Tetesi: Tundu Lissu kujitoa kwenye kinyang'anyiro cha kupeperusha bendera ya CHADEMA

Ukitaka kupanda cheo tangaza kumuua Lissu , mwenzako aliyetangaza kumuua Zitto amepewa UDC Arusha , hizo elfu 7 unazolipwa hazitakusaidia chochote
Huu wimbo wa buku 7 mmeuimba sana miaka 15 sasa tangu enzi za JK hivi hamuoni kama mlikaririshwa uongo wa mchana kweupe?
 
Kama mambo ni hayo, basi hakuna sababu kumpitisha yeyote kati ya lisu na mbowe! Mbowe na Lissu waendelee kusimamia majimbo yao, Hii ni kwa sababu hata Mbowe akipewa ridhaa ya chama , Kuchukua dola ni ngumu kutokana na kutokua na wanachama mashinani/Vijijini nk, Uchaguzi utafanyika lakini CHadema haitashinda ...kikubwa itaongeza viti katika Bunge
 
Usilolijua litakusumbua sana
Kama hujawahi kwenda JKT ni vigumu sana kujua tactics za kupambana vitani utaishia kuhisi
 
Wala sio mbowe simnamtafutia kesi?
 
Ukitaka kupanda cheo tangaza kumuua Lissu , mwenzako aliyetangaza kumuua Zitto amepewa UDC Arusha , hizo elfu 7 unazolipwa hazitakusaidia chochote


Bado mkuu tunakumbuka ubashiri timua zitto👉dr. Slaa👉Lissu? Baadaye akahisiwa hadi Mnyika.


Kupitia ule waraka ambao chama au wakina zitto wenyewe waliusuka.

Ngoja tusubiri hao viongozi wako wanajianika mdogomdogo mkuu amimi nakuambia.

Na awamu hii hii hawapo tayari kumtoa JPM.

MUDA NI MWALIMU.
 
 
Kuna kila dalili huenda habari hii imepikwa, japo Mbowe kugombea Urais amefanya makosa makubwa kimkakati. Time will tell
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…