Tundu Lissu kuhitaji gari lake aliloshambuliwa nalo hapa kuna mtego mkubwa na hesabu kali inachezwa

Tundu Lissu kuhitaji gari lake aliloshambuliwa nalo hapa kuna mtego mkubwa na hesabu kali inachezwa

Msimfanye Lissu ndo wa kwanza kusoma sheria hapa nchi. Sheria zipo wazi na taratibu za kufuata katika mazingira kama hayo zinajulikana.
Hivi unadhani tukio kama hilo lingetokea ndani ya nyumba polisi wangezuia hiyo nyumba isitumike tena kusubiri mwenendo wa uchunguzi?
Lissu anajua sheria kuliko mtu yeyote katika nchi hii
 
Na Mtego wa Tundu Lissu ndiyo uko hapo hapo. Anajua fika kuwa hawezi Kulipata kutokana na Mazingira na Mamlaka anayodili nayo ila nae anafanya Makusudi huku akiwabananisha ili Wajichanganye wenyewe wampe Points za Ushindi na Wao Waumbuke na Ukweli mzima wa Tukio uaminike kwa Watanzania na Jumuiya ya Kimataifa ambao bado Kimya Kimya wanalifuatilia japo Watu wanadhani limeisha mazima.
Limeisha wapi, wanatafuta namna ya kupangua ila bado ngumu
 
Msimfanye Lissu ndo wa kwanza kusoma sheria hapa nchi. Sheria zipo wazi na taratibu za kufuata katika mazingira kama hayo zinajulikana.
Hivi unadhani tukio kama hilo lingetokea ndani ya nyumba polisi wangezuia hiyo nyumba isitumike tena kusubiri mwenendo wa uchunguzi?
Kusoma sheria ni moja.Na kuitumia kwa akili ni jambo lingine.
 
Haya Majiniasi ( Akili Kubwa ) wa JamiiForums hebu njooni mtupe Ujiniasi wenu katika hili Sisi Mangumbaru ( Akili Ndogo ) kwani wenye Akili Kubwa wanadai katika hili kuna mahala Tundu Lissu Kawatega lakini pia kuna Hesabu Kali mno inachezwa hapa ambayo ikikosewa tu Mzanzibari atadharaulika na hatoamini.
Kwani shida iko wapi baada ya Tukio Gari si liliachw akituo cha polisi kama kidhibiti namba D25?
 
Msimfanye Lissu ndo wa kwanza kusoma sheria hapa nchi. Sheria zipo wazi na taratibu za kufuata katika mazingira kama hayo zinajulikana.
Hivi unadhani tukio kama hilo lingetokea ndani ya nyumba polisi wangezuia hiyo nyumba isitumike tena kusubiri mwenendo wa uchunguzi?
Mwenye gari hakuwepo sasa gari liko wapi? Mimi naamini lipo na utaratibu wa kumkabidhi utafatwa.
 
RPC huyo amshukuru mno huyo aliyemshauri kufanya hivyo ( Kumkwepa ) kwani akimkabidhi tu hilo Gari atakuwa ameshajiingiza Mwenyewe Mtegoni na Mamlaka yake nayo itakuwa Matatizoni.

Wawe nae makini mno katika hili la kudai / kulidai Gari lake hilo alilopata nalo Shambulio kwani Tundu Lissu siyo Ngumbaru ( Mjinga ) kama pengine Wanavyodhani.

Movie ndiyo Kwanza linaanza sasa.
KWa hiyo lengo lako Lissu asidai haki yake?
Kwanini uwape tahadhari kuwa wanategwa?
Ikiwa serikali ni waafilifu kuna haja gani kuwapa tahadhari?
Kama walivurunda acha walinywe kwa haki
 
Paul Albert
Kazi anayo
Katika mahojiano kadhaa ya lisu kuna mahali alisema kwanini Sabaya pekee yake
Wakati kuna mashetani kumzidi yapo uraiani kuna ajenda gani
Akaulizwa mfano wa mashetani hayo akamtaja Makonda

Huwenda kwa sasa Makonda akawa na ulinzi kutoka kwa wakubwa zake lakini kama kweli kuna siku katiba mpya itapatikana ile ambayo watu wanahitaji basi Makonda akimbie hii nchi kwa sababu maisha yake yaliyobaki atamalizia jela

Lisu anasema haki yake ni lazima ipatikane hata kama yeye akifa basi watoto wake wataidai
Ni maana kwamba kupitia katiba ndiyo upo urahisi wa kupata haki kwahiyo kama akifa kabla ya kupatikana katiba
Basi siku moja lazima itapatikana na kupitia hiyo watoto wake watadai haki ya baba yao
Unamaanisha katiba mpya ikipatikana itashughulikia hata makosa yaliyotendeka kabla katiba hiyo haijapatikana ?
 
Hii issue la TAML kudai gari lake kituoni itafuta hata yale matapishi ya wanaCCM kudai kwamba mchezo ulisukwa ndani ya CDM na akina Mbowe. Maana muktadha wa kawaida kabisa kama movie ilichezwa na Mbowe hawezi kusuka mpango wa kupoteza gari isipokuwa serikali ndo wenye guts za kupoteza ushahidi kindezi.
 
Halafu huwa najiuliza tu, siku ile dereva wa lissu angeweza kuchukua hata ushahidi wa risasi make naimani nyingi zilimkosa mlengwa make wale wajinga walikuwa wanazimimina kiboya sana kama kojo la mlevi.
Zile risasi zingesaidia kutambua kampuni zilikotengenezwa na ziliingizwa nchini na nani na kabla ya kutumiwa zilihifadhiwa wapi?
 
Back
Top Bottom