zitto junior
JF-Expert Member
- Oct 7, 2013
- 20,537
- 31,729
Yes, kama wana mifumo nje ya hapo mbona walishindwa mkamata Kigogo2014 hadi wakatuma complaints 1000 ndio akaunti ikafungwa na twitter kwa muda. Likewise, kuna jf user anaitwa "fuhrer" alisakwa ila walishindwa mtrack hadi wakamkamata Melo awape taarifa za user yule. Same to kabendera ilibidi vodacom wampigie na kutoa location ya nyumba yake!! Hao TISS walikuwa wapi?Alifuatilia kupitia tigo?
Mbona mnaifanya JF kuonekana kuwa jamvi la vilaza?
Wewe jamaa una mkia mdomoni au?Inawezekana ni kakikundi fulani tu ndani ya TIGO ndio walishirikiana na hao Majambazi waliokuwa wanafuatilia nyendo za Lisu
Hakuna ugumu wowote wa Serikali Kufuatilia nyendo za Mbunge inapolazimu
Lisu alikuwa anaishi kwenye nyumba ya Serikali sasa hadi uhangaike na akina TIGO kumfuatilia? πΌ
Tamthiliya ya Jumong ina mafundisho yote haya
Ahsanteni sana π
Bwege siyo tusi hata bungeni alikuwepoHuna haja ya matusi wala Lugha mbaya.
Jibu sawali au hoja sawa kijana.
Bado hujasema ndugu BofloWewe Tutusa Kwenye Mawasiliano hao TIGO ni Watoto wadogo mno πΌ
Kigogo huyu huyu Chawa wa Sukuma gang? πππYes, kama wana mifumo nje ya hapo mbona walishindwa mkamata Kigogo2014 hadi wakatuma complaints 1000 ndio akaunti ikafungwa na twitter kwa muda. Likewise, kuna jf user anaitwa "fuhrer" alisakwa ila walishindwa mtrack hadi wakamkamata Melo awape taarifa za user yule. Same to kabendera ilibidi vodacom wampigie na kutoa location ya nyumba yake!! Hao TISS walikuwa wapi?
So hao jamaa hawana hizo akili au vifaa unavyowaza ni lazima watumie secondary sources mfano usajili wa mita za luku au location ya mnara ndio wajue ulipo.
Punguza ujingaWewe Tutusa Kwenye Mawasiliano hao TIGO ni Watoto wadogo mno πΌ
Watanzania wameamua kuchagua AmaniBado hujasema ndugu Boflo
Jifunze kwa wengineKigogo huyu huyu Chawa wa Sukuma gang? πππ
Kama unahalalisha ulichoandika kuwa mimi ni bwege basi Amani iwe nawe.Bwege siyo tusi hata bungeni alikuwepo
Ila nimekuelewa π
Elimu ya mjinga ni ........Watanzania wameamua kuchagua Amani
Maandamano pelekeni DRC πΌ
Lisu atalipwa Fidia na TIGO kivyao πΌPunguza ujinga
Wewe siyo bwegeKama unahalalisha ulichoandika kuwa mimi ni bwege basi Amani iwe nawe.
UnyumbuElimu ya mjinga ni ........
Eeeh walishindwa mpka leo, bongo hakuna intelijensia tunategemea tu informants watudakishe kwa polisi. Remember tukio la LwakatareKigogo huyu huyu Chawa wa Sukuma gang? πππ
Tigo wanaweza wakabanwa na wakatoa, one thing magu alikuwa atembei na by the bookAlifuatilia kupitia tigo?
Mbona mnaifanya JF kuonekana kuwa jamvi la vilaza?
Unatakiwa kujua kuwa sio kila kitu kifanywacho na Government officers ni legal Government action vingine ni matumizi mabaya ya ofisi.Inawezekana ni kakikundi fulani tu ndani ya TIGO ndio walishirikiana na hao Majambazi waliokuwa wanafuatilia nyendo za Lisu
Hakuna ugumu wowote wa Serikali Kufuatilia nyendo za Mbunge inapolazimu
Lisu alikuwa anaishi kwenye nyumba ya Serikali sasa hadi uhangaike na akina TIGO kumfuatilia? πΌ
Tamthiliya ya Jumong ina mafundisho yote haya
Ahsanteni sana π
Kwa hiyo mimi na wstanzania tunaodai haki ya kuishi ni Wakongo?Watanzania wameamua kuchagua Amani
Maandamano pelekeni DRC πΌ
Hatari sana!
Mkuu hicho kitu hakichukui hata sek 30 kuanzia kucrack password zako na Kila kitu..... Omba MUNGU utue kwenye mikono Yao utashuhudiaHawawezi bila kupitia mitandao ya simu nakuambia.
Hujui lolote. Ni nani huyo "anaye tumia gharama yoyote" nje ya sheria? Toa mfano hata mmoja.kama wakishindwa kuzipata kupitia sheria wapo radhi watumie njia nyengine!.