Tetesi: Tundu Lissu kujitoa kwenye kinyang'anyiro cha kupeperusha bendera ya CHADEMA

A Pablo Picasso drawing of the SCENARIO! 😅🤡
👊 ✌️✌️✌️💥
 
Nilishasema Lissu hamna kitu hapo. Katiba aliyoshupalia kuitunga ndiyo inamkatalia kuendelea na mchakato wakati mkuu wake kaishalidhia kuchukua fomu. Shida ipo hapo. ushauri kwa LISU, jitoe ili utunze heshima yako
 
Da jtatu ndugu yetu na mwanachama wa mda mrefu anachukua form hapo makao makuu ,anasema ataenda na bajaji na hataki vyombo vya habari ngoma kimia kimia sasa tafadhali katibu mkuu jtatu mpokee na mpe stahiki zake kama mtia nia .asante sana dr bashiru.

Achapishe ya kwake, kwa bashiru hatafika maana ataulizwa nilikuita ukagoma, sasa nenda usubili wito wa pili.
 
Hawa watatuuza kwa Mabeberu tuwaogope
 
Yule ni kichwa maji
Nilishasema Lissu hamna kitu hapo. Katiba aliyoshupalia kuitunga ndiyo inamkatalia kuendelea na mchakato wakati mkuu wake kaishalidhia kuchukua fomu. Shida ipo hapo. ushauri kwa LISU, jitoe ili utunze heshima yako
 
Ukitaka kupanda cheo tangaza kumuua Lissu , mwenzako aliyetangaza kumuua Zitto amepewa UDC Arusha , hizo elfu 7 unazolipwa hazitakusaidia chochote
Jiandae kuimba pambio la Lissu Msaliti naweka utabiri wangu hapa
 
Kuna watu mtakuja kuvishwa KHANGA.
 
Ukitaka kupanda cheo tangaza kumuua Lissu , mwenzako aliyetangaza kumuua Zitto amepewa UDC Arusha , hizo elfu 7 unazolipwa hazitakusaidia chochote

Bounty hunters wanajua unono wa donge.... muujiza utendeke ageuke kua FISI
 
Aombe radhi kwa kosa gani alilofanya
 
CDM ni lazima waumiliki mchakato wa kidemokrasia ili kumpata mperusha bendera ktk nafasi ya uraisi, kwa kuwa wanachama wote 11 waliojitokeza wana haki kikatiba. Wote Nyalandu, Mbowe, Lissu na wengineo waliobakia wana haki sawasawa, na hakuna aliye juu ya wenzake.

Ni jukumu la Kamati Kuu ya CDM kuendesha mchakato huu kwa haki pasipo kuangalia majina na hadhi ya mtia nia. Pia ni lazima watambue madhara hasi yaliyotokana na mchakato wa kumpata Mwenyekiti Taifa wa chama chao, hali iliyopelekea kukimomonyoa kwa kiasi kikubwa.

Nafiri pengine Mbowe kachukua fomu kama njia ya kukabiliana na "calculated & manipulated risks" endapo kutatokea pandikizi kuvuruga mchakato huu muhimu ktk chama chao. Watia nia wote waliojitokeza ni lazima wakubaliane na "technical reasons" zitakazopelekea kuwaengua 10 miongoni mwao, na hatimaye akatokea mteule mmoja kati yao kupitia vigezo vya kikatiba vya chama chao.
 
Kawe Alumni niaje boss...hauna buku hapo?
 
Ccm wanamtamani sana lissu japo ndo waliochangia yeye achabangwe risasi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…