Lissu na Magu na Dr Slaa ni watu pendwa sana Kanda ya ziwa.Eti mzalendo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ila nyie Sukuma gang mnajua sana kujizima data
1.Magu alikuwa mwana mageuzi kimfumo ndani ya CCM kuhakikisha wanafanya KAZI na kukataa RUSHWA.
2. Lissu anakubalika sana Kanda ya ziwa sababu ni MZALENDO na amehusika kiasi kikubwa kumpambania Wachimbaji wadogo.
3.Dr Slaa anakubalika sana Kwa Uzalendo wake ktk Nchi.
Wanasiasa Hawa 3 ni marafiki wakubwa kiitikadi na wanakubalika sana Kanda ya ziwa.
Aamen