Tundu Lissu: Kukamatwa Mbowe ni juhudi ya watu kwenye vyombo vya dola

Tundu Lissu: Kukamatwa Mbowe ni juhudi ya watu kwenye vyombo vya dola

🤣🤣
Lissu na propaganda za "KIPOPOMA" kweli ha ha ha

Siasa nyepesi sana.

Nani ana ushahidi kuwa alipigiwa simu na watu wa ikulu?

Hayo yanaweza kuaminishwa na yeyote Yule.

#KaziIendelee
#SerikaliMbiliMilele
Wakati marehemu Mwendazake aliposema tupige nyungu na maombi corona itatokomea - chanjo marufuku..ukashangilia...oyeeeee!!!

Mwendazake corona ikampitia maskini ....tumeshamsahau..

Haya kaja Samia anasema chanjo muhimu na watu wafuate vigezo vyote vya WHO - wewe tena Oyeeeeee mazaaaa!!

Sasa POPOMA ni nani hapo.
 
Kama una muda sikiliza hii clip yote

..Asante.

..Nimesikiliza maelezo / utetezi wa Lissu.

..Nadhani Chadema waendelee kutafuta dialogue na Raisi pamoja na kwamba mwenyekiti wa chama yuko kizuizini.

NB:

..Inasikitisha sana kusikia kuhusu wanachama wa Chadema na Mashekhe waliolundikwa magerezani.
 
Fatma is a very Genius lawyer, inawezekana anachoongea ni UKWELI kabisa, yaani kuna probability kubwa kuwa UGAIDI wa Mbowe ni ready made na deep state ili kuwasilence wakosoaji ambao wanataka kusababisha po;itical instability katika Nchi yetu. Mbowe was very rude siku anaongea na media huko Mwanza akiamini kuwa he is operating under the rule of law while he was under the rule of rulers . Wakili Mwandamizi na Rasi mstaafu wa TLS ameweka examination in chief kwa Senior mwenzake kuhusu mambo yanayoendelea Nchini katika ulimwengu wa Kisiasa.
Ni kweli kuwa Katiba yetu ibara ya 20 inaruhusu uhuru wa kukutana bila kuomba ridhaa -freedom of association na kwa mujibu wa sheria zetu hakuna mahali pameandikwa kuwa tukitana kukukutana kwa ajili ya vikao vyetu vya harusi tuombe kibali; bila kujali ni kuwa ni wanasiasa wanakutana au ni business community; Issue ya Mwanza ilikuwa ni halali KISHERIA na KIKATIBA isipokuwa sijui analyst wa Kisiasa wao waliona nini.
Itakuwa ni bahati mbaya kama kuna watu wanataka kuwagombanisha wanasiasa nchini mwetu. Kiuhalisia sio sifa njema kusikia kuna Mtanzania mwenzetu ambaye ama anapanga UGAIDI au mauaji ya viongozi wa kiserikali kama Polisi walivyosema; hili linatakiwa kuangaliwa kwa sura za Kisiasa, Kidiplomasia au Kimataifa;
VITA ya UGAIDI is an international issue which is fought collectively irrespective of our national boundary

Kwa mfano,hivi nani aliyeMteka Mo?
Nani ametoa ushauri wa kumfungulia Mbowe Ugaidi?

Heri wapatananishi maana hao wataitwa wana wa MUNGU Mathayo 5:9

CIA Mwinyi.jpg
 
Busara ya namna gani kwa mtu aliyeponea tundu la sindano kuawa ikulu hiyo hiyo ikiwepo na haikumsaidia?
Na zaidi sana tuhuma zikielekezwa huko huko?
Pili, mwenyekiti na mshirika wake katika mapambano amekamatwa na kufunguliwa mashtaka yenye utata.
Kwa mtu wa hali hiyo ni lazima atumie mbinu zote kupiga kelele.
Tunategemea busara za kondoo tu ndizo zitaelekeza kuwa na subra katika hali kama hiyo.
Ngoja tuone kama ubazazi una tija!!
 
Ni yeye....

Yeye Rais Msikivu mh.SSH aliyesema haya:

✓Kesi zisizokuwa na msingi ziharakishwe mchakato wake....

Hapa tukaona yafuatayo:

1)Uamsho nje....

Ni baada ya miaka takribani 9 toka walipokamatwa wakati wa utawala wa awamu ya 4...awamu ya 5 ikapita.....

2)Mh.Mbowe kushinda shauri lake na kurudishiwa milioni 300 za "michango".........

3)Kabendera nje......

4)Mdude Nyagali nje....(alipotoka tu akamnyooshea mh.SSH kidole cha hasama )kwa kutuambia sisi vijana tumuambie mama yetu hamuogopi na ATAMNYOA KWA KUTUMIA WEMBE ULEULE aliomnyolea HAYATI JPM...hapa panatafakarisha mno....utasema ni siasa tu 🤣🤣

Cha kushangaza wala HAKUKATIZWA NA KUKEMEWA na MEZA KUU akiwemo mwenyekiti mh.Mbowe......

Timing yenu haikuwa nzuri....

#KatibaMpyaSiHitajiLaWatanzaniaWote
Hawa akina CDM, Mbowe na Lissu hawana hekima kabisa. Tuliwaunga mkono wakati wa udhalimu wa Mwendazake. Ila kwa madharau waliyoyaonyesha kwa Rais SSH HATUWAUNGI mkono kabisa.

Na hata miaka 100 ijayo kama CDM haitabadili strategy yake kisiasa hawatakuja kupata uongozi wa nchi hii
 
Hakika mkuu....

Waendelee KUUFUKUZA UPEPO
 
[emoji1787][emoji1787]
Lissu na propaganda za "KIPOPOMA" kweli ha ha ha

Siasa nyepesi sana.

Nani ana ushahidi kuwa alipigiwa simu na watu wa ikulu?

Hayo yanaweza kuaminishwa na yeyote Yule.

#KaziIendelee
#SerikaliMbiliMilele

ushabiki maandazi izi akili zinapatikana ccm hasa hasa mataga
 
🤣🤣
Lissu na propaganda za "KIPOPOMA" kweli ha ha ha

Siasa nyepesi sana.

Nani ana ushahidi kuwa alipigiwa simu na watu wa ikulu?

Hayo yanaweza kuaminishwa na yeyote Yule.

#KaziIendelee
#SerikaliMbiliMilele
Ikulu ndo wanaushahidi. Ukiona wapo kimya uje walimpigia. Lkn pi popoma Kama wewe usijifananishe na lissu. Serikali inajua Kuna mtu anaitwa lisu yupo nje ya Nchi. Wewe je wanajua hata unaishi wapi?
 
-“Kuna watu ndani ya Serekali, siyo CCM - CCM died a while back. Kuna watu ndani ya system hawataki mama awe na discussion na CHADEMA. I am not saying this to exonerate her, it’s her choice” - @TunduALissu #MariaSpaces
 
Ikulu ndo wanaushahidi. Ukiona wapo kimya uje walimpigia. Lkn pi popoma Kama wewe usijifananishe na lissu. Serikali inajua Kuna mtu anaitwa lisu yupo nje ya Nchi. Wewe je wanajua hata unaishi wapi?
A word
 
Back
Top Bottom