Tundu Lissu: Kufa kwa Magufuli ni 'Poetic Justice'

Tundu Lissu: Kufa kwa Magufuli ni 'Poetic Justice'

Yeye aendelee na umalaya wake. Mapenzi ya Mungu hayafanyiwi mzahai.
Jpm alipigania haki na usawa kwa umma na hasa kwa wanyonge. Umma wa wananchi watalipiza kwa hao wazandiki kstika wakati muafaka.
mwanza musiwabomolee majumba hata kama wamejenga kwenye hifadhi ya barabara kwakuwa wamenipigia kura ila dar wabomolewe tu by jpm mtetezi wa wanyonge
 
Does that justify his celebration upon the death of JPM?
did he celebrated or just commented. What kind of school of thought do you come from that you cannot differentiate between commenting and celebrating?...stop your lame accusations
 
Alipigwa na JPM?
Jpm alikuwa mkuu wa nchi. Yeye ndiye mtu wa kwanza aliyetakiwa kuhakikisha waliohusika na ushetani ule wanawajibishwa. Lakini tuliona hakuna uchumguzi wowote iliyofanywa, Lissu akanyimwa stahili za matibabu, na hatimaye akanyang'anywa ubunge akiwa kwenye matibabu. Yote hayo yanafanyika magufuli alibariki.
 
Mkuu yeye Lissu si alikuwa anapambana na serikali,sasa wewe ulitarajia apewe tuzo gani zaidi ya hiyo.
Ata CIA ukienda tofauti na mipango ya nchi yao unaliwa kichwa

Lame mindset....alipambana na serikali lini. Arguments zake zote alikuwa anazitoa bungeni. mkuu wa serikali angekuwa na hekima angekuwa anamwita wanajadiliana kama JK alivyokuwa anafanya.

Ukiiba ukakamatwa ukaadhibiwa kisha nikaesema unastahili adhabu, nakuwa nimeshangilia au hujui maana ya poetic justice?

punguza kuwa shabiki kipofu
 
Ni sawa chinja na ule na wa moyoni mwako siyo kuonyesha hadharani- watu watakushangaa
Ni kweli mkuu. Ila linapokuja swala la kuhandle vitu kila mmoja ana reaction zake. Sipo kutetea alichofanya ILA tunasikia kuna mtu kajinyonga KWA sababu kakuta mke au mume na mwanamke mwingine. Na utasikia kaachana na mke wake amemcheat ILA ajamfanya chochote. Ukielewa hii principle haitakupa shida kuelewa kwanini lisu alifurahi kila mtu ana reaction yake kutokana na kitu ambacho anakipenda au kutokukipenda. Vita vinapiganwa nchi moja ikishinda inashehelekea na maelfu ya nchi jirani wanaumia kupoteza wapendwa. KWAko unaweza kuona ni ajabu ILA kwake ni jambo la kawaida
 
Kila unachofanya Duniani kina matokea yake,ukipambana na serikali yoyote matokeo ni kifo au uhame nchi husika.
Ndiyo maana Mwandishi Asange anawindwa na Marekani mpaka Leo kwa sababu za kudukua mawasiliano yake.
Uko sahihi, ndiyo maana matendo ya Jiwe ya uovu matokeo yake ndiyo haya ya kupondwa na kila raia mwenye akili timamu. Hapo ondoa sukuma gang kama wewe
 
Kikomo cha kukosa ustaarabu ni kushangilia kifo cha kiumbe mwenzako hasa binadamu hata kama amekukosea kiasi gani. Alipofariki JPM makamu mwenyekiti taifa wa CHADEMA Mh. Tundu Lissu alikiita kifo cha JPM a poetic justice (a fitting or deserved retribution for one's actions).

Tunaamini huu pia ndio msimamo wa CHADEMA kwani hawajawahi kujitenga nao. Kwa vile sasa tuko kwenye maridhiano ni bora CHADEMA mliweke hili wazi na mna fursa hiyo 21.01.2023 kwenye mkutano wenu wa hadhara Mwanza na kanda ya ziwa- kanda ya kwao na JPM.
162033367_1330017047375929_831188534219967358_n.jpg
Sasa akifa adui ndiyo furaha yako. Isingekua hivyo basi vitani ingekua ni sherehe
 
Umesema "kwa vile mpo kwenye maridhiano"
Unafikiri hayo maridhiano ni kutengenza uharibifu uliosababishwa na nani?
Kama ni uharibifu uliosababishwa na Magu, unadhani kungekuepo na jambo la maridhiano katika uhai wa mtu yule yule anaeharibu na kuufurahia uharibifu?
Jibu ni Hapana!!
Jiwe aliharibu sana nchi, hata kaburi lake ingefaa lichomwe moto kabisa
 
Sasa tuchukulie lissu angekuoa wewe halafu upo nyumbani unasikia mumeo kapigwa risasi 16 ungefurahi?
Zachary Bosire
WEWE Mtundu Rishwa.....nakuomba ukome na matamshi yako ya kihujumu. Even if Magufuli died of strangulation tje fact remains he is no more. Please get knowing that the cause of JPM death is a non issue now. You are not the family spokesman.
 
Watanzania wengi waliumizwa na huyo mungu wako ambaye kwa sasa yuko motoni
Zachary Bosire
WEWE Mtundu Rishwa.....nakuomba ukome na matamshi yako ya kihujumu. Even if Magufuli died of strangulation tje fact remains he is no more. Please get knowing that the cause of JPM death is a non issue now. You are not the family spokesman.
 
Chawa uchwara huwezi kuwa na majibu!
Zachary Bosire
WEWE Mtundu Rishwa.....nakuomba ukome na matamshi yako ya kihujumu. Even if Magufuli died of strangulation tje fact remains he is no more. Please get knowing that the cause of JPM death is a non issue now. You are not the family spokesman.
 
Mkuu yeye Lissu si alikuwa anapambana na serikali,sasa wewe ulitarajia apewe tuzo gani zaidi ya hiyo.
Ata CIA ukienda tofauti na mipango ya nchi yao unaliwa kichwa!
Hata ukienda kinyume na mipango ya Mungu lazima uliwe kichwa. Ref kifo cha Jiwe
 
Back
Top Bottom