Tundu Lissu kuhutubia Taifa leo 01/01/2025 majira ya saa 6 mchana

P
Pascal Mayalla alisharuri hotuba ya Lisu isigongane na ya Amiri Jeshi mkuu 🐼
Mkuu Yohanne Mbatizaji johnthebaptist , nilipoona press ya Lissu ni leo, nikafarijika sana!. Sio tuu kauli huumba, bali hata ushauri huumba, ule ushauri wangu wa jana, ukaumba kuisogezea leo!. Sasa kazi kubwa mbele yetu ni kutumia nguvu ya ushauri umba, kawashauri wale manyumbu, kuacha unyumbu, tarehe 21 wachague chuma cha pua cha kuwaingiza ikulu na sio kuendelea kuchagua mlenda!.
Happy New Year!
P
 
Tushaamua kwamba ye ni mgombea wa nccr mageuzi by 2025!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…