Tundu Lissu: Kukamatwa Mbowe ni juhudi ya watu kwenye vyombo vya dola

Huyu mama alipokuwa makamu aliburuzwa na sasa ni Rais pia anaburuzwa ! aliyatakia nini madaraka huyu , au ndio maana Sukuma gang hawakutaka awe kiongozi ?
Kwa hiyo kila wasemacho akina Maria Tsehai et Al ni cha KWELI ?!!

Nani wa kumburuza mh.Rais SSH?!!
Yupi huyo ?!!!

Mh.Rais ana washauri wa kisiasa....wanapomueleza jambo HAWAMLAZIMISHI...kwa hiyo akiamua kufuata USHAURI WAO kwa muktadha mpana wa maslahi ya nchi ndiyo KUWAOGOPA?!! Ndio KUBURUZWA?!! Khaa 🤣🤣
 
upo ushahidi wazi wa kuburuzwa
 

1. Tunakubaliana hapa awamu ya tano ilikuwa na ukiukwaji mkubwa haki.
2. Serikali na taasisi zake zilihusika moja kwa kwenye kwenye ukiukaji haki ikiwamo kubambikizia wananchi kesi.
3. Unasema sasa hivi hayo ya #1 na #2 hayapo tena. Hivi:

(a) tunaamini vipi kuwa hayapo tena?
(b) kama hayapo tutaamini vipi hayaterejea tena?
(c) wewe huoni kuwepo kwa misingi imara kwanza ili kuhakikisha imani hiyo kwa kila mtu ilikuwa ni jambo la msingi sana?
(d) unaingia vipi mchezoni bila ya makubaliano ya sheria za mchezo?
(e) nisiye elewa ni mimi au wewe?

Tuseme siasa pembeni na kuyaangalia mambo kwa mapana yake. Kudhulumu haki za watu ndiko kunako kera.



Kudhulumu haki za watu kunatulazimu hata tusiopenda siasa uchwara kuamka na kuicheza ngoma hii.
 
Tundu Lissu anaweza kuwa ana akili za uchambuzi wa Sheria, lakini hana busara. Kama anaweka wazi mawasiliano yake na Ikulu namna hii asitegemee kuja kupata suluhisho la matakwa yake. Nimemdharau kwa kuwa ana deal na Ikulu kama anavyo deal na BAVICHA
Busara ya namna gani kwa mtu aliyeponea tundu la sindano kuawa ikulu hiyo hiyo ikiwepo na haikumsaidia?
Na zaidi sana tuhuma zikielekezwa huko huko?
Pili, mwenyekiti na mshirika wake katika mapambano amekamatwa na kufunguliwa mashtaka yenye utata.
Kwa mtu wa hali hiyo ni lazima atumie mbinu zote kupiga kelele.
Tunategemea busara za kondoo tu ndizo zitaelekeza kuwa na subra katika hali kama hiyo.
 
-“Kuna watu ndani ya Serekali, siyo CCM - CCM died a while back. Kuna watu ndani ya system hawataki mama awe na discussion na CHADEMA. I am not saying this to exonerate her, it’s her choice” - @TunduALissu #MariaSpaces
Tatizo la Lissu huwa anapenda sana kusema kuna watu ndani ya CCM wanampa taarifa, ila ukifuatilia taarifa zake unakuta ni hekaya zile zile kama za Kigogo.

Tangu aseme yule bodi gadi mweusi wa Magu kafa kwa COVID nikajua tu huyu taarifa zake ni porojo.
 
JokaKuu umebahatika kusikiliza mazungumzo ya Lissu akielezea hili jambo. Nilisikiliza ila kwa maoni yangu, Lissu angeweza kuwa more positive. Kwa nini? Anasema alipigiwa simu na msaidizi wa rais kuwa rais anataka kuzungumza naye kwa njia ya simu. Lissu akajibu kuwa hayuko kwenye sehemu nzuri, yuko Ujerumani kwenye mkutano, na jioni anatarajia kurudi Ubelgiji, hivyo siku ile asingeweza kuzungumza naye. Akamshauri apige kesho yake. Kesho yake hakupiga na siku iliyofuata Mbowe akakamatwa!
 
