Tundu Lissu: Kufa kwa Magufuli ni 'Poetic Justice'

Tundu Lissu: Kufa kwa Magufuli ni 'Poetic Justice'

Hata ukienda kinyume na mipango ya Mungu lazima uliwe kichwa. Ref kifo cha Jiwe
Kwa hiyo wote uliozika kwenye familia yako nao kumbe waliliwa kichwa kwa sababu walikwenda kinyume na mipango ya Mungu?
 
Zachary Bosire
WEWE Mtundu Rishwa.....nakuomba ukome na matamshi yako ya kihujumu. Even if Magufuli died of strangulation tje fact remains he is no more. Please get knowing that the cause of JPM death is a non issue now. You are not the family spokesman.
Dogo chuki dhidi ya lissu ni kujilisha upepo tu kwasababu kwanza sio level yako kabisa mpuuzi wewe
 
Mimi nisingeshangaa maana kila unachofanya kina matokeo hasi au chanya.Serikali yoyote Duniani ina mipango yake,sasa ukitokea wewe unapinga mipango yake,unafikiri nini kitakupata,aidha ufe au upone kwa kukimbia nchi.Unafikiri Kambona alikuwa mjinga kukimbia nchi baada ya mission yake ya kupinga sera za serikali kubuma!
Pia ukipinga mipango ya Mungu kwa taifa lake yanakupata ya Jiwe
 
Pia ukipinga mipango ya Mungu kwa taifa lake yanakupata ya Jiwe
Yale makaburi yote ya ndugu zako uliozika kumbe walipinga mipango ya Mungu? Na kwa mantiki hiyo wewe huwezi kufa kwakuwa hupingani na mipango ya Mungu?
 
Dogo chuki dhidi ya lissu ni kujilisha upepo tu kwasababu kwanza sio level yako kabisa mpuuzi wewe
soma huyo Mkenya alivyo tudharau kutokana na ujinga wa Lissu
Nicholas Juma Wanyama
You should be sending condolence my friend, the New World order has no friend in Africa. Kenyan politicians are very mature, they have no enemies. When such incidence happen band to give warmth to each other.
 
Kwahiyo mkenya akisema wewe uolewe utaolewa kisa yeye kasema?
 
Uko sahihi, ndiyo maana matendo ya Jiwe ya uovu matokeo yake ndiyo haya ya kupondwa na kila raia mwenye akili timamu. Hapo ondoa sukuma gang kama wewe
Huyu siyo mimi ni muungwana mmoja kutoka Kenya
Vigilant Wuod Nyalego
With all this bitterness! Yet you wanted to lead TZ? Respect the dead please.
 
Tundu Lissu itachukua muda sana kugundua watu gani walihusika kushambuliwa kwake, kuna siku atakuja muomba msamaha Hayati JPM.
Waliomshabulia Lissu wapo nae ndani ya chama chake
 
Magu alikubalika Kanda ya ziwa sababu alishiriki kikamilifu kucopy HOJA za CDM Kutoka ILANI ya CHADEMA na kuitekeleza.

Mfano mzuri ni ujenzi wa SGR, Magu alichukua wazo Hilo na kulianzisha.

Kupambana na Wala RUSHWA pia alicopy Kutoka ILANI ya CDM enzi za Dr Slaa.

MAGU na CDM ni marafiki wazuri Kanda ya ZIWA kiitikadi na kiuzalendo.
Eti mzalendo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ila nyie Sukuma gang mnajua sana kujizima data
 
Kikomo cha kukosa ustaarabu ni kushangilia kifo cha kiumbe mwenzako hasa binadamu hata kama amekukosea kiasi gani. Alipofariki JPM makamu mwenyekiti taifa wa CHADEMA Mh. Tundu Lissu alikiita kifo cha JPM a poetic justice (a fitting or deserved retribution for one's actions).

Tunaamini huu pia ndio msimamo wa CHADEMA kwani hawajawahi kujitenga nao. Kwa vile sasa tuko kwenye maridhiano ni bora CHADEMA mliweke hili wazi na mna fursa hiyo 21.01.2023 kwenye mkutano wenu wa hadhara Mwanza na kanda ya ziwa- kanda ya kwao na JPM.
162033367_1330017047375929_831188534219967358_n.jpg
"Bahari imetulia...mungu kaamulia ugomvi".....Nape Mosses Nnauye
 
Kikomo cha kukosa ustaarabu ni kushangilia kifo cha kiumbe mwenzako hasa binadamu hata kama amekukosea kiasi gani. Alipofariki JPM makamu mwenyekiti taifa wa CHADEMA Mh. Tundu Lissu alikiita kifo cha JPM a poetic justice (a fitting or deserved retribution for one's actions).

Tunaamini huu pia ndio msimamo wa CHADEMA kwani hawajawahi kujitenga nao. Kwa vile sasa tuko kwenye maridhiano ni bora CHADEMA mliweke hili wazi na mna fursa hiyo 21.01.2023 kwenye mkutano wenu wa hadhara Mwanza na kanda ya ziwa- kanda ya kwao na JPM.
162033367_1330017047375929_831188534219967358_n.jpg
Mbona alichosema ni sahihi, aombe Msamaha kwa lipi ?
 
Back
Top Bottom