Tundu Lissu kuhitaji gari lake aliloshambuliwa nalo hapa kuna mtego mkubwa na hesabu kali inachezwa

Lissu anajua sheria kuliko mtu yeyote katika nchi hii
 
Limeisha wapi, wanatafuta namna ya kupangua ila bado ngumu
 
Kusoma sheria ni moja.Na kuitumia kwa akili ni jambo lingine.
 
Kwani shida iko wapi baada ya Tukio Gari si liliachw akituo cha polisi kama kidhibiti namba D25?
 
Mwenye gari hakuwepo sasa gari liko wapi? Mimi naamini lipo na utaratibu wa kumkabidhi utafatwa.
 
KWa hiyo lengo lako Lissu asidai haki yake?
Kwanini uwape tahadhari kuwa wanategwa?
Ikiwa serikali ni waafilifu kuna haja gani kuwapa tahadhari?
Kama walivurunda acha walinywe kwa haki
 
Unamaanisha katiba mpya ikipatikana itashughulikia hata makosa yaliyotendeka kabla katiba hiyo haijapatikana ?
 
Hii issue la TAML kudai gari lake kituoni itafuta hata yale matapishi ya wanaCCM kudai kwamba mchezo ulisukwa ndani ya CDM na akina Mbowe. Maana muktadha wa kawaida kabisa kama movie ilichezwa na Mbowe hawezi kusuka mpango wa kupoteza gari isipokuwa serikali ndo wenye guts za kupoteza ushahidi kindezi.
 
Halafu huwa najiuliza tu, siku ile dereva wa lissu angeweza kuchukua hata ushahidi wa risasi make naimani nyingi zilimkosa mlengwa make wale wajinga walikuwa wanazimimina kiboya sana kama kojo la mlevi.
Zile risasi zingesaidia kutambua kampuni zilikotengenezwa na ziliingizwa nchini na nani na kabla ya kutumiwa zilihifadhiwa wapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…