Siyo sahihi, Watanzania walifunga na kusali ili Jiwe auliwe na Mungu na ikatokeaKwa hiyo wote uliozika kwenye familia yako nao kumbe waliliwa kichwa kwa sababu walikwenda kinyume na mipango ya Mungu?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Siyo sahihi, Watanzania walifunga na kusali ili Jiwe auliwe na Mungu na ikatokeaKwa hiyo wote uliozika kwenye familia yako nao kumbe waliliwa kichwa kwa sababu walikwenda kinyume na mipango ya Mungu?
Hapana, nakuona wewe hujuiUnajiona unajua?
Nitaacha kumchukia magufuli na kumlaani mpaka mabaki yake Kwa kondisheni zifuatazo.Blessed justification, I also celebrated, even now, tomorrow and the years to come, even if I am dead! I will celebrate the death of a killer!
Kifo ni lazima kwa kiumbe hai yeyote. Lakini ukiona mtu kafa baada watu wengi kuomba kwa Mola akuondoe basi jua uko na matatizoYale makaburi yote ya ndugu zako uliozika kumbe walipinga mipango ya Mungu? Na kwa mantiki hiyo wewe huwezi kufa kwakuwa hupingani na mipango ya Mungu?
Naungana na Lisu, yaani adui Yako afe then usikitike? Utakuwa timamu kweli? Ustaarabu wa hivyo Baki nao mwenyeweKikomo cha kukosa ustaarabu ni kushangilia kifo cha kiumbe mwenzako hasa binadamu hata kama amekukosea kiasi gani. Alipofariki JPM makamu mwenyekiti taifa wa CHADEMA Mh. Tundu Lissu alikiita kifo cha JPM a poetic justice (a fitting or deserved retribution for one's actions).
Tunaamini huu pia ndio msimamo wa CHADEMA kwani hawajawahi kujitenga nao. Kwa vile sasa tuko kwenye maridhiano ni bora CHADEMA mliweke hili wazi na mna fursa hiyo 21.01.2023 kwenye mkutano wenu wa hadhara Mwanza na kanda ya ziwa- kanda ya kwao na JPM.
![]()
Usitupangie cha kusema. Sukuma Gang mnateseka sana na maridhiano mnatamani kila siku watu waokotwe kwenye viroba. Huu uhasama wenu pelekeni kwenu Burundi.Kikomo cha kukosa ustaarabu ni kushangilia kifo cha kiumbe mwenzako hasa binadamu hata kama amekukosea kiasi gani. Alipofariki JPM makamu mwenyekiti taifa wa CHADEMA Mh. Tundu Lissu alikiita kifo cha JPM a poetic justice (a fitting or deserved retribution for one's actions).
Tunaamini huu pia ndio msimamo wa CHADEMA kwani hawajawahi kujitenga nao. Kwa vile sasa tuko kwenye maridhiano ni bora CHADEMA mliweke hili wazi na mna fursa hiyo 21.01.2023 kwenye mkutano wenu wa hadhara Mwanza na kanda ya ziwa- kanda ya kwao na JPM.
![]()
Huyo aendelee kuteseka tu tena ageuzwe kuni za kuwachomea waovu wenzakeTundu Lissu itachukua muda sana kugundua watu gani walihusika kushambuliwa kwake, kuna siku atakuja muomba msamaha Hayati JPM.
So muungwana kutoka Kenya ndiyo nani ili hali Watanzania wengi walifurahia kifo cha Jiwe? So akitaka kukuoa utakubali kwa sababu ni muungwana kutoka kenya?Huyu siyo mimi ni muungwana mmoja kutoka Kenya
Vigilant Wuod Nyalego
With all this bitterness! Yet you wanted to lead TZ? Respect the dead please.
Tuondolee upuuzi wako hapa kama vipi mfuate huko kuzimuUnatoaje maoni kwenye kifo?! Ukitaka kujua hebu fikiria kila kwenye maziko ya waislam hutolewa tangazo la nani ana mdai marehemu- ulishaona watu wanijitokeza? Unadhani ni ujinga au uoga?
Ndiye alitoa maelekezoAlipigwa na JPM?
Ndiyo inahalalishaDoes that justify his celebration upon the death of JPM?
Natakafuta maelezo kama haya siku Lisu kapigwa chumaKikomo cha kukosa ustaarabu ni kushangilia kifo cha kiumbe mwenzako hasa binadamu hata kama amekukosea kiasi gani. Alipofariki JPM makamu mwenyekiti taifa wa CHADEMA Mh. Tundu Lissu alikiita kifo cha JPM a poetic justice (a fitting or deserved retribution for one's actions).
