Uchaguzi 2020 Tundu Lissu kujizolea zaidi ya kura milioni 16.7, ni za wanavyuo vikuu, graduates na wafanya kazi

Wakajiajiri wao na sie sisi, mbna wanakazana kubanana kweny mfumo, why wasitoke wakajiajiri na wao, unafiki tyuuh mxieeeeew
 
Wakajiajiri wao na sie sisi, mbna wanakazana kubanana kweny mfumo, why wasitoke wakajiajiri na wao, unafiki tyuuh mxieeeeew
Kuna kitu kinaitwa MGAWANO WA KAZI, lazima wengine tuwe wavuvi, wengine wawe wasambazaji, wengine wawe wakulima wengine wawe wanasiasa na wengine wawe walimu na wengine wawe wachimba madini etc etc. Wote hatuwezi kuwa mahali pamoja. Hii nisimple common sense tu!
 
Hakuna kitu km hicho, Mtaala wa Elimu yetu in a msingi wa kuajiriwa na sio kujiajiri, wakitaka wabadili kwanza mfumo wa Elimu then wa pract huko kujiajiri, kwa saivi acha watu wadai ajira bhana aaaah
 
Lingine hilo. L. Board wamewapunguzia fedha ya kujikimu kwa madai Siku za masomo zimepungua. Maamuzi mnayo wenyewe wanafunzi
 
Hakuna kitu km hicho, Mtaala wa Elimu yetu in a msingi wa kuajiriwa na sio kujiajiri, wakitaka wabadili kwanza mfumo wa Elimu then wa pract huko kujiajiri, kwa saivi acha watu wadai ajira bhana aaaah
BADILI YOUR MIND SET! Wacha kusubiri MASS ACTION!
 
Watabadili wangapi? Usikute wee mwenyewe upo ndani ya ajira afu hapa kwa fake ID unashawishi kujiajiri, tuache unafiki bhana khaaaaah
Ndivyo walivyo walioshiba wanadhani kila mtu kavimbiwa dizaizi ya kina Dr Rutengwe.
 
Ndivyo walivyo walioshiba wanadhani kila mtu kavimbiwa dizaizi ya kina Dr Rutengwe.
Wanakera sana tena mnooh, maan hao wanaohimiza kujiajiri ndo kwanza wanakazania kubanana kweny mfumo wa kutumbua life kirahisi, tena kwa kuzidi kuongeza vipindi aaaaah
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…