He ended up dying himselfMagufuli tried that with all efforts for 5 years
Hivi we taga unajipaga hata muda wa kuyafikili unayoyandikaga au unaropokaga tu bila kufikilia?🤣🤣
Lissu na propaganda za "KIPOPOMA" kweli ha ha ha
Siasa nyepesi sana....
Nani ana ushahidi kuwa alipigiwa simu na watu wa ikulu?!!!
Hayo yanaweza kuaminishwa na yeyote Yule....
#KaziIendelee
#SerikaliMbiliMilele
Relax mkuu....🤣Hivi we taga unajipaga hata muda wa kuyafikili unayoyandikaga au unaropokaga tu bila kufikilia?
Wewe ni Mpumbafu Bora kuwahi kutokea kusini mwa jangwa la saharaRelax mkuu....🤣
Mahakama ndiyo yenye kusikiliza shtaka la mh.Mbowe....unataka rais aingilie kati?!!!
#KaziInaendelea
🤣🤣
Lissu na propaganda za "KIPOPOMA" kweli ha ha ha
Siasa nyepesi sana....
Nani ana ushahidi kuwa alipigiwa simu na watu wa ikulu?!!!
Hayo yanaweza kuaminishwa na yeyote Yule....
#KaziIendelee
#SerikaliMbiliMilele
Tanzania hatufanyi siasa...Ikulu wanaweza kukanusha kuwa hawakumpigia simu.
..Ikulu ina msemaji wake hivyo haitakiwi kukaa kimya na kuchafuliwa na wanasiasa wa upinzani.
..Kwa upande mwingine hakuna ubaya Rais SSH kufanya mazungumzo na vyama vya upinzani.
..Kwenye nchi za wenzetu, haswa zilizoendelea, viongozi wa serikali hukutana mara kwa mara na viongozi wa vyama vya upinzani kama njia ya kubadilishana mawazo.
..Tanzania tunakosea sana kuchukulia siasa kana kwamba ni UADUI.
🤣🤣Wewe ni Mpumbafu Bora kuwahi kutokea kusini mwa jangwa la sahala
Tanzania hatufanyi siasa.
Viongozi wako kwenye miradi yao ya kupata utajiri wa bure kwa jasho la watanzania.
Mama asipokuwa makini hicho kiti 2025 hafiki"Siku Moja kabla ya kumkamata Freeman Mbowe nilipigiwa simu na Ikulu Ila nilikuwa safarini, kesho yake Usiku ndiyo wakamkatama Mbowe
Tumefanya juhudi kubwa sana kujaribu na Mama Samia lakini amekuwa anakwepa kwepa mazungumzo kwa muda mrefu." @TunduALissu via #MariaSpaces
"Kuna watu ndani ya Serikali ambao awataki kuwe na mazungumzo kati ya serikali na chadema , Mbowe amekamatwa siku moja baada ya Lissu kupata simu kutoka Ikulu kuandaa mazungumzo
Hii kukamatwa Mbowe ni juhudi ya watu kwenye vyombo vya dola" Tundu Lissu via #MariaSpaces
Ni sahihi yaani hapa mtandao sisi ndio tunatokwa mapovu kuparuana lakini wenyewe wanakula maisha hawana Uvccm Vs Bavicha habari na watanzaniaTanzania hatufanyi siasa.
Viongozi wako kwenye miradi yao ya kupata utajiri wa bure kwa jasho la watanzania.
Inashangaza🤣🤣
Lissu na propaganda za "KIPOPOMA" kweli ha ha ha
Siasa nyepesi sana....
Nani ana ushahidi kuwa alipigiwa simu na watu wa ikulu?!!!
Hayo yanaweza kuaminishwa na yeyote Yule....
#KaziIendelee
#SerikaliMbiliMilele
Kuna fumbo hapa kwamba si CCM tena inatawala!-“Kuna watu ndani ya Serekali, siyo CCM - CCM died a while back. Kuna watu ndani ya system hawataki mama awe na discussion na CHADEMA. I am not saying this to exonerate her, it’s her choice” - @TunduALissu #MariaSpaces