Mzee Shirimaa
JF-Expert Member
- Sep 12, 2018
- 1,539
- 3,456
Asubirie Gari lipo chato mafundi wanaendelea kuweka puti
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lissu anajua sheria kuliko mtu yeyote katika nchi hiiMsimfanye Lissu ndo wa kwanza kusoma sheria hapa nchi. Sheria zipo wazi na taratibu za kufuata katika mazingira kama hayo zinajulikana.
Hivi unadhani tukio kama hilo lingetokea ndani ya nyumba polisi wangezuia hiyo nyumba isitumike tena kusubiri mwenendo wa uchunguzi?
Limeisha wapi, wanatafuta namna ya kupangua ila bado ngumuNa Mtego wa Tundu Lissu ndiyo uko hapo hapo. Anajua fika kuwa hawezi Kulipata kutokana na Mazingira na Mamlaka anayodili nayo ila nae anafanya Makusudi huku akiwabananisha ili Wajichanganye wenyewe wampe Points za Ushindi na Wao Waumbuke na Ukweli mzima wa Tukio uaminike kwa Watanzania na Jumuiya ya Kimataifa ambao bado Kimya Kimya wanalifuatilia japo Watu wanadhani limeisha mazima.
Kusoma sheria ni moja.Na kuitumia kwa akili ni jambo lingine.Msimfanye Lissu ndo wa kwanza kusoma sheria hapa nchi. Sheria zipo wazi na taratibu za kufuata katika mazingira kama hayo zinajulikana.
Hivi unadhani tukio kama hilo lingetokea ndani ya nyumba polisi wangezuia hiyo nyumba isitumike tena kusubiri mwenendo wa uchunguzi?
Kwani shida iko wapi baada ya Tukio Gari si liliachw akituo cha polisi kama kidhibiti namba D25?Haya Majiniasi ( Akili Kubwa ) wa JamiiForums hebu njooni mtupe Ujiniasi wenu katika hili Sisi Mangumbaru ( Akili Ndogo ) kwani wenye Akili Kubwa wanadai katika hili kuna mahala Tundu Lissu Kawatega lakini pia kuna Hesabu Kali mno inachezwa hapa ambayo ikikosewa tu Mzanzibari atadharaulika na hatoamini.
Mwenye gari hakuwepo sasa gari liko wapi? Mimi naamini lipo na utaratibu wa kumkabidhi utafatwa.Msimfanye Lissu ndo wa kwanza kusoma sheria hapa nchi. Sheria zipo wazi na taratibu za kufuata katika mazingira kama hayo zinajulikana.
Hivi unadhani tukio kama hilo lingetokea ndani ya nyumba polisi wangezuia hiyo nyumba isitumike tena kusubiri mwenendo wa uchunguzi?
KWa hiyo lengo lako Lissu asidai haki yake?RPC huyo amshukuru mno huyo aliyemshauri kufanya hivyo ( Kumkwepa ) kwani akimkabidhi tu hilo Gari atakuwa ameshajiingiza Mwenyewe Mtegoni na Mamlaka yake nayo itakuwa Matatizoni.
Wawe nae makini mno katika hili la kudai / kulidai Gari lake hilo alilopata nalo Shambulio kwani Tundu Lissu siyo Ngumbaru ( Mjinga ) kama pengine Wanavyodhani.
Movie ndiyo Kwanza linaanza sasa.
😅😅Mtego wenyewe upo hivi "ukisimama nchale ukikaa nchale na ukikimbia pia nchale"
Unamaanisha katiba mpya ikipatikana itashughulikia hata makosa yaliyotendeka kabla katiba hiyo haijapatikana ?Paul Albert
Kazi anayo
Katika mahojiano kadhaa ya lisu kuna mahali alisema kwanini Sabaya pekee yake
Wakati kuna mashetani kumzidi yapo uraiani kuna ajenda gani
Akaulizwa mfano wa mashetani hayo akamtaja Makonda
Huwenda kwa sasa Makonda akawa na ulinzi kutoka kwa wakubwa zake lakini kama kweli kuna siku katiba mpya itapatikana ile ambayo watu wanahitaji basi Makonda akimbie hii nchi kwa sababu maisha yake yaliyobaki atamalizia jela
Lisu anasema haki yake ni lazima ipatikane hata kama yeye akifa basi watoto wake wataidai
Ni maana kwamba kupitia katiba ndiyo upo urahisi wa kupata haki kwahiyo kama akifa kabla ya kupatikana katiba
Basi siku moja lazima itapatikana na kupitia hiyo watoto wake watadai haki ya baba yao
AiseeLissu anajua sheria kuliko mtu yeyote katika nchi hii
Kwani kuchukua v8 nyingine kuibandika namba husika na kuilima risasi nyingi ni shingap bhanaGari lilichomwa moto ili kuficha ushahidi...na kwakuwa lissu ashapewa movie nzima ndio maana anakomaa ili awaumbue sukuma gang
Hata mimi nahisi hivyo...inawezekana gari halipo.Kuna kila dalili gari ilichomwa moto kwa maagizo kutoka Chato
Mkuu usijitoe ufahamu. Lile sio gari la miti, lina engine na chasses numbers...!Kwani kuchukua v8 nyingine kuibandika namba husika na kuilima risasi nyingi ni shingap bhana
Dereva kabaki na mke wangu kule BrusselsOk, Ok na dereva wa gari hilo yupo wapi??? tuanzie hapo.
Kazi ipoPia kwenye maongezi yake anasisitiza kwamba gari ilikuwa mpya.