Tunaamini huu pia ndio msimamo wa CHADEMA kwani hawajawahi kujitenga nao. Kwa vile sasa tuko kwenye maridhiano ni bora CHADEMA mliweke hili wazi na mna fursa hiyo 21.01.2023 kwenye mkutano wenu wa hadhara Mwanza na kanda ya ziwa- kanda ya kwao na JPM.
![]()
Nimekupuuza uliposema SGR yenye Kasi zaidi Africa..Mwaka 2016 mpaka 2020 Tanzania iligubikwa na makelele ya Tundu Lisu aloyejiona yeye tu ndiyo mwenye haki ya kumshauri rais wa nchi wa wakati huo na ni lazima ushauri wake ufuatwe!
Hata hivyo hayati Magufuli alisimama imara na kupuuza makelele yote ya wakala wa mabeberu Tundu Lisu.
Kama hayati raisi Magufuli asingekuwa imara na akasikiliza makelele ya Lisu, haya hapa yangetokea Tanzania.
1. Tanzania tusingekuwa na bwawa la kufua umeme ambalo ni moja ya mabwawa makubwa barani Afrika. Urefu wa bwawa la Nyerere ni km100 yani sawa na urefu wa kutoka Dar mpaka Chalinze.
Tundu Lisu kwa kutumiwa na mbabeberu kwa ahadi ya kumlisha yeye na familia yake pamoja na kumpa hifadhi Ubelgiji alipinga sana ujenzi wa bwawa hili kwa kisingizio kwamba litasababisha uharibifu wa mazingira na mvua hazitanyesha tena Tanzania!. Leo mwaka 2023 bwawa linajazwa maji na Tanzania imegubikwa na mafuriko kila sehemu kwani mvua zinanyesha sana kinyume na utabiri wa Tundu Lisu.
2. Tanzania isingekuwa na ujenzi wa SGR.
Tundu Lisu alipinga sana ujenzi wa reli hii ya umeme na yenye kasi zaidi Afrika yote.
3. Serikali isingehamia Dodoma.
Tundu Lisu na Mbowe walipinga sana serikali kuhamia Dodoma wakisema huko ni kutesa watumishi na kwamba serikali ibaki tu Dares salaam kwa ndoto za mwl Nyerere zimepotwa na wakati. Hayati Magufuli aliziba masikio na leo serikali yote ipo Dodoma.
4. Kampuni ya madini ya Acacia ingekuwepo.
Licha ya kwamba Lisu amesoma kwa kodi za watanzania lakini aligeuka kuwa mwanasheria wa Acacia na akasema ataisaidia kutushitaki MIGA, kama tukiendelea kuwadai hela za wizi wa makinikia. Hayati Magufuli aliendelea mbele hadi kampuni ya Acacia ikafutwa na kuzaliwa kampuni mpya ya Twiga ambayo watanzania wapo kwenye management na Tanzania yakafunguliwa masoko ya madini kila sehemu, na watanzania wakanufaika na madini yao.
5. Kenya na India zingeendelea kuongoza kwenye uuzaji wa madini ya Tanzanite .
Kutokana na ukweli madini ya Tanzanite yanapatikana Tanzania tu. Hayati Magufuli alichukua hatua kali sana za kudhibiti madini ya Tanzanite ikiwemo kujenga ukuta wa kuzunguka mgodi huo, hatua hizo zilipingwa mno na Lissu na akaita ni udikteta mkubwa kufanya hivyo
Acha ujinga! Kwamba security nzima ya nchi imeshindwa kuwakamata wahusika? Mliambiwa waje wachunguz huru toka nje mkakataa, think bout it!!Tundu Lissu itachukua muda sana kugundua watu gani walihusika kushambuliwa kwake, kuna siku atakuja muomba msamaha Hayati JPM.
Muulize Mbowe na dreva wa Lissu kwa maana Mbowe alihakisha dreva wa Lissu kama yule wa Chacha Wangwe hahojiwi na polisiNatakafuta maelezo kama haya siku Lisu kapigwa chuma
Sent from my CPH2179 using JamiiForums mobile app
Sasa kwanini mmoja akataka kumuua rafiki yake kabla Mungu hajaingilia kati?Lissu na Magu na Dr Slaa ni watu pendwa sana Kanda ya ziwa.
1.Magu alikuwa mwana mageuzi kimfumo ndani ya CCM kuhakikisha wanafanya KAZI na kukataa RUSHWA...
Kuna mtu anaitwa ramdhan kadrov sijui ni kiongozi wa chehen baba yake aliuwawa kwa maelekezo ya putini baada ya kuwa anataka kujitenga na urusi na baada ya hapo kijana wake akawa mkuu wa nchi na sasa ni chawa wa putini hapo unasemaje?Mfano Lissu angekuwa baba yako halafu akapigwa risasi zile ungemfurahia Magufuli?