Uchaguzi 2020 Tundu Lissu kujizolea zaidi ya kura milioni 16.7, ni za wanavyuo vikuu, graduates na wafanya kazi

Wewe ndo upimwe akili mkuu!! Nani kamjari mnyonge zaidi ya JPM hata upinzani mnajua hilo,

ubabe, jeuri na ukatili ni kwa wale wasiolitakia mema taifa wahujumu wa nchi na wasio tii sheria za nchi!!

Namwamini sana huyu jamaa JPM
Kama unamuamini mpe mkeo!
 
Wanacuo maneno meni hawpagi kura wanaletaga usharobaro hawataki kuchomwa jua
 
Lissu atakuwa ni Rais bora!! Watanzania hima himaaa...!!
 
Mnafeli kabisaa!!

Narudia tena "hii ni nchi mkuu sio genge la wahuni au wavuta bangi" kwa hali hii ikulu mtabaki kuisikia tu!!!
 
Tume,tume,tume,NEC,ZEC,POLISI,MAGEREZA na KITENGO,nadhani nimeeleweka
 
Katika hao 16.7mil watoe akina Lumumba. Buku7, waunga mkono juhudi akina lijuakali na Nasari and co waitara, Polepole, Gambo, Hapi,Makonda na magenge yao, wanaobaki ni hawazidi hata 2k ndo labda wanaweza mpigia Lissu
 
Kunashida moja kuwa wanafunzi wengi huwa hawapigia kura kwani unakuta wakati wa kupiga kura wanakuwa eneo ambalo hawakujiandikishia.Jre mwaka huu hali itakuwaje?

 
Vijana w

Nyinyi vijana najua mnapenda chama chenu cha CCM na wala sio kosa. Lakini ni kosa kumrudisha mtu madarakani akakufanyia umafia ule ule kwa mars ya pili. Endeleeni na chama chenu lakini Kura mpeni Tundu Lissu.
Me Sina chama Ila siwezi mrudisha mtu aliye nipa shida.
 
Yeyote atakayeipigia kura CCM baada ya madhila yote, ubabe, jeuri, ukatili, propaganda, kutojali kwa miaka yote hii mitano kwa kweli akapimwe akili
Vivyo hivyo yoyote atakaye unga mkono wezi wa mali za umma na mafisadi eti wasimame kama wagombea kwenye nafasi nyeti kama Urais naye aende Muhimbili idara ya vichaa au Mirembe Govt. Hospital, Dodoma akapimwe akili.
 
Hapo mwisho ndio umeharibu
 
Hesabu hizi ni kama kilimo cha kwenye mtando, eti unawekeza laki saba kwenye eka ya matikiti baadae unavuna na kuuza unapata milioni 20
 

Na hiyo ndio pona yenu bila hivyo ni gharika
 
Mmmmh bila mbinu mbadala ktk machakato mzima wa uchaguzi, sidhani km inaweza kutokea mabadiliko, lazima tubadilishe mbinu kuutoa utawala wa udhalimu.
 
labda kura utampa wewe na rafiki zako lakini wasomi na wenye akili tutampa kura zote JPM haiingii akilini kumpa nchi msaliti wa nchi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…