Ni bahati mbaya sana naandika kwa mtu ambaye hajui kitu kuhusu RAIS wa Tanzania
Na ni bahati mbaya sana anayeandika hayo ni mtu mwenye "OBSSESSIVE COMPULSIVE" dhidi ya CCM na utawala wake.....
 
-“Kuna watu ndani ya Serekali, siyo CCM - CCM died a while back. Kuna watu ndani ya system hawataki mama awe na discussion na CHADEMA. I am not saying this to exonerate her, it’s her choice” - @TunduALissu #MariaSpace

 
Hujui kitu
 
Huyu mama alipokuwa makamu aliburuzwa na sasa ni Rais pia anaburuzwa ! aliyatakia nini madaraka huyu , au ndio maana Sukuma gang hawakutaka awe kiongozi ?


Aisee?!

Cha kushangaza inasemekana kuwa Haya yanayoendelea yanawafurahisha sana Sukuma gani.

Kwamba kama ni kuchukiwa bora wachukiwe wote kuliko Mwendazake pekee.

Sasa sijui hajastukia bado huo mchezo?!
 
Huyu mama alipokuwa makamu aliburuzwa na sasa ni Rais pia anaburuzwa ! aliyatakia nini madaraka huyu , au ndio maana Sukuma gang hawakutaka awe kiongozi ?

Yote haya yalifahamika na yanafahamika vyema. Haipo nia njema ya kuona kuna mkutano wowote baina ya SSH na chadema.


Kuangalia mbele ilikuwa muhimu sana. Kwani kwa jinsi SSH amekuwa akifanya baada ya siku 100 ofisini si vyema kuaminiwa tena.
 
Tundu Lissu anapenda sana cheap publicity, eti nilipigiwa simu toka Ikulu.. Na Machadema yanaamini tu, this guy is sick, mental hysteria is at its peak.

Ikulu imtafute Lissu? Hivi watanzania mmekuwa wajinga kiasi gani hadi mnaamini huu uongo. For what? Why? How?
100% the biggest liar
 
Baada ya kufanya unyama mwingi kwa Mbowe na kwa CHADEMA, halafu wanamwona JEMEDARI ndio anazidi kuwa imara, ni wazi kuwa MAJAMBAZI yamezidi kukosa amani.
Ukweli ni kuwa, viongozi hawa walioiba UCHAGUZI kamwe hawawezi kuja pata 'peace of mind'.
Wataishia tu kujidanganya na kujichekesha chekesha na kubabaisha watu, kwa muda tu. Ubabe na vitisho ndio vinazidi kuwachongea/kuwavua nguo. Upepo uliopo TAYARI umeishaanza kutoa dalili za kuchokwa.
 
Pole siku ukija kupata uelewa kuwa uelewa wako unatia shaka, utakuwa ushachelewa. Anza sasa kujipa mazoezi ya kufikiri upate akili.
 

..Sijasikiliza alichokisema Tundu Lissu.

..Njia nzuri ingekuwa kuweka miadi kuwa siku fulani, na saa fulani, tutakupigia simu toka Ikulu.

..Hiyo inatoa nafasi kwa kila upande kujiweka sawa na hata mazungumzo yanakuwa mafupi na yenye tija.

..Lingine siyo lazima kuzungumza na Rais SSH kwa wakati huu. Wangeweza kuzungumza na wasaidizi wake, au kuzungumza kupitia mtu / kiongozi / mstaafu anayeaminiwa na pande zote.

..Hiyo itasaidia kwamba wakija kuongea au kukutana wanakuwa wameshamaliza tofauti kubwa-kubwa walizokuwa nazo.
 
Joka kuu/Ndima Jackso nyie ndiyo mapopoma ama poyoyo!!!
Akieleza kuwa kapigiwa na fulani ni kwamba kuna ushahidi wa kidigitali!!!
 
Kama una muda sikiliza hii clip yote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…