viroba vya maiti pale CoCo beach vilikua ni miili ya binadamu sio seals!,Ukweli kuhusu nini kilitokea mpaka Mr.Saanane apotee utakuja kujulikana, Yes Sina uchungu kabisa kuhusu kifo kile cha no 1Mkuu tupe proof ya hayo unayoyaleta hapa? Sikiliza hukumu ya mwisho na ya haki ni ya Mungu, na wewe si Mungu. Usikipe Umungu kwa kuhukumu watu.
Ajali!Na Chacha Wangwe?
AjaliTuelezetu wewe KUPE Chacha Wangwe alikufa vipi?
Hii Si sawa,Sikiliza wewe , Pamoja na kwamba Mungu ametuagiza kusameheana lakini HAKUTUAGIZA KUMSAMEHE SHETANI , niko Tayari kujiondoa JF ikiwa utaniletea kifungu chochote cha vitabu vitakatifu kilichoagiza Mwanadamu kumsamehe Shetani , Niko pale Buzuruga nimekaa nasubiri
Wizi, ufisadi, utawala mbovu na ubinafsi ni tatizo tunapaswa kulishughulikia kwa kuandika katiba mpya!Kwa CCM waliobaki siyo Mashetani,mbona tunaishi maisha magumu ndani ya taifa tajiri.
Ingefaa CDM nkaanza kudigest hoja expectations za mkutano wa trh 21.Sikiliza wewe , Pamoja na kwamba Mungu ametuagiza kusameheana lakini HAKUTUAGIZA KUMSAMEHE SHETANI , niko Tayari kujiondoa JF ikiwa utaniletea kifungu chochote cha vitabu vitakatifu kilichoagiza Mwanadamu kumsamehe Shetani , Niko pale Buzuruga nimekaa nasubiri
Chawa uchwara huwezi kuwa na majibu!Labda unipe namba ya Lissu nimuulize kwa maana yeye ndiyo bingwa wa kujua watu wamekufaje
Na serikali ya CCM!Na Mwangosi aliyeuwawa kinyama,aliuwawa na Magufuli?
Nani alimwambia ndugai kuwa yeye awafanyie ubaya ndani ya bunge halafu wakitoka nje awashughulikie yeye?Kwa nini Magufuli na siyo wewe?
Lissu anaongea na muda wowote utamwona Tanzania lakini Magufuri hutokuja kumwona kamwe.Magufuli ajahama,amefariki na amezikwa ndani ya nchi yake.Ila Lissu ndiyo amehama nchi!
Sasa tuchukulie lissu angekuoa wewe halafu upo nyumbani unasikia mumeo kapigwa risasi 16 ungefurahi?Mimi nisingeshangaa maana kila unachofanya kina matokeo hasi au chanya.Serikali yoyote Duniani ina mipango yake,sasa ukitokea wewe unapinga mipango yake,unafikiri nini kitakupata,aidha ufe au upone kwa kukimbia nchi.Unafikiri Kambona alikuwa mjinga kukimbia nchi baada ya mission yake ya kupinga sera za serikali kubuma!
Yeye aendelee na umalaya wake. Mapenzi ya Mungu hayafanyiwi mzaha.Kikomo cha kukosa ustaarabu ni kushangilia kifo cha kiumbe mwenzako hasa binadamu hata kama amekukosea kiasi gani. Alipofariki JPM makamu mwenyekiti taifa wa CHADEMA Mh. Tundu Lissu alikiita kifo cha JPM a poetic justice (a fitting or deserved retribution for one's actions).
Tunaamini huu pia ndio msimamo wa CHADEMA kwani hawajawahi kujitenga nao. Kwa vile sasa tuko kwenye maridhiano ni bora CHADEMA mliweke hili wazi na mna fursa hiyo 21.01.2023 kwenye mkutano wenu wa hadhara Mwanza na kanda ya ziwa- kanda ya kwao na JPM.
![]()