Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 53,857
- 121,995
Mkuu Kikiwo, besides everything else, we are all human, we have human needs, human strengths and weaknesses, sentence yangu ya mwisho ni moja ya weaknesses zangu.Mmmmmmmm acha hizo Pascal. Sentensi yako ya mwisho hatareeeeeeeee.
Shida ni ukanda unaitesa CDMInawezekana ni Kweli Kwanini Lisu Kakataa Kurudi Tarehe 7 -09 - 2019 akaongeza gia angani ( kaongeza siku mbele ) ni baada wiki moja mbele tukamsikia zitto kwamba alienda juzi juzi kumtemberea hospitalin atujui walitete nini pia akasema yeye na lisu sio maadui namwisho amemsifia sana na kumponda slaa na wengineo kawaweka kapuni ambao nikama ndio waliwachonganisha kipind yupo chadema sasa leo baada ya siku moja na masaa kaza katokea mtu na habari hii hapo juu anasema tetesi inawezekana ni kweli wakuu
We jamaa nilikuaga sijakujua vizuri. Kumbe ni muelewa wa mambo mzuri sana.
Msema kweli ni mpenzi wa Mungu!!!!!!!! NimekuelewaMkuu Kikiwo, besides everything else, we are all human, we have human needs, human strength and weaknesses, sentence yangu ya mwisho ni moja ya weaknesses zangu.
P
Nashukuru mmeanza kuwaza vyema ,mnajifungua minyororo[emoji23][emoji23][emoji23]Wanasiasa wanafanya siasa kama ajira na njia ya ulaji, badala ya kufanya siasa za kuwasaidia wananchi.
Kwa sasa hatutakiwi tu-give - a - fuvk kuhusu hizi hamahama za wanasiasa bali tuwasubiri kunako sanduku la kura tuu.
Nadhani sauti iko vizuri.[emoji350][emoji344]
Unforgetable
Pascal Mayalla , kuna ukweli ktk tetesi hizi? Kwa namna ulivyozipamba tetesi hizi na kumpa kongole mtoa tetesi ni dhahiri kwamba unaziamini.Mkuu Kaka Wakudadavua, kwanza naunga mkono hoja, ila duh...!. Kiukweli hii kali!.
Hata hivyo asante Kaka Wakudadavua, kutudadavulia hii, umetupakulia ikiwa ya moto moto, kwa jinsi unavyopata taarifa za ndani za vyama, nakuvulia kofia, Musiba atasubiri!, hongera unafanya kazi nzuri Kaka Wakudadavua. Asante tena. Na kiukweli nakukubali sana...basi tuu, kwa vile wewe ni Kaka, ungekuwa Dada, uvumilivu ungenishinda!.
P
Ukweli ni kwamba lissu ataunga mkono juhudi za kuleta maendeleo atajiunga ccm acha kuotaNdugu zangu,
Bado ni tetesi lakini hapa JF ni muhimu huu mjadala ukawepo kwa afya ya siasa za nchi.Zitto Kabwe ndiye mwanasiasa pekee aliyemtembelea Tundu Lissu mara tano hospitalini,mara tatu Ubelgiji mara mbili Nairobi.Inasemekana ziara za Ubelgiji zaidi zilijawa na mazungumzo kuhusu hatma ya Lissu kisiasa kwa mazungumzo ya wiki mbili zilizopita kuna uwezekano mkubwa Tundu Lissu akajiunga na ACT Wazalendo ili kuendelea na shughuli za siasa.
Bado haijaeleweka kwanini Lissu anafikiri kuondoka Chadema hizi ndio siasa na mauzauza yake,huenda kuna alama za nyakati zimesomwa.
Zaidi ya hilo kijana Abdul Nondo ambaye miezi michache alitumika na Mbowe ili kufifisha nguvu za Zitto Kigoma sasa rasmi ACT Wazalendo ambapo wakati wowote atapewa majukumu ndani ya chama hicho baada ya kumaliza masomo yake UDSM.
