Tetesi: Tundu Lissu kujiunga ACT Wazalendo, Abdul Nondo naye kuula!

Tetesi: Tundu Lissu kujiunga ACT Wazalendo, Abdul Nondo naye kuula!

Status
Not open for further replies.
Mmmmmmmm acha hizo Pascal. Sentensi yako ya mwisho hatareeeeeeeee.
Mkuu Kikiwo, besides everything else, we are all human, we have human needs, human strengths and weaknesses, sentence yangu ya mwisho ni moja ya weaknesses zangu.
P
 
Inawezekana ni Kweli Kwanini Lisu Kakataa Kurudi Tarehe 7 -09 - 2019 akaongeza gia angani ( kaongeza siku mbele ) ni baada wiki moja mbele tukamsikia zitto kwamba alienda juzi juzi kumtemberea hospitalin atujui walitete nini pia akasema yeye na lisu sio maadui namwisho amemsifia sana na kumponda slaa na wengineo kawaweka kapuni ambao nikama ndio waliwachonganisha kipind yupo chadema sasa leo baada ya siku moja na masaa kaza katokea mtu na habari hii hapo juu anasema tetesi inawezekana ni kweli wakuu
Shida ni ukanda unaitesa CDM
 
Wanasiasa wanafanya siasa kama ajira na njia ya ulaji, badala ya kufanya siasa za kuwasaidia wananchi.

Kwa sasa hatutakiwi tu-give - a - fuvk kuhusu hizi hamahama za wanasiasa bali tuwasubiri kunako sanduku la kura tuu.

Nadhani sauti iko vizuri.[emoji350][emoji344]

Unforgetable
Nashukuru mmeanza kuwaza vyema ,mnajifungua minyororo[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mkuu Kaka Wakudadavua, kwanza naunga mkono hoja, ila duh...!. Kiukweli hii kali!.

Hata hivyo asante Kaka Wakudadavua, kutudadavulia hii, umetupakulia ikiwa ya moto moto, kwa jinsi unavyopata taarifa za ndani za vyama, nakuvulia kofia, Musiba atasubiri!, hongera unafanya kazi nzuri Kaka Wakudadavua. Asante tena. Na kiukweli nakukubali sana...basi tuu, kwa vile wewe ni Kaka, ungekuwa Dada, uvumilivu ungenishinda!.

P
Pascal Mayalla , kuna ukweli ktk tetesi hizi? Kwa namna ulivyozipamba tetesi hizi na kumpa kongole mtoa tetesi ni dhahiri kwamba unaziamini.

Binafsi nakuamini sana Pascal Mayalla, hivyo naomba unisaidie na mm kuziamini tetesi hizi kwa kujibu swali langu kwa sauti kubwa.
 
Tetesi
Mimi nimemlamba wema sepetu.....

Stori huanza kama tetesi mwisho...
 
Ndugu zangu,

Bado ni tetesi lakini hapa JF ni muhimu huu mjadala ukawepo kwa afya ya siasa za nchi.Zitto Kabwe ndiye mwanasiasa pekee aliyemtembelea Tundu Lissu mara tano hospitalini,mara tatu Ubelgiji mara mbili Nairobi.Inasemekana ziara za Ubelgiji zaidi zilijawa na mazungumzo kuhusu hatma ya Lissu kisiasa kwa mazungumzo ya wiki mbili zilizopita kuna uwezekano mkubwa Tundu Lissu akajiunga na ACT Wazalendo ili kuendelea na shughuli za siasa.

Bado haijaeleweka kwanini Lissu anafikiri kuondoka Chadema hizi ndio siasa na mauzauza yake,huenda kuna alama za nyakati zimesomwa.

Zaidi ya hilo kijana Abdul Nondo ambaye miezi michache alitumika na Mbowe ili kufifisha nguvu za Zitto Kigoma sasa rasmi ACT Wazalendo ambapo wakati wowote atapewa majukumu ndani ya chama hicho baada ya kumaliza masomo yake UDSM.

Habari nyingi huanza kama tetesi hapa JF mwishowe hubainika kuwa ni za kweli.
Ukweli ni kwamba lissu ataunga mkono juhudi za kuleta maendeleo atajiunga ccm acha kuota
 
Pascal Mayalla , kuna ukweli ktk tetesi hizi? Kwa namna ulivyozipamba tetesi hizi na kumpa kongole mtoa tetesi ni dhahiri kwamba unaziamini.

Binafsi nakuamini sana Pascal Mayalla, hivyo naomba unisaidie na mm kuziamini tetesi hizi kwa kujibu swali langu kwa sauti kubwa.
Tetesi ndio kisingizio cha kutunga uongo na uzushi humu jf, Tundu Lissu hawezi kujiunga ACT kwa sababu ndani ya Chadema,
Lissu ni fahali, na ndani ya ACT Zitto ni fahali, mafahali wawili hawawezi kukaa zizi moja.

