MINOCYCLINE
JF-Expert Member
- Apr 2, 2015
- 8,018
- 16,802
- Thread starter
- #41
Uko sahihi katika hili kwa 100% Kiongozi.Gari lilichomwa moto ili kuficha ushahidi...na kwakuwa lissu ashapewa movie nzima ndio maana anakomaa ili awaumbue sukuma gang
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uko sahihi katika hili kwa 100% Kiongozi.Gari lilichomwa moto ili kuficha ushahidi...na kwakuwa lissu ashapewa movie nzima ndio maana anakomaa ili awaumbue sukuma gang
🤣🤣🤣🤣😂😂😂🤣🤣😂😂Hapo Geshi Litaumbuka Sasa Kuwa Mali HaipoLile gari kupatikana sio rahisi, na huenda washaiba kila kitu
NakaziaHuna Akili.
Huna akili weweMsimfanye Lissu ndo wa kwanza kusoma sheria hapa nchi. Sheria zipo wazi na taratibu za kufuata katika mazingira kama hayo zinajulikana.
Hivi unadhani tukio kama hilo lingetokea ndani ya nyumba polisi wangezuia hiyo nyumba isitumike tena kusubiri mwenendo wa uchunguzi?
Kuna issue hapo, kwanza hiyo gari ni kaa la moto!Msimfanye Lissu ndo wa kwanza kusoma sheria hapa nchi. Sheria zipo wazi na taratibu za kufuata katika mazingira kama hayo zinajulikana.
Hivi unadhani tukio kama hilo lingetokea ndani ya nyumba polisi wangezuia hiyo nyumba isitumike tena kusubiri mwenendo wa uchunguzi?
Ok, Ok na dereva wa gari hilo yupo wapi??? tuanzie hapo.
Halafu huwa najiuliza tu, siku ile dereva wa lissu angeweza kuchukua hata ushahidi wa risasi make naimani nyingi zilimkosa mlengwa make wale wajinga walikuwa wanazimimina kiboya sana kama kojo la mlevi.
Zile risasi zingesaidia kutambua kampuni zilikotengenezwa na ziliingizwa nchini na nani na kabla ya kutumiwa zilihifadhiwa wapi?
Lissu ananizidi hadi mimi au Andrew Chenge?Lissu anajua sheria kuliko mtu yeyote katika nchi hii
Kama hivyo bado itabidi wajiibu lilitolewa polisi kwa utaratibu gani? Halikuondoka lenyewe!Gari lilichomwa moto ili kuficha ushahidi...na kwakuwa lissu ashapewa movie nzima ndio maana anakomaa ili awaumbue sukuma gang
Kuwa judgemental kwa kilamjambo kunatufanya tuishi kwenye past na Future wakati maisha is prese t ou NownowInawezekana anataarifa ya kwamba gari limekongoloka ndio mana cha kwanza anasema anataka kuliona then atafata taratibu ili aweze kukabidhiwa.
Yuko ubelgiji anafanya kaziOk, Ok na dereva wa gari hilo yupo wapi??? tuanzie hapo.
Si walisema wanamtaka aje ili ahojiwe? Sasa kaenda mwenyewe lakini hawakumhoji!Haya Majiniasi ( Akili Kubwa ) wa JamiiForums hebu njooni mtupe Ujiniasi wenu katika hili Sisi Mangumbaru ( Akili Ndogo ) kwani wenye Akili Kubwa wanadai katika hili kuna mahala Tundu Lissu Kawatega lakini pia kuna Hesabu Kali mno inachezwa hapa ambayo ikikosewa tu Mzanzibari atadharaulika na hatoamini.