Sijui kama umeelewa ujumbe vizuriSamia kanyaga mafuta tu. Mbona kwa sabaya hatukuamdamana na hao nyumbu walifurahi kuwa vyombo vya dola vipo huru
Watulie dawa iingie kotekote
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sijui kama umeelewa ujumbe vizuriSamia kanyaga mafuta tu. Mbona kwa sabaya hatukuamdamana na hao nyumbu walifurahi kuwa vyombo vya dola vipo huru
Watulie dawa iingie kotekote
Kuna fumbo hapa kwamba si CCM tena inatawala!
Nguvu ya ccm imo kwenye amirijeshi mkuu tu kupitia vyombo vya dola.
Ni nani katika historia ya Tanganyika na Tanzania aliyewahi kujaribu kuwa juu ya amirijeshi mkuu akawa salama?
Ukifanikiwa kumchonganisha rais na vyombo vya dola umefanikiwa kuiua ccm... Ngoja tuone huu mtanange
View attachment 1875763
Pumbavu hawa serikali iwe na mazungumzo na chadema ya kazi gani. Hawa vibaraka wamekua indocrinated na mabeberu to such extent wanajiona kama wao ni anc na serikali ya ccm ni makaburu. Yaani kitu kinastaajabisha. Watanzania tunahitaji kuwatupa lupango vibaraka na kuendelea na mipango yetu ya maendeleo kiuchumi."Siku Moja kabla ya kumkamata Freeman Mbowe nilipigiwa simu na Ikulu Ila nilikuwa safarini, kesho yake Usiku ndiyo wakamkatama Mbowe
Tumefanya juhudi kubwa sana kujaribu na Mama Samia lakini amekuwa anakwepa kwepa mazungumzo kwa muda mrefu." @TunduALissu via #MariaSpaces
"Kuna watu ndani ya Serikali ambao awataki kuwe na mazungumzo kati ya serikali na chadema , Mbowe amekamatwa siku moja baada ya Lissu kupata simu kutoka Ikulu kuandaa mazungumzo
Hii kukamatwa Mbowe ni juhudi ya watu kwenye vyombo vya dola" Tundu Lissu via #MariaSpaces
Mno Komredi....Inashangaza
Uhai wa ccm kwa sasa hauko mikononi mwa wananchi tena uko mikononi mwa vijana wa SirroUrais wa Tanzania una hang sana. Cc Jpm. Yuko wapi?
Mkuu unatafuta maridhiano pale ambapo unafanya kazi ya kuwatumikia watu lakini kama cheo ni mradi wako wa kukusanyia utajiri utaridhiana vipi?..hata Trump ambaye ni Republican pamoja na ukorofi wake wote bado alikuwa akikutana na viongozi wa chama cha Democrat.
..hata Rais Joe Biden amekutana na Republicans mara kadhaa ktk juhudi za kutafuta muafaka kuhusu miradi ya miundombinu Marekani.
..Wenzetu huwa hawafanyi mambo makubwa ya kitaifa bila kutafuta MARIDHIANO.
Na ww umeingia box.....“Tuko kama Russia, Belarus na Venezuela - wanavyofanyia viongozi wa Upinzani nchini kwao. Mambo anayofanyiwa Freeman Mbowe ndo kama hao viongozi wa upinzani hizo nch, tuna tabia za nchi zinazofanya mambo ya ajabu”- @ThabitSenior via #MariaSpaces
"Siku Moja kabla ya kumkamata Freeman Mbowe nilipigiwa simu na Ikulu Ila nilikuwa safarini, kesho yake Usiku ndiyo wakamkatama Mbowe
Tumefanya juhudi kubwa sana kujaribu na Mama Samia lakini amekuwa anakwepa kwepa mazungumzo kwa muda mrefu." @TunduALissu via #MariaSpaces
"Kuna watu ndani ya Serikali ambao awataki kuwe na mazungumzo kati ya serikali na chadema , Mbowe amekamatwa siku moja baada ya Lissu kupata simu kutoka Ikulu kuandaa mazungumzo
Hii kukamatwa Mbowe ni juhudi ya watu kwenye vyombo vya dola" Tundu Lissu via #MariaSpaces
Tambua kuwa hata aina ya upinzan ulioko huko ni tofauti pia. Kwanza, uchaguzi ukimalizka serikali huachwa ifanye kazi na upinzani huonekana bungeni ambako matamko na maamuzi yao huwa na nguvu kisheria na sio mtaani kufanya matamko makongamano na vitisho vya maandamano....hata Trump ambaye ni Republican pamoja na ukorofi wake wote bado alikuwa akikutana na viongozi wa chama cha Democrat.