Kuunga kwangu mkono sio kukubali tetesi hizi bali ni kumkubali mtoa mada. Mimi namkubali sana Kaka Wakudadavua na ninaamini kila asemacho.
P
 
Wanasiasa wanafanya siasa kama ajira na njia ya ulaji, badala ya kufanya siasa za kuwasaidia wananchi.

Kwa sasa hatutakiwi tu-give - a - fuvk kuhusu hizi hamahama za wanasiasa bali tuwasubiri kunako sanduku la kura tuu.

Nadhani sauti iko vizuri.[emoji350][emoji344]

Unforgetable
They are opportunity seekers
 
Hakuna hoja, Nyerere aliwahi kuwaambia waandishi wa habari walipomuuliza kuwa "kuna tetesi unataka kumpindua Mwinyi", unajua aliwajibuje? Aliwajibu hivi: Ukisikia tetesi kuwa mimi ndiye baba yako, utakwenda kuandika au kuuliza mama yako? MKUTANO ULIVUNJIKA HAPO HAPO!
Huyu ni public figure, resp-ectable figure, aachane na ushabiki wa JF. She needs to talk sense, not tetesi! Tetesi awaachie "wapuuzi"
Ni kweli kabisa, tumejaribu hata kuvunja kidogo sheria za JF kwa kumtaatifu kuwa ID yake inatambulika ajitahidi kuwaandika ya maana lakini imeshindikana.
Nadhani huyu binti ana tatizo LA kimakuzi au anatabia kama za mdogo wake wa Geita Gold mine aliyeolewa na mwanamke mwenzie mwenye mshiko.
 
Wapo wanaoangaika na upotoshaji wa siasa za ndani ya TZ.wengine wanafikia hata kurubuni kwa kutumia umasikini uliyokithiri kuwachanganya vichwa lakini lengo lao ni kusambaratisha upinzani usiwepo hili au hata ukiwepo uwe flimsy.Watu wa aina hii ni shida
 
Katika Mambo ya kijinga Sana na Kama huu Uzi. Lissu anayokesi mahakamani ya kutetea ubunge wake. Na anafanya hivyo kwa gharama kubwa, pili Lissu anatambua namna chama kimepigania uhai wake Hadi tone la mwisho.

Nasema Lisu hajahama na hawezi CHADEMA labda afukuzwe.

Hii inaweza kuwa propaganda kuhalalisha kufukuzwa kwake bungeni. Tuwe makini
 
Sijui ni nani yule nilimwambia Paskali hana haja ya kusoma Class 101 of Sarcasm Writing!
Mimi niko simple, open, frank, straight, truthful na very transparent na very impartial, siegemei upande wowote, hili la kutoegemea upande, linawatatiza wengi wenye pande zao.
P
 
Katika Mambo ya kijinga Sana na Kama huu Uzi. Lissu anayokesi mahakamani ya kutetea ubunge wake. Na anafanya hivyo kwa gharama kubwa, pili Lissu anatambua namna chama kimepigania uhai wake Hadi tone la mwisho.

Nasema Lisu hajahama na hawezi CHADEMA labda afukuzwe.

Hii inaweza kuwa propaganda kuhalalisha kufukuzwa kwake bungeni. Tuwe makini
Hahaha mkuu mbona roho inakuuma sana?
 
Ni kweli kabisa, tumejaribu hata kuvunja kidogo sheria za JF kwa kumtaatifu kuwa ID yake inatambulika ajitahidi kuwaandika ya maana lakini imeshindikana.
Nadhani huyu binti ana tatizo LA kimakuzi au anatabia kama za mdogo wake wa Geita Gold mine aliyeolewa na mwanamke mwenzie mwenye mshiko.
Mkuu hivi utajisikiaje kesho au kesho kutwa au wiki zijazo ukasikia Lisu yupo ACT? kwamba umesahau kabisa ya Lowasa? Hivi nyie watu wa chadema akili zenu mlikabidhi kwa mbowe jumla Jumla?

Kwanini huwa hamtafakari Lakin?
 
Mkuu Kaka Wakudadavua, kwanza naunga mkono hoja, ila duh...!. Kiukweli hii kali!.

Hata hivyo asante Kaka Wakudadavua, kutudadavulia hii, umetupakulia ikiwa ya moto moto, kwa jinsi unavyopata taarifa za ndani za vyama, nakuvulia kofia, Musiba atasubiri!, hongera unafanya kazi nzuri Kaka Wakudadavua. Asante tena. Na kiukweli nakukubali sana...basi tuu, kwa vile wewe ni Kaka, ungekuwa Dada, uvumilivu ungenishinda!.

P
Haaaaa kwahiyo ni kaka mbeya kwa lugha ingine
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom