Tetesi: Tundu Lissu kujitoa kwenye kinyang'anyiro cha kupeperusha bendera ya CHADEMA

Duu!! 😂😂
 
wewe ni kilaza mwenye utapiamlo wa kichwani
 
Wajinga na vipofu wa kisiasa mko wengi kweli kweli,kwa mfano mtu anaye amini upinzani hapa nchini huyo anakua ni mtu kipofu asiye ona
Ukitaka kupanda cheo tangaza kumuua Lissu , mwenzako aliyetangaza kumuua Zitto amepewa UDC Arusha , hizo elfu 7 unazolipwa hazitakusaidia chochote
 
Huyu Lisu akili yake fupi. Alipohutubia taifa kama anavyodai sisi wengine tulijua tayari ameshachaguliwa na chadema pengine na ukawa kumbe alikuwa tu kachukua fomu. Kama ana akili timamu kwanza angewasiliana na Mwenyekiti wake na kumuuliza kama nae anataka kugombea nafasi ya rais jibu ambalo angepata toka kwa mwenyekiti ndilo angetumia kufanya maamuzi. Huyu mtu ana tamaa kubwa sana kuchukua fomu tu na kuwahutubia Wananchi tena kutoka makao makuu Belgium
 
Ndio dikteta wenu amewatuma hayo? Unahangaika sana wewe kutetea tumbo lako kupitia siasa, Siasa sio ajira, ni itikadi sasa wewe unafanya siasa za kutumwa na madikteta achana na utumwa.
 
Ukitaka kupanda cheo tangaza kumuua Lissu , mwenzako aliyetangaza kumuua Zitto amepewa UDC Arusha , hizo elfu 7 unazolipwa hazitakusaidia chochote
Bado mnaimba ule wimbo wa .... Lissu rais, rais, rais rais au mmebadili gia Sasa mnaimba..... Mbowe said, rais, rais!
Naona makamanda mmechanganyikiwa hamjui muimbe Nani rais.
 
Wewe CCM gani unahamasisha ushoga.? Abaki hukohuko kwa wanaooana wenyewe kwa wenyewe.
 
Sujatumwa
Ndio dikteta wenu amewatuma hayo? Unahangaika sana wewe kutetea tumbo lako kupitia siasa, Siasa sio ajira, ni itikadi sasa wewe unafanya siasa za kutumwa na madikteta achana na utumwa.
 
Mkufafanuwa vzur mbow ashinde nini
 
Hawa wazungu ndio watakaoviua vyama vya upinzani, ahadi yao ya kutoa pesa kwa Chadema kwa ajili ya uchanguzi inaleta mtafaruku ndani ya chama, kwa sasa kila mtu anataka awe mgombea ili aje afaidi hilo fungu litakalotolewa na mabeberu. Tutaona kila aina ya sarakasi ndani ya Chadema.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…