Tetesi: Tundu Lissu kufutwa uanachama muda wowote

Wamfukuzie nini sasa wakati wao wanahubiri Demokrasia na Tundu lisu ndio anachofanya endapo CDM watamfukuza Lisu basi hawana haki ya kuja hadharani kwa Watanganyika na kutuambia uozo wa serikali ikiwa uozo wao unafichwa
 
Ndio vizuri Ili akaanzishe chama chake si mnasema anakubalika na ana wafuasi,tuone itakuaje 🤣🤣
 
Hilo ndilo ccm wanaloombea litokee maana hawana cha kufanya kwa sasa na wanajua kabisa kama mwendazake aliyekuwa mkakamavu na jeuri lakini alikuwa dhaifu sana mbele ya LISSU kwakuwa alibabuliwa na hii ni baada ya kupewa habari za uongo na akina nape kwamba Lissu hawezi kusimama mfululizo dakika hata 2 jukwaani sasa muda wa kampeni ulipofika mambo yakawa tofauti. Mtu alikula kibano hadi basi sasa huyu anayeitwa mama si chochote wala lolote kwa Lissu hivyo ajipange kupigwa spana ZILIZOBORESHWA (enhanced) ndo maana chawa wa mama wanaomba baya lolote limkute LISSU, NAWATANGAZIA KHIAMA na muanze kumtayarisha kisaikolojia kujibu hoja za kuuza bandari kwa waarabu, kuhamisha Wamasai, ugumu wa maisha hasa kupanda bei za bidhaa zoote za viwandani imported na exported, upendeleo kwa wazenji etc.
 
Wamfukuzie nini sasa wakati wao wanahubiri Demokrasia na Tundu lisu ndio anachofanya endapo CDM watamfukuza Lisu basi hawana haki ya kuja hadharani kwa Watanganyika na kutuambia uozo wa serikali ikiwa uozo wao unafichwa
Wamechukia sana Lissu kupinga rishwa za ndani ya chama chao
 
Akifutwa anaanzisha chama chake (kama Zitto), au anajiteua kuwa mbunge wa kuteiliwa kwa tiketi ya CHADEMa (kama Halima), au anahamia NCC-Mageuzi (kama Selasini), au anarudi CCM (David Silinde). . Alternatives zipo nyingi sana kwa wanasiasa GTanzania
Nimefurahi sana kukuona Mzee Kichuguu,nimekuona siku nyingi sana humu,nondo zako huwa zimenyooka,safi sana Bwana Kichuguu.
 
Tulia kijana, acha kuchachawa maana za masika bado mbona.
 
Hizo tesitesi na za corridor za kijani ama😝
 
Wewe ni Chawa umekosea njia. Huko ulikoingia ni mapaja ya kuku siyo ya binadamu. 😆
 
Kwahiyo ndiyo unasubiri.?
 
Kwahiyo ndoto yako tayari umekunya kitandani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…