TUMI EPAFRA
Member
- Jul 12, 2020
- 59
- 56
Unajua sana, wale wanao muunga mkono Tundu.Labda wanafunzi wa Lumumba sio wa vyuo vikuu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unajua sana, wale wanao muunga mkono Tundu.Labda wanafunzi wa Lumumba sio wa vyuo vikuu.
Kama unawafahamu mbona haujawaripoti POLICE ili haki itendeke?Unafurahia maumivu aliyoyapitia huyu Mtanzania mwenzetu?Sielewi nini sababu ya chuki hii miongoni mwa Watanzania,je ni kwa ajili ya siasa? Uvyama? Ukanda?Keep cool, things are not as under control as you want them to be. Waliompiga Lissu risasi ni wale wale waliomuua Chacha au hujui hilo? Tena ni kwa mashindano haya haya ya kugombea vyeo na nafasi za madaraka ndani ya CHADEMA au hujui hilo pia? Hujasikia kuhusu DHAMANA ya Lissu na wale waliomdhamini au unasema tu kujifurahisha?
I was just saying SOME KNOWN FACTS. Hakuna asiyejua ya Chacha na kuwa Lissu alipigwa risasi kwenye nyumba iliyokuwa au aliyopaswa kuishi humo Chairman Mbowe! Akaiacha na kumwachia Lissu na kupigiwa risasi humo! Wewe huoni hiyo bad, unsatifying and sorrowful coincidence?Kama unawafahamu mbona haujawaripoti POLICE ili haki itendeke?Unafurahia maumivu aliyoyapitia huyu Mtanzania mwenzetu?Sielewi nini sababu ya chuki hii miongoni mwa Watanzania,je ni kwa ajili ya siasa? Uvyama? Ukanda?...
Pole sio makosa yako..Kweli ni wehu, ndiyo maana wanaona Tundu ana sifa za urais.
- Kimwili ni sawa lakini mioyoni wanafahamu ukweli,kuwa Mh.Lissu ndiye Mkombozi wa Watanzania wengi wazalendo.Wengi wanajizuia kwa hofu waliyojazwa na watawala.
Ha ha ha ha Amka kumekucha!Hakika mambo yanazidi kunoga. Wakati uko upande wa Lissu. Namba pia ziko upande wake. Lissu amejipambanua kuwa mkombozi wa Wanavyuo vikuu, waliomaliza vyuo vikuu na wafanya kazi kwani anania ya dhati ya kuwakomboa makundi haya muhimu ktk taifa letu.
Akitangaza nia ya kugombea Kiti cha urais mwanzoni mwa July 2020 kupitia bendera ya upinzani ameeleza kuwa anatambua maumivu, mateso, umasikini na kero zilizofanywa na serikali ya awamu ya tano. Taarifa zinaonesha kitakwimu kuanzia 2000 hadi 2018 zaidi ya wanafunzi 16.7M wamemaliza vyuo. Hawa ni kundi la wanamabadiliko. Wanaounga mkono sera za maendeleo wanaopenda uhuru na siasa safi...
Utaishia hivyo hivyo. TumejipangaHa ha ha ha Amka kumekucha!
Jpm kafeli sana. Suluhisho ni Tundu Lissu tu.Yaani kinachofanya nimuelewe Lissu ni kwa sababu ya Sera mbovu ya JPM kuhusu ajira,watu hatueleweki mtaani
Kuna jaa wapi mashabiki wa kuzolewa na magari. Wakuu wa wilaya na wakurugenzi wanaamua kuahirisha shughuli za nchi na Rais wanalazimisha watumishi wahudhurie na wanafunzi
mkuu usianze kuniuliza maswali ya kichokozi mm sijasema wewe mjinga nimesema umeandika kitu cha kijinga,,Rejea comment yanguMaana ya mtu mjinga ni nini?
Sio makosa kumuona Tundu Lissu ni mpuuzi mjinga flani, muongo muuza nchi, kweli unajuaPole sio makosa yako..
Sio akili zako hizi ni bangi mbichi + Gongo kaliii..Sio makosa kumuona Tundu Lissu ni mpuuzi mjinga flani, muongo muuza nchi, kweli unajua
Unazungumzia enzi za ujimaMwenyekiti wake Mbowe alipata laki 8
Sasa gawa kwa 2!
Tatizo letu Watanzania ni kufikiria "AJIRA" zile za kufanya kazi kwa mtu, lampuni, kiwanda, ofisi nk ya mtumwingine na kungoja mshahara mwisho wa mwezi. Aliyetufundisha hili na kulipanda mioyono mwetu amefanikiwa sana. Hili wazo potofu halibagui - uwe msomi au uwe hukusoma au hata uwe na uelewa wa namna gani kupitia kisomo chako hicho bado utadai na kusema "hakuna ajira, watu hatueleweki mtaani" kama asemavyo Pangamalasy! Jamani ajira zipo ni suala la kujipanga na kuamua - nenda kauze mchicha, nyanya au ingia shamba ulime hata kanusu ekari. Hizo ndiyo ajira asemazo JPM.Yaani kinachofanya nimuelewe Lissu ni kwa sababu ya Sera mbovu ya JPM kuhusu ajira,watu hatueleweki mtaani