Francis12
JF-Expert Member
- Sep 30, 2016
- 7,533
- 22,281
Siku Moja kabla ya kumkamata Freeman Mbowe nilipigiwa simu na Ikulu Ila nilikuwa safarini, kesho yake Usiku ndiyo wakamkatama Mbowe
Tumefanya juhudi kubwa sana kujaribu na Mama Samia lakini amekuwa anakwepa kwepa mazungumzo kwa muda mrefu.
Kuna watu ndani ya Serikali ambao awataki kuwe na mazungumzo kati ya serikali na chadema , Mbowe amekamatwa siku moja baada ya Lissu kupata simu kutoka Ikulu kuandaa mazungumzo
Hii kukamatwa Mbowe ni juhudi ya watu kwenye vyombo vya dola
- Tundu Lissu via #MariaSpaces