..hata Rais Joe Biden amekutana na Republicans mara kadhaa ktk juhudi za kutafuta muafaka kuhusu miradi ya miundombinu Marekani.
..Wenzetu huwa hawafanyi mambo makubwa ya kitaifa bila kutafuta MARIDHIANO.
Hivyo vyombo seriklini viko chini ya Samia, akitoa amri wanaufyata. Hivyo hayaya Mbowe et al, ni machukizo toka kwa Samia per se. Naanza kuona mashaka ya Sabaya kama haitakuwa gheresha ya Samia kwa lengo la kuonesha neutrality ! BAKHii kukamatwa Mbowe ni juhudi ya watu kwenye vyombo vya dola" Tundu Lissu via #MariaSpaces
[emoji1787][emoji1787]
Lissu na propaganda za "KIPOPOMA" kweli ha ha ha
Siasa nyepesi sana....
Nani ana ushahidi kuwa alipigiwa simu na watu wa ikulu?!!!
Hayo yanaweza kuaminishwa na yeyote Yule....
#KaziIendelee
#SerikaliMbiliMilele
Jumbe[emoji1787][emoji1787]
Lissu na propaganda za "KIPOPOMA" kweli ha ha ha
Siasa nyepesi sana....
Nani ana ushahidi kuwa alipigiwa simu na watu wa ikulu?!!!
Hayo yanaweza kuaminishwa na yeyote Yule....
#KaziIendelee
#SerikaliMbiliMilele
Vyovyote vile ilivyo kama hakutakuwa na ushahidi wa kutosha kuthibitisha ugaidi wa Mbowe basi Rais Samia ataingia kwenye aibu mbele ya jamii za kimataifa.[emoji1787][emoji1787]
Lissu na propaganda za "KIPOPOMA" kweli ha ha ha
Siasa nyepesi sana....
Nani ana ushahidi kuwa alipigiwa simu na watu wa ikulu?!!!
Hayo yanaweza kuaminishwa na yeyote Yule....
#KaziIendelee
#SerikaliMbiliMilele
Hilo boflo nalifahamu toto la watu hilo.Hivi we taga unajipaga hata muda wa kuyafikili unayoyandikaga au unaropokaga tu bila kufikilia?
Tundu Lissu anaweza kuwa ana akili za uchambuzi wa Sheria, lakini hana busara. Kama anaweka wazi mawasiliano yake na Ikulu namna hii asitegemee kuja kupata suluhisho la matakwa yake. Nimemdharau kwa kuwa ana deal na Ikulu kama anavyo deal na BAVICHASiku Moja kabla ya kumkamata Freeman Mbowe nilipigiwa simu na Ikulu Ila nilikuwa safarini, kesho yake Usiku ndiyo wakamkatama Mbowe
Tumefanya juhudi kubwa sana kujaribu na Mama Samia lakini amekuwa anakwepa kwepa mazungumzo kwa muda mrefu.
Kuna watu ndani ya Serikali ambao awataki kuwe na mazungumzo kati ya serikali na chadema , Mbowe amekamatwa siku moja baada ya Lissu kupata simu kutoka Ikulu kuandaa mazungumzo
Hii kukamatwa Mbowe ni juhudi ya watu kwenye vyombo vya dola
- Tundu Lissu via #MariaSpaces
u named it. Sirro na Diwani plus few of Mabeyo. Siku hawa wakihitilafiana nchi itakuwa ya motoUhai wa ccm kwa sasa hauko mikononi mwa wananchi tena uko mikononi mwa vijana wa Sirro
Ulishawahi kumheshimu kwani? Lini na wapi?Tundu Lissu anaweza kuwa ana akili za uchambuzi wa Sheria, lakini hana busara. Kama anaweka wazi mawasiliano yake na Ikulu namna hii asitegemee kuja kupata suluhisho la matakwa yake. Nimemdharau kwa kuwa ana deal na Ikulu kama anavyo deal na BAVICHA