Uchaguzi 2020 Tundu Lissu kujizolea zaidi ya kura milioni 16.7, ni za wanavyuo vikuu, graduates na wafanya kazi

Uchaguzi 2020 Tundu Lissu kujizolea zaidi ya kura milioni 16.7, ni za wanavyuo vikuu, graduates na wafanya kazi

Keep cool, things are not as under control as you want them to be. Waliompiga Lissu risasi ni wale wale waliomuua Chacha au hujui hilo? Tena ni kwa mashindano haya haya ya kugombea vyeo na nafasi za madaraka ndani ya CHADEMA au hujui hilo pia? Hujasikia kuhusu DHAMANA ya Lissu na wale waliomdhamini au unasema tu kujifurahisha?
Kama unawafahamu mbona haujawaripoti POLICE ili haki itendeke?Unafurahia maumivu aliyoyapitia huyu Mtanzania mwenzetu?Sielewi nini sababu ya chuki hii miongoni mwa Watanzania,je ni kwa ajili ya siasa? Uvyama? Ukanda?

Nauliza haya yote kwa sababu hatukuzoea kuona aina hii ya matukio hapa nchini. Kiongozi kama Mbunge anasahambuliwa kwa mvua za risasi mchana kweupe katika viunga vya Bunge,akiwa kazini katika makazi ya Viongozi,sehemu ambayo 24/7 yanalindwa na Askari, waliotakiwa kumsaidia matibabu(Bunge) wakagoma kumlipia tiba,

Wakazuia mshahara akiwa anatibiwa,baadaye wakamvua ubunge wake na tunasikia tetesi kuwa akirudi nyumbani watamshambulia tena.Haya yanatokea katika Kisiwa cha Amani Duniani,bado kuna wanaoamini kuwa hilo ni sahihi na washabikia maumivu ya Mh.Lissu huku wakiapa kuwa hawezi kuchaguliwa au hastahili kugombea.Kawakosea nini huyu Ndugu?

Ninahisi Mh.Lissu ni Mti wenye Matunda mazuri na hivyo mawe haya ni Ushahidi wake,Watanzania msifanye kosa,kosa ni kuridia kosa.Fanya maamuzi sahihi,Chagua Kiongozi siyo Mtawala.
 
Kama unawafahamu mbona haujawaripoti POLICE ili haki itendeke?Unafurahia maumivu aliyoyapitia huyu Mtanzania mwenzetu?Sielewi nini sababu ya chuki hii miongoni mwa Watanzania,je ni kwa ajili ya siasa? Uvyama? Ukanda?...
I was just saying SOME KNOWN FACTS. Hakuna asiyejua ya Chacha na kuwa Lissu alipigwa risasi kwenye nyumba iliyokuwa au aliyopaswa kuishi humo Chairman Mbowe! Akaiacha na kumwachia Lissu na kupigiwa risasi humo! Wewe huoni hiyo bad, unsatifying and sorrowful coincidence?
 
Yaani kinachofanya nimuelewe Lissu ni kwa sababu ya Sera mbovu ya JPM kuhusu ajira,watu hatueleweki mtaani
 
CCM wanna akili Sana haya Membe huyooo mmemtaka wenyewe.kwa Nini mpaka agombee u rahis kirahis tu.mmh
 
Hakika mambo yanazidi kunoga. Wakati uko upande wa Lissu. Namba pia ziko upande wake. Lissu amejipambanua kuwa mkombozi wa Wanavyuo vikuu, waliomaliza vyuo vikuu na wafanya kazi kwani anania ya dhati ya kuwakomboa makundi haya muhimu ktk taifa letu.

Akitangaza nia ya kugombea Kiti cha urais mwanzoni mwa July 2020 kupitia bendera ya upinzani ameeleza kuwa anatambua maumivu, mateso, umasikini na kero zilizofanywa na serikali ya awamu ya tano. Taarifa zinaonesha kitakwimu kuanzia 2000 hadi 2018 zaidi ya wanafunzi 16.7M wamemaliza vyuo. Hawa ni kundi la wanamabadiliko. Wanaounga mkono sera za maendeleo wanaopenda uhuru na siasa safi...
Ha ha ha ha Amka kumekucha!
 
~ mbona sisi wanafunzi wa chuo kwa she pondamali tunailove sana sisiem mbele kwa mbele
 
Katika kundi ambalo hawapigagi kura ni wanachuo, maana mda wa kura wapo vyuoni na pia walipo jiandikishia wengine mbali.
Wengi wana no za NIDA na kitambulisho chake, sasa cha mpiga kura mziki
 
Kuna jaa wapi mashabiki wa kuzolewa na magari. Wakuu wa wilaya na wakurugenzi wanaamua kuahirisha shughuli za nchi na Rais wanalazimisha watumishi wahudhurie na wanafunzi

october fainali itaongea wala kusiwe na maneno mengi, ni miezi michache tu mbelen! kampeni pia zitaongea
 
mi nawaonea huruma sana team lissu maaana hapa mpaka magu aondoke ndo mnaweza kupata cha kusema, la sivo ajiandae tu kushambuliwa na watu wanaojulikana
 
T
Yaani kinachofanya nimuelewe Lissu ni kwa sababu ya Sera mbovu ya JPM kuhusu ajira,watu hatueleweki mtaani
Tatizo letu Watanzania ni kufikiria "AJIRA" zile za kufanya kazi kwa mtu, lampuni, kiwanda, ofisi nk ya mtumwingine na kungoja mshahara mwisho wa mwezi. Aliyetufundisha hili na kulipanda mioyono mwetu amefanikiwa sana. Hili wazo potofu halibagui - uwe msomi au uwe hukusoma au hata uwe na uelewa wa namna gani kupitia kisomo chako hicho bado utadai na kusema "hakuna ajira, watu hatueleweki mtaani" kama asemavyo Pangamalasy! Jamani ajira zipo ni suala la kujipanga na kuamua - nenda kauze mchicha, nyanya au ingia shamba ulime hata kanusu ekari. Hizo ndiyo ajira asemazo JPM.
 
Back
Top Bottom