Tundu Lissu kuhitaji gari lake aliloshambuliwa nalo hapa kuna mtego mkubwa na hesabu kali inachezwa

Si walisema wanamtaka aje ili ahojiwe? Sasa kaenda mwenyewe lakini hawakumhoji!
Lakini tusubiri labda anahojiwa.

tatizo mama naona kama anaingili jambo hili aiche polisi sasa ifanye kazi zake lissu amrudishe dereva aje atoe ushahidi vipi mimi na wewe tukae kwenye gari siti zetu zimekaribiana risasi 38 dereva asimpate risasi hata moja kwa tena hata kwa bahati mbaya tu, vipi?
 
Yuko ubelgiji anafanya kazi
Lakini mhusika si yupo sasa?
Afungue kesi basi kuishtaki serikali ya Tanzania kwa kumdhuru. Kesi ianze na mashahidi waliopo waitwe watoe ushahidi. Kila kitu kitajulikana kwanini CDM/Lissu hawataki kufungua kesi??? Ikumbukwe 2020 alikua bongo na alizunguka nchi nzima kwanini hakufungua hio kesi??sasa hivi imebaki blah blah tu... kuna mengi nyuma ya pazia ambayo watu wa kawaida hawayajui. Moja, nahisi Lissu na CDM wanaijua movie yote. Mbili, inawezekana kweli serikali ilifanya hivyo kutokana evidences za Lissu kuisaliti nchi yake. Yote kwa yote ili haki ipatikane afungue kesi tu ijulikane kuliko kila siku kendelea kupambana na marehemu ambae hawezi kujibu tuhuma..Simple!!!
 
Ishu ya risasi ni simple kumbuka kuna nyingine ziliingia mwilini ninaamini fika kuwa zipo na zilitunzwa KWA ushahidi na nyingine zipo mwilini mwake hadi sasa!

KWA hiyo wakizitaka kwaajili ya ushahidi watazipata tu itakuwa zilitunzwa KWA ajili ya ushahidi HUSIKA!!
 
Tukio la lisu linafikirisha Sana!!

1.Ina Maana Mungu aliamua kuwaumbua wahusika na aliewatuma!!?

2.Waliopanga tukio walikuwa vilaza hadi washindwe kutekeleza!!?

3.Waliofanya tukio miongoni mwao walikuwepo wasaliti waliosababisha mission isifanikiwe!?

4.Ni kweli kwamba vyombo vya ulinzi viliamua kumtelekeza Mbunge na mchaguliwa wa wananchi hata aliporipotit HATARI inayomkabili!!?

5.Lisu alikuwa asset iliyogawanya pande kuu mbili Kati ya wanaofaidika nae na wale wasiomtaka hivyo kukawa na mnyukano Kati ya pande Mbili hadi mipango ikashindikana!!?

6.Mission ilifeli mazima yaani Dead and dusted au itahuishwa Tena na wahusika waliotaka kukamilika KWA mission!!?
 
Wewe kwa akili yako ya kuzaliwa tu achana na uliyoipata chekechea, unaona atapatiwa hilo gari?
 
What an elder can see while seated on chair you cannot see it while on top of the tall tree...
 
Mkuu assumptions zako 5 za mwanzo zote zina prove vividily valid isipokuwa hapo kwenye namba 6 hii ni failed mission and simply a trush. Kumbuka Mama yupo affiliated na mzee wa msoga ambaye hana time na kelele au tuseme yupo politically challengable and torelative compared to "the gone one".

Hence no more threats will be intended to harm our beloved TAL.
 
Unajuaje kama hawakuchukua kwa ajili ya ushahidi? Imagine nguo zenye damu wamezitunza tokea 2017 mpaka leo
 
Ingia you tube hili la dereva tayari amelijibu kwa kirefu sana.
 
Unamaanisha katiba mpya ikipatikana itashughulikia hata makosa yaliyotendeka kabla katiba hiyo haijapatikana ?
Hayo makosa yaliotendeka hata kwa katiba hii hii wahusika wanaweza kuwajibishwa ila kutokana na katiba kuwa na mnyololo wa kulindana ndio ilo linashindikana sasa katiba mpya itakuja kuondoa huo mnyonyoro
 
Dereva hajazoea masuala ya vita katika tukio kama lile cha kwanza ni usalama wake hawezi kukumbuka hayo mambo ya kukusanya ushaidi hata ungekua wewe kwa mara ya kwanza maishano mwako unasikia milio ya risasi takribani 30 kutoka upande wa pili tu wa gari huwezi kukumbuka hayo mambo ya kukusanya ushaidi
 
atachukuaje gari hajatoa ushahidi polisi dereva hajatoa ushahidi kesi bado haijakamilika unataka gari vipi file lako bado halijafungwa
Kwani yeye ndiye mtuhumiwa wa shambulizi lile?

Na kama siye, kwanini mali yake ishikiliwe wakati si mtuhumiwa?

Je kama ni upelelezi, upelezi gani unaofanyika kwa miaka mingi namna hiyo?

Na je ni nini kilichobakia katika upelelezi kupelekea kuzuia mali ya raia mlalamikaji kwa muda mrefu namna hiyo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…