Mr Dudumizi
JF-Expert Member
- Sep 9, 2020
- 7,799
- 14,215
Umeongea ukweli mtupu bro. Hata Chachawangwe angeuwawa kipindi cha Magufuli, lawama za kifo chake angetupiwa Magufuli huku wahusika wa kifo chake wakiendelea kucheka na familia yake, kama wanavyokula, kunywa na kucheka na familia ya Lisu leo.Tundu lissu itachukua muda sana kugundua watu gani walihusika kushambuliwa kwake ,kuna siku atakuja muomba msamaha Hayati JPM .
Juhudi zake na umaarufu wake ndan ya chama chake zilimfanya bwana yule ahofie kiti chake, ndomaana hata Sumaye pamoja na kwamba ana ulinzi wake lakini alionywa asijaribu kuonja sumu kwa ulimi wake. So ijekuwa Lisu anaezurura peke yake!
Siku ya hukumu au kiama (kama ipo) tutaona mengi hata yale ambayo hatukuyatarajia au kuyafikiria.