Dereva kabaki na mke wake kule Brussels ,Basi kama gari ni muhimu kurudishwa basi na dereva nae muhimu sana apatikane atoe his side of the story. Haiwezekani story ya Lissu ya upande mmoja ikajumuisha tukio lote na huyo dereva nae ni muhimu, na pia inatakiwa kuwapata wale wanaokuwaga walinzi pale waseme ni nani aliwaondoa siku ya tukio. eneo kama lile lina rota ya walinzi wa siku hio, waulizwe walinzi wa siku ile kwanini hawakua kazini na kwa amri ya nani?? Kitu kibaya zaidi Lissu anamsema Magufuli- rip kama yeye ndio aliefanya tukio , aseme ni serikali ya Tanzania ili iwe wazi na kuipeleka kortini kama serikali sio mtu binafsi. ni nini anaogopa kufanya hivyo???Maana kesi ikifanyika basi picha loote litajulikana. Kuna mengi kwenye hii issues sio hayo Tundu aliosema tu tena kwa upande wake.