Habari nyingi huanza kama tetesi hapa JF mwishowe hubainika kuwa ni za kweli.
Tetesi ndio kisingizio cha kutunga uongo na uzushi humu jf, Tundu Lissu hawezi kujiunga ACT kwa sababu ndani ya Chadema,Pascal Mayalla , kuna ukweli ktk tetesi hizi? Kwa namna ulivyozipamba tetesi hizi na kumpa kongole mtoa tetesi ni dhahiri kwamba unaziamini.
Binafsi nakuamini sana Pascal Mayalla, hivyo naomba unisaidie na mm kuziamini tetesi hizi kwa kujibu swali langu kwa sauti kubwa.
They are opportunity seekersWanasiasa wanafanya siasa kama ajira na njia ya ulaji, badala ya kufanya siasa za kuwasaidia wananchi.
Kwa sasa hatutakiwi tu-give - a - fuvk kuhusu hizi hamahama za wanasiasa bali tuwasubiri kunako sanduku la kura tuu.
Nadhani sauti iko vizuri.[emoji350][emoji344]
Unforgetable
Ni kweli kabisa, tumejaribu hata kuvunja kidogo sheria za JF kwa kumtaatifu kuwa ID yake inatambulika ajitahidi kuwaandika ya maana lakini imeshindikana.Hakuna hoja, Nyerere aliwahi kuwaambia waandishi wa habari walipomuuliza kuwa "kuna tetesi unataka kumpindua Mwinyi", unajua aliwajibuje? Aliwajibu hivi: Ukisikia tetesi kuwa mimi ndiye baba yako, utakwenda kuandika au kuuliza mama yako? MKUTANO ULIVUNJIKA HAPO HAPO!
Huyu ni public figure, resp-ectable figure, aachane na ushabiki wa JF. She needs to talk sense, not tetesi! Tetesi awaachie "wapuuzi"
Mimi niko simple, open, frank, straight, truthful na very transparent na very impartial, siegemei upande wowote, hili la kutoegemea upande, linawatatiza wengi wenye pande zao.Sijui ni nani yule nilimwambia Paskali hana haja ya kusoma Class 101 of Sarcasm Writing!
Hahaha mkuu mbona roho inakuuma sana?Katika Mambo ya kijinga Sana na Kama huu Uzi. Lissu anayokesi mahakamani ya kutetea ubunge wake. Na anafanya hivyo kwa gharama kubwa, pili Lissu anatambua namna chama kimepigania uhai wake Hadi tone la mwisho.
Nasema Lisu hajahama na hawezi CHADEMA labda afukuzwe.
Hii inaweza kuwa propaganda kuhalalisha kufukuzwa kwake bungeni. Tuwe makini
Mkuu hivi utajisikiaje kesho au kesho kutwa au wiki zijazo ukasikia Lisu yupo ACT? kwamba umesahau kabisa ya Lowasa? Hivi nyie watu wa chadema akili zenu mlikabidhi kwa mbowe jumla Jumla?Ni kweli kabisa, tumejaribu hata kuvunja kidogo sheria za JF kwa kumtaatifu kuwa ID yake inatambulika ajitahidi kuwaandika ya maana lakini imeshindikana.
Nadhani huyu binti ana tatizo LA kimakuzi au anatabia kama za mdogo wake wa Geita Gold mine aliyeolewa na mwanamke mwenzie mwenye mshiko.
Haaaaa kwahiyo ni kaka mbeya kwa lugha ingineMkuu Kaka Wakudadavua, kwanza naunga mkono hoja, ila duh...!. Kiukweli hii kali!.
Hata hivyo asante Kaka Wakudadavua, kutudadavulia hii, umetupakulia ikiwa ya moto moto, kwa jinsi unavyopata taarifa za ndani za vyama, nakuvulia kofia, Musiba atasubiri!, hongera unafanya kazi nzuri Kaka Wakudadavua. Asante tena. Na kiukweli nakukubali sana...basi tuu, kwa vile wewe ni Kaka, ungekuwa Dada, uvumilivu ungenishinda!.
P