Tetesi: Tundu Lissu kujiunga ACT Wazalendo, Abdul Nondo naye kuula!

Status
Not open for further replies.
Mkuu kwenye wanasiasa ongezea "wanasisa wa Tanzania" ndio maana hata wakionewa huwezi kuona wazungu wansema lolote maana wanajua ni "nyani wamezidiana ujanja"
 
Ameanza kupata akili. Hicho chama hawana nia ya kuongoza nchi bali ruzuku. Nadhani mabaharia mmenielewa.
 
Kama ana wazo hilo atakuwa amefutika kwenye ulingo wa siasa kama Maalim
 
Kama ni tetesi kwanini hukuiweka hivyo kwenye heading yako ? moderator wanakulea sana sijui kwanini ( nachunguza ) , kuhangaika na chadema kutakuponza vibaya sana !

Unapotosha kishamba bila hata plan ili mradi tu ujaze server za jf , wajinga pekee ndio watakuamini , Mnafiki mkubwa weee !!
 
Tetesi zina mambo mawili kuwa za uongo au ukweli, ila nachokumbuka ni kuwa walikuwa na mazungumzo ya mipango ya muungano wa vyama na kutoa tofauti zao ila la kuhamia chama ACT hilo mmesema nyinyi ngoja tuwe na subira kuona maamuzi ya baadae
Mbowe hamtaki Zitto
 
Hii inawezekana hasa baada ya twitter ya Zitto akisema kwamba yeye na Lissu walifarakanishwa na Dr Slaa ila kwa sasa watashirikiana katika siasa. Inaonekana kana kwamba CHADEMA wamemtosa Lissu hivyo anaamua kuungana na aliyekuwa “msaliti” wao enzi hizo. Wahenga hawakuacha neno hata moja; katika siasa hakuna urafiki ama uadui wa kudumu. Tusibiri tuone.
Hilo la Nondo sina comment.
 
Wapuuzi mnapoungana kutoa propaganda za kishamba .endeleeni ila ...
 
Hakuna la ajabu hapo maana hata Slaa yuko ccm na aliishia kwenda huko na mkewe. Hata Lissu anaweza kwenda popote na atapata support yetu iwapo tu ataongea lugha moja na sisi.
Kamanda nakubaliana na wewe
 
Dah
 
Nimeona video ya Lissu ya TAREHE 07/09. Ni dhahiri Lissu atafia Chadema. Katoa video akiwa Ubelgiji, full uniform had Bendera, unajua Chadema imentendea mema kiasi gani! Zito naye kaongea kule tweeter kuhusu uhusiano wake na Lissu. Tuache kuvumisha vitu hivi, ili iweje labda unakoelekeza kudadavua. Kama ni kwenda kuona mgonjwa ni kigezo, kuna wale waliomuuguza kwa zaidi ya mwezi tuwaweke wapi
 
Chadema si mama yake
 
Kweli utoto ni utoto tu. Wakati ninasomea taaluma ya uwalimu nilisoma sana msamiati wa Adolescent kwenye saikolojia. Lakini nilipokuwa nikisoma sheria nimesoma sana msamiati wa under eighteen au teenage.
Nimehusishanisha na habari hii. Hii habari ameandika Nonde aliyewahi kujiteka na amepost yeye kwa ID yake. Nonde ana IDs nne humu ndani, na hii ni ID yake pia. Thia is unfair propaganda
 
Kama P amekubaliana na hizi tetesi, sisi laymen wa siasa ni nani hata tupinge?
 
Rubbish, waziri mzima unaandika "mavi" kiwango hiki. Acha utoto wewe ni mtu "mkubwa", tunategemea hekima toka kwako siyo utumbo wa hivi!
ndo nani huyu mkuu kwenye uwazir, hebu nami niibie siri.
 
nimependa hiyo jinsi ulivyowaelezea bila kupepesa jicho, sometimes huwa uko vzri sana, ila muda mwingine huwa mmmhhh! maono mazur sana ulioyo yatoa kuhusu hizi njemba mbili.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…