ApedomiaSiasa siku hizi ina sura mpya.Ni uwanja wa maslahi.Ni kuwindana na kushughulikiana utadhani ni ule uhayawani wa kule porini
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ApedomiaSiasa siku hizi ina sura mpya.Ni uwanja wa maslahi.Ni kuwindana na kushughulikiana utadhani ni ule uhayawani wa kule porini
🤣🤣
Lissu na propaganda za "KIPOPOMA" kweli ha ha ha
Siasa nyepesi sana.
Nani ana ushahidi kuwa alipigiwa simu na watu wa ikulu?
Hayo yanaweza kuaminishwa na yeyote Yule.
#KaziIendelee
#SerikaliMbiliMilele
Sasa kama tuna Rais wa hivyo wa kazi gani? tusitafute mchawi na huruma ambazo hazina maana, mhusika ni serikali chini ya Samia .inamaana mwenye mamlaka anashindwa kufanya mazungumzo kwakuwa kikundi flani hakitaki..? mkuu kauli zingine hazihitaji upeo mkubwa kutambua kama ina uhalisia au lah
#OwnYourThrone
..hata Trump ambaye ni Republican pamoja na ukorofi wake wote bado alikuwa akikutana na viongozi wa chama cha Democrat.
..hata Rais Joe Biden amekutana na Republicans mara kadhaa ktk juhudi za kutafuta muafaka kuhusu miradi ya miundombinu Marekani.
..Wenzetu huwa hawafanyi mambo makubwa ya kitaifa bila kutafuta MARIDHIANO.
Huku njaaaaaaaa kaliiiiiii..Ikulu wanaweza kukanusha kuwa hawakumpigia simu.
..Ikulu ina msemaji wake hivyo haitakiwi kukaa kimya na kuchafuliwa na wanasiasa wa upinzani.
..Kwa upande mwingine hakuna ubaya Rais SSH kufanya mazungumzo na vyama vya upinzani.
..Kwenye nchi za wenzetu, haswa zilizoendelea, viongozi wa serikali hukutana mara kwa mara na viongozi wa vyama vya upinzani kama njia ya kubadilishana mawazo.
..Tanzania tunakosea sana kuchukulia siasa kana kwamba ni UADUI.
Pumbavu hawa serikali iwe na mazungumzo na chadema ya kazi gani. Hawa vibaraka wamekua indocrinated na mabeberu to such extent wanajiona kama wao ni anc na serikali ya ccm ni makaburu. Yaani kitu kinastaajabisha. Watanzania tunahitaji kuwatupa lupango vibaraka na kuendelea na mipango yetu ya maendeleo yetu kiuchumi."Siku Moja kabla ya kumkamata Freeman Mbowe nilipigiwa simu na Ikulu Ila nilikuwa safarini, kesho yake Usiku ndiyo wakamkatama Mbowe
Tumefanya juhudi kubwa sana kujaribu na Mama Samia lakini amekuwa anakwepa kwepa mazungumzo kwa muda mrefu." @TunduALissu via #MariaSpaces
"Kuna watu ndani ya Serikali ambao awataki kuwe na mazungumzo kati ya serikali na chadema , Mbowe amekamatwa siku moja baada ya Lissu kupata simu kutoka Ikulu kuandaa mazungumzo
Hii kukamatwa Mbowe ni juhudi ya watu kwenye vyombo vya dola" Tundu Lissu via #MariaSpaces
Wajinga kweli. Awe na mazungumzo na chadema kukubali ushoga?-“Kuna watu ndani ya Serekali, siyo CCM - CCM died a while back. Kuna watu ndani ya system hawataki mama awe na discussion na CHADEMA. I am not saying this to exonerate her, it’s her choice” - @TunduALissu #MariaSpaces
Hilo junya linajifanya linaijua sana CCM,kumbe njaa tu na kale kamchezo kachafu ndiyo vinamsumbua.Lissu siyo size yako mjomba. Mengine huwa twapita kimya kimya pale kama maji ni marefu.
Au nasema uongo ndugu yangu?
Hilo liko wazi mkuu.....Lissu siyo size yako mjomba. Mengine huwa twapita kimya kimya pale kama maji ni marefu.
Au nasema uongo ndugu yangu?
Hata magufuli alipokaza kuumwa alikuwa mtu wa kwaza kujua na alipigiwa sm na watu wa ikulu haohao[emoji1787][emoji1787]
Lissu na propaganda za "KIPOPOMA" kweli ha ha ha
Siasa nyepesi sana.
Nani ana ushahidi kuwa alipigiwa simu na watu wa ikulu?
Hayo yanaweza kuaminishwa na yeyote Yule.
#KaziIendelee
#SerikaliMbiliMilele
Kwani kila shtaka linalopelekwa mahakamani na likatolewa hukumu husababisha AIBU kwa mshtaki?!!!!Vyovyote vile ilivyo kama hakutakuwa na ushahidi wa kutosha kuthibitisha ugaidi wa Mbowe basi Rais Samia ataingia kwenye aibu mbele ya jamii za kimataifa.
Itamuachia madoa, hata watanzania wanaopenda haki hawatofurahishwa na hili, mimi ni miongoni mwao, ni mapema bado tuache mahakama ifanye kazi yake.
Hilo liko wazi mkuu.....
Ila haliondoi naye kukosolewa Kama anavyowakosoa wa chini yake na waliomzidi maarifa,uwezo,vyeo na umaarufu.....!!
#UtiiWaUtawalaWaSheriaNiLazima
#KaziIendelee
Kwani kila shtaka linalopelekwa mahakamani na likatolewa hukumu husababisha AIBU kwa mshtaki?!!!!
Maamuzi ya mahakama hupokelewa KIUHALISIA TU.....
Na ndio maana wasioridhika hukata RUFAA......
#UtawalaWaSheriaNiLazimaKuutii
inamaana mwenye mamlaka anashindwa kufanya mazungumzo kwakuwa kikundi flani hakitaki..? mkuu kauli zingine hazihitaji upeo mkubwa kutambua kama ina uhalisia au lah
#OwnYourThrone
Awamu ya 6 ilianza kuziondoa changamoto kadhaa ambazo zimekuwa zikipigiwa makelele,mathalani :Utawala wa sheria zipi unaotenda au uliotenda haki baina ya ule wa enzi za jiwe na huu wa sasa?
Kama ule haukuwa ukitenda haki ni kwa nini huu uwe ndiyo unaotenda haki?
Kama ule ulikuwa hautendi haki, kwa nini huu nao usiwe kama ule ule?
Sasa kama tuna Rais wa hivyo wa kazi gani? tusitafute mchawi na huruma ambazo hazina maana, mhusika ni serikali chini ya Samia .
Huyu mama alipokuwa makamu aliburuzwa na sasa ni Rais pia anaburuzwa ! aliyatakia nini madaraka huyu , au ndio maana Sukuma gang hawakutaka awe kiongozi ?-“Kuna watu ndani ya Serekali, siyo CCM - CCM died a while back. Kuna watu ndani ya system hawataki mama awe na discussion na CHADEMA. I am not saying this to exonerate her, it’s her choice” - @TunduALissu #MariaSpaces